Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Nitazitoa wapi? ''Source'' yangu ni stori za kijiweni mkuu, ili raundi za bia ziendelee kuzungushwa, lazima kuwe na stori kama hizo!
Next time mtu akizusha hiyo stori muombe namba ya tiGo ya mlengwa kimachale then niPM, kufunga safari kutokea Kyela mimi haina shida