Ninachoamini ni kwamba kuna watu wanavaa kama urembo kwa maana ya urembo na wengine huvaa kwa kuashiria/kumaanisha jambo fulani na kama hujui maana iliyojificha wewe utaona ni urembo tu
Ninachoamini ni kwamba kuna watu wanavaa kama urembo kwa maana ya urembo na wengine huvaa kwa kuashiria/kumaanisha jambo fulani na kama hujui maana iliyojificha wewe utaona ni urembo tu
uo ni urembo tu kama wamasai ambao wanavaa shanga miguuni,na wahind wanavaa cheni miguuni...so wanaovaa wanachukulia kama accessories za urembo tu...hamna maana yoyote ile achen kukuza mambo
me navipenda vikuku , hzo maana za cjui kugawa tigo or kuwa available wanazitoa wapy jmn?,mana nishawahi pigwa ban kuvaa nikaacha but moyo unapenda bado
mie pia navaa kama urembo na wala si vinginevyo! kingine kuna baadh ya makabila kam wamasai wanavaa kabisa zile shanga zao miguuni! na wanapendeza kwelikweliii
Mii huwa napenda nikimwona Binti na hata Mtu mzima Kavaa Kikuku. Kwa maoni nloyasoma sitasita tena sifia uvaaji wake. Nlikuwa nikiona Haya kuzungumzia kutokana na maana potofu zilokuwapo mwanzo.