Baadhi ya makabila hapa Tanzania huvaa shanga kama urembo,ila kuna makabila huvaa shanga ambazo kwa Mwanaume azionapo hugundua nini kinaendelea...
Kwa wenzetu walioendelea kuvaa ki ushangaa mguu wa kushoto ni ishara kuwa wewe Mwili wako unautumia Back na Front.
Lakini utakapo vaa mguu wa kulia huashiria kuwa wewe hujaolewa na uko tayari kuolewa kwa yoyote atakae jitokeza.
Kùvaa miguu yote ni ishara ya kuonyesha mambo mawili tajwa hapo juu na Maana hii hata hapa Tanzania hufikiria maana moja tu kuwa mvaaji wa kikuu ni mtumia wa kisima cha Asali na pomba la taka.
Tanzani yetu kuna Rangi mbili baadhi ya makabila huzitumia..ukiachilia ukawaida wa wadada kuvaa shanga nyingi kama mzigo wa kuni nakusababisha mazalio ya chawa,kunguni.
Turudi kwenye Rangi endapo una mke/mpenzi anatumia shanga jaribu kumsoma Kama anatumia shanga zenye rangi nyekundu muda gani na rangi nyeupe muda.
Shanga za rangi nyekundu ni ishara ya kuwa yupo kwenye siku zake na hutakiwa hata kumgusa.Shanga za Rangi Nyeupe Huashiria kuwa yupo kwenye siku salama anaweza kukutana na mwenzi wake atakavyo.
...machache kwa leo.