Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Big up TF
Ni urembo kama urembo mwingine
Wamasai walinivutia sana nilipowaona wanavaa wanapendeza
ninavaa bila woga maadam najua sipo kwenye hako kamchezo
kila mtu na mtazamo wake je ambao hawavai cheni na wanafanya
huo mchezo mnawatambuaje?
Uwe umevaa kimini na cheni miguuni halafu mguu wa chupa duuu
inapendeza sana

Tatizo mawazo ya watu yamekaa kingono ngono tu

Sasa kama unakubaliana nao uliposti thread ya nini kuuliza "Wadada wanaovaa cheni mguu wa kushoto wanamaanisha nini"
wwe acha ubishi wa kitoto...inaonekana kichwa yako ngumu kuelewa enhee? hapa sio kijiwe cha kucheza draft kijana,ila hapa wanapatikana watu tofauti na wenye mawazo chanya ya kujenga ingawa kuna wachache wenye fikra mgando,

Labda utupe ushuhuda umeshatembea na wangapi wenye vikuku maana unaongea as if una solid evidence. Hacheni kudhalilisha wanawake. Kuna relationship gani kati ya mguu na tigo? Nyie ndo wale mkiona mdada kavaa mini mnadhani anajiuza. Give all definitions you like in the end it is up to the one wearing kikuku. Wewe umuone malaya or otherwise haimpunguzii wala haimuongezei kitu.

Mkeo kama anajiheshimu hatovaa kikuku as it is controversial and has it has semantics problem,kama mwanamke mrembo ni mrembo tu hata asipopaka wanja sembuse kikuku?
Tangu niwe mtu mzima sijawahi kukaa katikati ya halaiki yeyote ya wanaume(ambao ndiyo wateja) halafu kikuku kikapewa tafsiri nyingine zaidi ya utayari wa kufilana,am afraid!

Inawezekana wapo wanawake au wasichana wachache wanaovaa kwa sbb ya Urembo tu,hawa ni wachache kati ya wengi ambao wanavaa ili kutuma ujumbe kwa wanaume!
In light of this,Mwanamke mwenye staha,mwenye kiasi na anayejiheshimu hawezi kuvaa hivyo vicheni!

Tuache kujenga hoja nyepesi kwamba eti wamasai nao wanafanya,sio lazima kwa wambasai kwa sababu hawa it is a long-lived tradition!
Besides,sisi hatujakopi hii kotoka kwa wamasai,tumeikopi kwa Walaya na Wamarekani ambo kukoroga Mavi ni sehemu ya utamaduni wao wakufanya Ngono!!!

Kwa hiyo watu wakisema mwanamke anayevaa kikuu most likey atakuwa anafilwa sio generalisation na ndiyo maana makahaba wengi wanavaa!!
Again,i have failed to be Euphemistic,my apologies!!

Wanawake wanaovaa CHENI miguuni wakauwa wanasubiri "NDOANO" tu! Hamna cha urembo wala nini!!!

You agree and at the same time you disagree to cut the story short STOP GENERALIZING THINGS.

What u have bolded in blue is too flimsy to establish that am contradicting myself kwamba NAKUBALI wakati huohuo nakataa na kwamba i am generalising,I dnt know if u are competent enuf in Kiswahili Language!
Nimetumia neno "Inawezekana" kuonyesha possibility only,ths yet doesnt necessarily mean kwamba I agree!! Stop playing Clever and Conniving!

The bottomline is Mwanamke akivaa kikuku huo ndiyo ujumbe anaoutuma,haijalisha kwamba anajua au hajui kama ilivyo katika Sheria za Binadamu kwamba kutojua kwamba kufanya jambo fulani ni Kosa hakuondoa Hatia!!

Hivyo basi,Mwanamke mwenye Staha na High self-esteem hawezi kuvaa vikuku lest she is misunderstood!

On these grounds,i think it is only safe to establish kwamba wewe ndiye unayeumwa Schizophrenia and it is only advisable to seek immidiate medical attention!!

"The Finest",It shud be the opposite as a matter of fact,nafikiri u are possibly defensive pengine mke wako tayari anavaa japokuwa wewe umeiweka tu kama possibility,POLE!
NO HARD FEELINGS,ITS MERELY A DEBATE,BON APPETITE!!

me nakubaliana na wanao support kwamba wanatoa ndogo majority ya wanao vaa vikuku,ingawa minority ambao ni asilimia chache sana wana vaa kwa urembo.lakin wale wasio vaa kwa urembo kwanza ni micharuko hawana staha.kingine baadhi ya wadada wameshindwa kufunguka au kuwa wawazi katika hii mada...hatasoma mwanao,wifi,shemeji nk.utawasaidia

Kijana inaelekea wewe ni mteja wa tigo unaongea kana kwamba umefanya research. Na kama ni mteja basi hupaswi kuwanyanyapaa wenzako

Labda utupe ushuhuda umeshatembea na wangapi wenye vikuku maana unaongea as if una solid evidence. Hacheni kudhalilisha wanawake. Kuna relationship gani kati ya mguu na tigo? Nyie ndo wale mkiona mdada kavaa mini mnadhani anajiuza. Give all definitions you like in the end it is up to the one wearing kikuku. Wewe umuone malaya or otherwise haimpunguzii wala haimuongezei kitu.

