Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Kiukweli inawezekana sio kitu cha ajabu,
Naungana na The Boss,ishu sio kuvaa ishu ni kwenda nazo shulen jaman!
Hivi kweli jaman ndio mila avae mzigo kiasi hicho?
Isitoshe mabint wa siku hizi wala hawanaga mpango na hizo mila huyo kavaa ana yake bwana!

Kulingana na maelezo! we hauna shanga! ngoja niendelee na research yangu!
 
Mi naona watu wanajifanya over civilized, kwani shanga zimeanza kuvaliwa leo?? Mbona watu wanavalishwa tangu wakiwa wadogo, na shanga zinabadilishwa kadri anavyokua hadi anakuwa mtu mzima na shanga zake kiunoni!!

We unazo! nitakutafuta.
 
Zitakua tuu zilikua zime'expire ila is nt a big dil kiivyo ila kwa upande mwingine for students kama zinakua out of uniform hivi akizivaa pindi anapokua shule kwani ni sawa sawa kabisa na mwanafunzi wa kiume wa kimasai for instance kutupia rubega halafu azame hapo class kwa kigezo eti kwamba anadumisha mila.
 
nikikumbuka enzi zetu unalelewa na mtaa mzima siku hizi eti utandawazi baba wa jiran eti nae hawara wa mwanao pheeeew halafu hata msichana wa kazi harusiwi kukemea uovu wa mwanao mama atamfungia kibwebwe kwanini tusifike huku wakati tunayalea kuna siku watoto wetu watatuaga wanaenda kufanya ngono na tusiwe na jinsi ya kuwazuia ..
 
She wear a right thing at a wrong place, japo muandikaji nae amejuaje yuko form three.Ila si sahihi kuvaa shanga kwenda nazo shuleni.
 
Hivi kuvaa shanga ni kosa au ni utamaduni?
 
Hata wanaume huvaa shanga!!

Mbona mimi nazivaa shanga...? au ni makosa?
 
207-91-african-beads-747482.jpg

Mkuu sijui umempata wapi huyo Mtoto, lakini kule Ziwa Nyasa hii ni reality kwa watoto wa kike wa umri huu kuvaa shanga.
Huyo dada wa kwenye basi, kama sio changu, labda ametokea kwenye jamii za namna hii.
 
Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!

mwache adumishe mila na desturi za watu wa kale.............
 
Kitoto kimalaya tu hicho msikitetee, kimekurupuka kwa vidume huko kimekumbuka kuvaa kisketi cha shule tu. Ahh!!!! Na tutakwisha sana na UKIMWI. Mtoto anavaa shanga kiunoni then anaenda shule. Watoto wanajua matumizi ya shanga ni ku*** tu. Mambo ya mila hawajui.
 
wewe ulijuaje ni wa form three?"
Leo nimekutana na jambo ambalo sikulitegea kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Central sekondari kukatikiwa na shanga lundo kubwa akiwa kwenye daladala akienda shule asubuhi! Hii ilitokea baada ya gari kujaa kupita kiasi na huyo mtoto alisimama katika harakati za kupishana ili wengingine washuke na kupanda, watu wakaona shanga zinamwagika kutoka kiunoni mwa huyo mtoto, japo yeye hakuonyesha kushituka sana! Sasa wanajamii tunaelekea wapi? Form three kwenda na mashanga shuleni, huyu mtoto anatafuta nini lakini? Akina mama tujenge tabia ya kuongea na watoto wetu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ungemsaidia kuzifunika ili usiendelee kuziona:lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom