Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.
 
Nasikia huwa inamaanisha unafunguka kushoto au kulia au sehemu zote. Sijawahi kuona mwanaume anavaa kikuku, nashukuru roho yangu imetulia.

hahahah sidhani kama kuna ukweli wowote hapa Mheshimiwa :confused2:
 
kwa sasa ni fashion tu ila nasikia eti asili yake ni huko india na huko vina maana fulani sasa cjui kama ni kwelia u hadithi tu lkn hata mie navaa tu kama urembo.

nakutumia PM my dearest one haiusiani na vikuku:becky:
 
hahahah sidhani kama kuna ukweli wowote hapa Mheshimiwa :confused2:

Mi nasikia tu...siwezi kusema ni kweli au la mpaka niambiwe maana. Maana huwa nashindwa kuelewa nikimuona mtu kavaa miguu yote miwili. I keep on thinking ndio mambo yale ya mtandao unaokupa zaidi
 
Vicheni vya miguuni LB

Shukrani unajua Kiswahili kina wenyewe. Mimi akili ilishafikiria KUKU ndege halafu nilipoona KUKUU nikafikiria uchakavu. Akina mama Kazi mnayo ya kuboresha mionekano. Na UKIMWI je? Siyo mimi..... hata!!! nisije eleweka vibaya.
 
Na wewe Ukimwi unahusiana nini na Vikuku..tuko bega kwa bega kuhakikisha tunautokomeza huu ugonjwa ..mungu atusaidie
 
Mi nasikia tu...siwezi kusema ni kweli au la mpaka niambiwe maana. Maana huwa nashindwa kuelewa nikimuona mtu kavaa miguu yote miwili. I keep on thinking ndio mambo yale ya mtandao unaokupa zaidi

ddddddddddu du du ngoja waje wataalam watupe maana ya hii mambo..
Ila mbona wenzetu masai wanafaa ina maana nao ndo mambo fulani ?
 
DSC_0690_src.jpg

huyu hajavaa vikuku,hizi ni gladiator sandal.
 
Kuna thread moja nzuri iliyoanzishwa na WoS kuhusu vikuku, ENZI hizo BUBU MSEMA OVYO oops namaanisha BUBU ATAKA KUSEMA yupo sana humu. Ndhani ingekuwa worth kuisoma. Nimeshindwa kuipata nadhani sijui kutumia JF effectively na efficiently.
 
ddddddddddu du du ngoja waje wataalam watupe maana ya hii mambo..
Ila mbona wenzetu masai wanafaa ina maana nao ndo mambo fulani ?

Nani mtaalamu zaidi ya wewe Mama Salma? Tupe elimu basi
 
Na wewe Ukimwi unahusiana nini na Vikuku..tuko bega kwa bega kuhakikisha tunautokomeza huu ugonjwa ..mungu atusaidie

Si hivyo. Ila inaelekea kuna juhudi za makusudi kwa baadhi ya kina mama za kuboresha mionekano na hata miondoko. Hali hiyo inaongeza attention na kumfanya mwanamke awe target ya mafataki. Mimi ninapendelea unadhifu lakini si ule wa kumfanya kila mtu akuangalie ( attract attention) nadhani umenielewa hapo. Na hapo ndipo Vita dhidi ya UKIMWI inakuwa ngumu.
 
Kwa sisi wazoefu tuna angalia mguu upi umevaa.
Ukivaa mguu flani najua ni full kujiexpress wala sina haja ya kuuliza nikuzama tu kwenye tope
 
Si hivyo. Ila inaelekea kuna juhudi za makusudi kwa baadhi ya kina mama za kuboresha mionekano na hata miondoko. Hali hiyo inaongeza attention na kumfanya mwanamke awe target ya mafataki. Mimi ninapendelea unadhifu lakini si ule wa

hahahaha me naboresha muonekano kwa my husband si kwa mwingine teteteteteh pamoja tutashinda :becky:
 
Back
Top Bottom