cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhmmmmmmm na hiyo Vikukuu ni nini FirstLady1?
Nasikia huwa inamaanisha unafunguka kushoto au kulia au sehemu zote. Sijawahi kuona mwanaume anavaa kikuku, nashukuru roho yangu imetulia.
daah maria Roza naona wadada kwenye pic wamependeza sana ila mie naogopa kuvaa :becky:
kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.
hahahah sidhani kama kuna ukweli wowote hapa Mheshimiwa :confused2:
Vicheni vya miguuni LB
Vaa tu dada, ipe roho yako kitu inapenda. Usijidhurumu, hakuna atakayekufidia.
Yasemekana ina maana ya kuliwa tiGO:lol:Mie naona ni urembo wa kawaida tuu mbona hata mie navaa:A S 8::A S 8:
Mama msaada kwani inamaanisha kitu kibaya???
Shukrani unajua Kiswahili kina wenyewe. Mimi akili ilishafikiria KUKU ndege halafu nilipoona KUKUU nikafikiria uchakavu. Akina mama Kazi mnayo ya kuboresha mionekano. Na UKIMWI je? Siyo mimi..... hata!!! nisije eleweka vibaya.
nimependa picha ya mrembo wa kwanza Dark City ...sijui ni vishanga vya kimasai
nakutumia PM my dearest one haiusiani na vikuku:becky:
Yasemekana ina maana ya kuliwa tiGO:lol:
Mi nasikia tu...siwezi kusema ni kweli au la mpaka niambiwe maana. Maana huwa nashindwa kuelewa nikimuona mtu kavaa miguu yote miwili. I keep on thinking ndio mambo yale ya mtandao unaokupa zaidi
ddddddddddu du du ngoja waje wataalam watupe maana ya hii mambo..
Ila mbona wenzetu masai wanafaa ina maana nao ndo mambo fulani ?
Na wewe Ukimwi unahusiana nini na Vikuku..tuko bega kwa bega kuhakikisha tunautokomeza huu ugonjwa ..mungu atusaidie
Si hivyo. Ila inaelekea kuna juhudi za makusudi kwa baadhi ya kina mama za kuboresha mionekano na hata miondoko. Hali hiyo inaongeza attention na kumfanya mwanamke awe target ya mafataki. Mimi ninapendelea unadhifu lakini si ule wa
hahahaha me naboresha muonekano kwa my husband si kwa mwingine teteteteteh pamoja tutashinda :becky: