rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
We unavaa?
haijalishi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unavaa?
i will be looking for you in pm corner,if u have that,madamme.kwani mal.ya ndo wanavaaga cheni kiunoni jamani? wengine ndo starehe zetu usipovaa unakua kama hujatimia vile
Wala si kweli acha kupotosha wenzako....ina maana wamasai wote wanatoa tigo???
Cheni inavutia sana isiwe chachandu,wanaovaa vikuku miguuni ndo malaya
Kuvaa kikukuu Ina maanisha kutoa 0714
usihusishe vazi la mtu na tabia iyo ni tofauti kabisa vazi litabaki kua vazi siku zote na tabia ni tabia tu, kwa upande nikimuona mwanamke kavaa kikuku au cheni kiunoni nachukulia kama vazi alipendalo, ukweli ni kwamba wanawake wanapovaa kikuku sio siri wanapendeza sana hasa vikiwa vya kisasa....
Na mumeo akivaa shanga kiunoni utamchukulia kama ni urembo tu?
Samahani sana kwa kudhani wewe ni mwanamke, lakini ni wapi imeandikwa shanga ni urembo wa kike? Wabarbaig wanavaa shanga wanaume.nafurahi kusikia ivyo japo sijalizika kwamaana mm dume la mbegu mke wangu namnuliliaga mwenyewe ivyo vikuku na cheni dada yangu, kwangu vazi litabakia kua vazi ila wanaume tunamavazi yetu na wanawake pia xx nakushaanga ww mwanaume vazi mwanamke linakuwashia usiusishe vazi na imani zako
Hasili ya kikuku ni pwani na michezo ya pwani inajulikana kwahyo mm nikimuona mwanamke amevaa kikiku najua michezo ya pwani inahusika bila kuuliza 0713
Samahani sana kwa kudhani wewe ni mwanamke, lakini ni wapi imeandikwa shanga ni urembo wa kike? Wabarbaig wanavaa shanga wanaume.
mbona tushindwa kuelewana cc hapa hatuzungumzii shanga tunazungumzia cheni kiunoni mada yetu imetupeleka mpaka kwenye kikuku,xx bc uelewe iv kwa kifupi tunazungumzia vazi limuhusulo mwanamke maana kikuku au cheni ni vazi, aijalishi kiwe cha shanga au kamba,kiwe cha dhahabu au silver, ni kweli akuna sehemu iliyoandikwa kwamba shanga ni urembo,xx sikia kwanza lazima ufahamu maana ya urembo, urembo asili yake nikujilemba, na kujiremba maana yake nikuzidisha jambo au kitu ambao akuanacho ktk mwili wako, xx nakuhuliza na ww wapi ulipoandikwa kwamba ukivaa kikuku basi unatoa tigo
Bado mavazi au urembo vinaashiria tabia flani, ndio maana humkuti mchungaji na kombati ya jeshi. Vikuku vinatumiwa na wanawake kuonesha ishara kuwa wanatoa ndogo, hao wanaoiga ni huenda hawajui maana au nao ni watoa ndogo.