Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.

Kakujib hujaamini je cc tukikujib utaamini?
 
Attachments

  • 1446888121226.jpg
    1446888121226.jpg
    33.3 KB · Views: 412
Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.
Mkuu msichana akikutana na good dick au sexy fantasy in real life.. HAWEZ jificha.... sasa kuwa makini mchunguze maana long distance relationship ni tatizo hasa kwa mahusiano machanga
 
Back
Top Bottom