Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mimi navaa nyeusi na orenji....nini maana yake.....?
 
Baadhi ya makabila hapa Tanzania huvaa shanga kama urembo,ila kuna makabila huvaa shanga ambazo kwa Mwanaume azionapo hugundua nini kinaendelea...
Kwa wenzetu walioendelea kuvaa ki ushangaa mguu wa kushoto ni ishara kuwa wewe Mwili wako unautumia Back na Front.
Lakini utakapo vaa mguu wa kulia huashiria kuwa wewe hujaolewa na uko tayari kuolewa kwa yoyote atakae jitokeza.
Kùvaa miguu yote ni ishara ya kuonyesha mambo mawili tajwa hapo juu na Maana hii hata hapa Tanzania hufikiria maana moja tu kuwa mvaaji wa kikuu ni mtumia wa kisima cha Asali na pomba la taka.
Tanzani yetu kuna Rangi mbili baadhi ya makabila huzitumia..ukiachilia ukawaida wa wadada kuvaa shanga nyingi kama mzigo wa kuni nakusababisha mazalio ya chawa,kunguni.
Turudi kwenye Rangi endapo una mke/mpenzi anatumia shanga jaribu kumsoma Kama anatumia shanga zenye rangi nyekundu muda gani na rangi nyeupe muda.
Shanga za rangi nyekundu ni ishara ya kuwa yupo kwenye siku zake na hutakiwa hata kumgusa.Shanga za Rangi Nyeupe Huashiria kuwa yupo kwenye siku salama anaweza kukutana na mwenzi wake atakavyo.
...machache kwa leo.
Ndiyo maendeleo hayo?
 
sasa naona unawatusi waganga wa kienyeji...maana ndio wanavaa sana shanga nyekundu,bluu n.k.

attachment.php
 

Attachments

  • profimedia-0006642987.jpg
    profimedia-0006642987.jpg
    25.3 KB · Views: 1,287
Hizo shanga anavaa wapi ndio ujue hizo signs? Au mpaka avue? Maana kuziona hizo shanga hivhiv sio rahisi!
 
mimi navaa nyeusi na orenji....nini maana yake.....?

Uvaapo nyeusi,na mwenzi wako akaiona ni kuwa siku hyo unakuwa hauko au hujisikii kukutana nae kutokana na mambo kadha wa kadha yanayowazunguka kimaisha...unapoonekana umevaa orange na nyeupe...siku uko happy ndo hyo orange na nyeupe kuwa upo clean and ready kuenjoy na mume wako.
 
Hizo shanga anavaa wapi ndio ujue hizo signs? Au mpaka avue? Maana kuziona hizo shanga hivhiv sio rahisi!

Kama ni mke wako utaziona ila makabila fulan fulan huvaa kiuononi za rang mchanganyiko lakini anapokuwa kama breed atavaa shanga kama bangili mkononi kwa rangi husika kukujulisha hayuko sawa..
 
hakuana ulembo wa namna hiyo mimi nikiona harafu nikaimba ukaitikia lazima tigo nipige MAMBO YA KUIGA SIO MAZURI FANYA JAMBO UKIJUA MAANA YAKE
 
tafuta hata baadhi ya mashoga huvaa hivyo anayevaa kama pambo hajui maana yake wanaovaa vile huliwa mavi.
 
Raha ya kikuku uwe na mguu wa kuvalia hicho kikuku lol
 
Nazungumzia x-gf wangu hapa, kwa hiyo nina uhakika na ninachokisema mkuu!!
ulimwomba akakataa, ulimgusa pale kwenye tigo akaruka na kukimbia au ulinyamaza tu yeye akaona soo kulianzisha akaona umelegea tu wewe hujui anachokitaka hata akakumwaga na kwenda kwa wengine? i mean x grl wako. wanawake usiwawekee shilingi aisee, wana siri nzito na huwa wanafanya mambo ya ajabu sana huko sirini ila tukikutana nao mitaani wanaweza kweli kutupiga changa la macho...
 
Back
Top Bottom