Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mtumishi hujui tamu ya shanga wewe...wala usitake kujaribu utatenguliwa upako buuuure
 
mi nauzaga hzo shanga ila naziombea heri:
1. Atakayevaa akate kiuno sana
2. Atakayevaa atulie na mwanaume mmoja ila sidhani
3. Atakayevaa amtamanishe mtu wake

NB: Nauza bei poa sana:crazy::crazy:
 
mi nauzaga hzo shanga ila naziombea heri:
1. Atakayevaa akate kiuno sana
2. Atakayevaa atulie na mwanaume mmoja ila sidhani
3. Atakayevaa amtamanishe mtu wake

NB: Nauza bei poa sana:crazy::crazy:

Huo ni mtandao wa kiroho ww huwez kuelewa. wee unauza unazitoa wapi?
 
Bwana Yesu asifiwe!

Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.

Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.

Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:

1. Atakaevaa awe mgumba

2. Atakaevaa awe malaya, kahaba

3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa

4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa

5. Atakaevaa awe na mashetani

6. Atakaevaa aachike

7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike

8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe

9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira

Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.

USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.

Shua pastor, nakumbuka kuna mtoto mdogo wa kike wa ndugu yangu alivalishwa shanga alipoenda kwa bibi ake bas alipochukuliwa na wazazi akawa analia lia sana mpk wakaenda kwa mchungaji mmoja akamwombea mtoto ndo akawaambia zile alizovaa mtoto sio shanga za kawaida zinasumbua kwa sababu zipo ili kuvunja ndoa ya mama mtoto na kuharibu maisha ya mtoto akifikia ujana.
Walipomtoa shanga mtoto akawa na amani, halii bila sababu.
 
Bwana Yesu asifiwe!

Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.

Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.

Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:

1. Atakaevaa awe mgumba

2. Atakaevaa awe malaya, kahaba

3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa

4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa

5. Atakaevaa awe na mashetani

6. Atakaevaa aachike

7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike

8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe

9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira

Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.

USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.

Inapendeza mchungaji aziombee ukiwa umezivaa na abee sehmu ivaliwayo pia.
 
mmmm hii kali ivi unaanzaje kumpa mchungaji shanga aziombe? zinakua kwenye mfuko au unamtolea azishike? mbona mnapenda kuwapa watu wa mungu majaribu mazito....
 
wewe usikii haya matangazo ya biashara unalipia wapi!!?alafu uache kuingilia mila zetu eboooo wewe demu wako mwambie avae cheni
 
haahaaha! hapana. alafu we *evelyn salt* unapenda kunichokoza!!! kabla hujavaa niambie ili niweze kuziombea na namba zangu: 0786100772, 0673100772, 0757856336

:faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2:
 
mmmm hii kali ivi unaanzaje kumpa mchungaji shanga aziombe? zinakua kwenye mfuko au unamtolea azishike? mbona mnapenda kuwapa watu wa mungu majaribu mazito....

na ndio maana tunahubiri watu waokoke ili wao wenyewe wangeweza kuziombea. lkn ndo upo mbali na mchungaji hata mama mchungaji unampelekea c lazma mchungaji.
 
na ndio maana tunahubiri watu waokoke ili wao wenyewe wangeweza kuziombea. lkn ndo upo mbali na mchungaji hata mama mchungaji unampelekea c lazma mchungaji.

Wavae tuu kuna vitu nyengine sio vyakuamini,haileti maana ninunue shanga zangu kwa mmasai nimpeleke mtu akazifanyie sijui nini,nyumba haivunjwi na SHANGA,na wasio vaa Shanga mbona nyumba zao pia zina vunjika tatizo inakua nini?
 
Oooh sasa hizi used tuzitupe au, tuende nazo pia

Well and good, nionavyo mimi, zivue halafu weka mkobani kisha nenda nazo. Akishamaliza kuziombea na kuzibariki nenda nazo nyumbani, shukuru Mungu then vaa sasa uendelee kuenjoy.

nadhani hapo hakuna shida, ama la vinginevyo.
 
Hapo Sawa! Lakini Cha Muhmu Zaidi Ndg Zangu Ni Kumpokea Yesu Awe Bwana Na Mwokozi Wa Maisha Yako, Ili Sasa Badala Ya Kupeleka Kwa Mchungaji, Unaziombea Tu Mwenyewe.

Na Mimi Cjazuia Kuvaa, Ila Ni Vema Kuzikomboa Maana Shanga Ktk Ulimwengu Wa Kiroho Wa Giza Zina Maana Sana. Kwa Iyo Ukiokoka Itakuwa Ni Rahisi,maana Unazikomboa Ww Mwenyewe.
 
Back
Top Bottom