Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

mnajua kuzitumia au basi.tu mnatupa lawama.....

Hamvai sasa tutajimfunzaje kutumia? Yani cc bado watumwa wengine anakuambia ni uchafu lakin akiingizwa dole akipewa analinyonya ujinga mtupu
 
wanaume wa siku hizi ukiwavalia shanga wanakuona malaya,labda uwavalie cheni ya Gold au silver ndiyo kidogo heshima itakuwepo.
 
siyo wote wanaozipenda asieee.....kuna wanaume umvalie shanga anakutoa nduki.....kumbuka kila mtu na uchaguzi wake......kuna wanaopenda cheni badala ya shanga......na kuna ambao hawataki uvae chochote......ndiyo raha yake.....

Haya mambo yalikwepo ilala usasa ndo unaharibu huyo anae kataa sababu kamuona ciara na cheni shanga zinatumika pia kugawanya kiuno cha mtoto wa kike lakin nnahakika hawavalishi tena
 
Mkuu ni dhambi ya kudharau mila za kiafrika ndo itwatafuna vijana wengi. Sio wanawake na shanga tu. Juzi tu tumesikia kuwa vijana wengi wa kisasa hawana nguvu za kiume kwa kudharau vya kula vya asili ya kiafrika.
 
Nadhani hii ipo katika tamaduni za kikabila zaidi mfano wasukuma kuanzia mtoto wa kike akiwa mdogo anavishwa hii kitu na akishakua anafundishwa ni jinsi gani azitumie ktk ndoa lakini ukija mbeya kuna kabila la kinyakyusa hawajui kwanza watakushangaa labda kwa wale waliotembea na kuchangamana na makabila tofauti yenye tamaduni hizo

Nikweli usema vyo ila vile tuingilianavyo na tamaduni nazo huingiliana mfano wewe ukijua izur wake ukirudi mbea watahoji rafiki zako shanga zilienea kwa mtindo huo mpka wageni walizivaa baada ya kuona kwa wenyeji wao
 
Kwa ujumla wake sie wachaga shanga kama zilikuwapo ni zamani saaaaaana. Na ndoa za kichaga zinavunjika siku hizi kwa watu kuiga haya mambo ya shanga.

Kiukweli ni vizuri kudumisha mila na shanga ni mila ya watu fulani pls dumisheni. Mpate amani
Kwa wengine sie kutumia shanga ni kuoga mambo ya kigeni ambayo yanatuchanganya tu.
Mi shanga nimesikia na nimeziona mara ya kwanza chuo kikuu!!
 
Haya mambo yalikwepo ilala usasa ndo unaharibu huyo anae kataa sababu kamuona ciara na cheni shanga zinatumika pia kugawanya kiuno cha mtoto wa kike lakin nnahakika hawavalishi tena

wewe mwenyewe binafsi unaweza mvalisha mtoto wako wa kike shanga akiwa angali mtoto ili kiuno kigawanyike...? na pia unaweza mpeleka mtoto wako unyagoni...? kuna vitu vimebadilika sana....kwahiyo si swala la kuwalaumu wanawake....wewe kama unapenda mwambie akuvalie basi......
 
Hamvai sasa tutajimfunzaje kutumia? Yani cc bado watumwa wengine anakuambia ni uchafu lakin akiingizwa dole akipewa analinyonya ujinga mtupu

ukivaa mwingine anakushangaa hayo manini toa.....
 
wanaume wa siku hizi ukiwavalia shanga wanakuona malaya,labda uwavalie cheni ya Gold au silver ndiyo kidogo heshima itakuwepo.

Hao ndo shida kwa mimi cheni ndo naona malaya ila shanga mbili tatu naona ndo uhalisia maranyingi hukimbiliaga kiononi kabla ya kuvua chochote mchezo huazia huko
 
wewe mwenyewe binafsi unaweza mvalisha mtoto wako wa kike shanga akiwa angali mtoto ili kiuno kigawanyike...? na pia unaweza mpeleka mtoto wako unyagoni...? kuna vitu vimebadilika sana....kwahiyo si swala la kuwalaumu wanawake....wewe kama unapenda mwambie akuvalie basi......

Kuna mabadiliko kweli ila tusifikie kudharau yetu yoooote hata yenye manufaa kisa uzungu
 
ukivaa mwingine anakushangaa hayo manini toa.....

Nikweli hata wakiume wapo wanaongozwa media akiona cheni kwa mdada wa kwenye tv anadharau shanga bila kujiuliza labda kwa huko hawana shanga

Kuna hawa wacheza ngoma nao wanaharibu wanava meeeengi mpka inakua uchafu badala ya urembo

Wewe usimvalie asie taka ila waweza kua nazo kama urembo 1 au 2kiunoni
 
alafu nimependa kiuno cha demu alievyaa kiupi cheupe...mtamuuu
 
Back
Top Bottom