Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Big up TF
Ni urembo kama urembo mwingine
Wamasai walinivutia sana nilipowaona wanavaa wanapendeza
ninavaa bila woga maadam najua sipo kwenye hako kamchezo
kila mtu na mtazamo wake je ambao hawavai cheni na wanafanya
huo mchezo mnawatambuaje?
Uwe umevaa kimini na cheni miguuni halafu mguu wa chupa duuu
inapendeza sana