Calm Down,Calm Down,Take It Easy Now,Ukiona wingu limetanda na hakuna Upepo mkali tunajua Mvua inanyesha hata kama hatupo eneo la tukio!!
Sio kila kitu kinachotokea kinaweza kuthibitishwa na SI KILA KISICHOWEZA KUTHIBITISHWA BASI HAKITOKEI!!
POLE,HUU NDIYO UKWELI WA MAMBO NA HAPA HAKUNA MTU ANAYEMTUKANA MWANAMKE,DONT PUT WORDS INTO MY MOUTH OR TRYING TO MISINTERPRETE NILICHOANDIKA KWA HILA!!
Hata hivyo wateja wa hao wanawake ni Wanaume!!
Circumstantial Evidence Inatosha! NYUMBA KUBWA!!

wwe acha ubishi wa kitoto...inaonekana kichwa yako ngumu kuelewa enhee? hapa sio kijiwe cha kucheza draft kijana,ila hapa wanapatikana watu tofauti na wenye mawazo chanya ya kujenga ingawa kuna wachache wenye fikra mgando,
Mmoja wapo ni wewe and you still don't have a point in this all i can tell you is limerance of mesonoxian and the nudiustertrian is scopperloit

cheni mguu wa kushoto anatangaza biashara, na wale wanaovaa miguu yote je??????

wabongo bana:noidea:

Kijana inaelekea wewe ni mteja wa tigo unaongea kana kwamba umefanya research. Na kama ni mteja basi hupaswi kuwanyanyapaa wenzako
hapana kaka mimi hiyo kitu sijawahi jihusisha nayo wala sina mpango nayo,pia siwanyanyapai wananaovaa vikuku ila nmejaribu kuwasilisha hisia zangu

What u have bolded in blue is too flimsy to establish that am contradicting myself kwamba NAKUBALI wakati huohuo nakataa na kwamba i am generalising,I dnt know if u are competent enuf in Kiswahili Language!
Nimetumia neno "Inawezekana" kuonyesha possibility only,ths yet doesnt necessarily mean kwamba I agree!! Stop playing Clever and Conniving!

The bottomline is Mwanamke akivaa kikuku huo ndiyo ujumbe anaoutuma,haijalisha kwamba anajua au hajui kama ilivyo katika Sheria za Binadamu kwamba kutojua kwamba kufanya jambo fulani ni Kosa hakuondoa Hatia!!

Hivyo basi,Mwanamke mwenye Staha na High self-esteem hawezi kuvaa vikuku lest she is misunderstood!

On these grounds,i think it is only safe to establish kwamba wewe ndiye unayeumwa Schizophrenia and it is only advisable to seek immidiate medical attention!!

"The Finest",It shud be the opposite as a matter of fact,nafikiri u are possibly defensive pengine mke wako tayari anavaa japokuwa wewe umeiweka tu kama possibility,POLE!
NO HARD FEELINGS,ITS MERELY A DEBATE,BON APPETITE!!
Tuko pamoja mkuu no hard feelings at all, i usually don't like when people generalize things and on everything they see or hear

Mmoja wapo ni wewe and you still don't have a point in this all i can tell you is limerance of mesonoxian and the nudiustertrian is scopperloit
skia ndugu...sikuzote weledi hawabishani ila huwa wanashindana kwa hoja,na mim sio mbishi ndo maana siku wajumuisha wamasai na baadhi ya watu...usikurupuke tu kujibu kila kitu mkuu...unaweza ukahesabiwa una uelewa wa hali ya juu kwa kukaa kimya@kijana wangu

Kwa mtazamo wa kawaida akili za watu wengi zimetawaliwa na ngono tupu!!

skia ndugu...sikuzote weledi hawabishani ila huwa wanashindana kwa hoja,na mim sio mbishi ndo maana siku wajumuisha wamasai na baadhi ya watu...usikurupuke tu kujibu kila kitu mkuu...unaweza ukahesabiwa una uelewa wa hali ya juu kwa kukaa kimya@kijana wangu
The factors of nature keep people fighting drunk on bogey tales

Hizi ni tafsiri za kitoto, za vijiweni, za kijinga (sio ujinga wa kukosa mabanda bali kutojua mambo), kama sio za kihuni, kama ambavyo tunatoa tafsiri nyengine kwa "kuingiza wote katika kapu moja" kama vile wanaume wanaova herini, kusuka nywele, kuweka rasta, kuweka ndevu O n.k. Ikiwa kweli mtu ni mpenda tigo, hebu amvamie mwanamume mwenye O au aliyevaa cheni aone kilichomfanya kuku awe hanyonyeshi!

Kuvaa cheni miguuni = Tigo? Mbona wanawake wanavaa vikuku tangu enzi za Manabii? Mbona wanaume wanavaa cheni na herini tangu enzi za Shakespeare? Sijawahi kusikia upuuzi kama huu siku nyingi sana. Inawezekana kuwa hivyo ndivyo inavyotafsiriwa, lakini haina maana kuwa madhumuni yake ndio hayo. Atokee mmoja tu ambaye ameshatembea na angalau wanawake watatu waliovaa cheni na kupewa au kujichukulia tigo!

Kama unataka ujivunjie heshima na udharaulike ikiwa wewe ni mpenda tigo, mtongoze mwanamke alovaa cheni mguu wa kushoto ukifika naye kitandani umdai tigo.

STORI NA MAMBO YA VIJIWENI HALAFU WANAKUJA KUANZISHA HAPA
The Following User Says Thank You to MAMMAMIA For This Useful Post:

The Finest (Today)​

mimi binafsi naomba nieleweke sijajumuisha makundi yote...pia siwadharau wanao vaa vikuku nilikuwa nawasilisha hisia zangu tu.ila huwezi jua kuna wengine labda wanao vaa hivyo vikuku ni watu wao wa muhimu sana ndo maana hawakubali hata kidogo kuwa baadhi wanatoa ndogo,binafsi sio mteja wa tigo

Ni urembo tu.sasa wewe inakutatiza nini mbona wakivaa cheni shingoni haikutatizi?

tatizo ni kwamba binadamu tunapenda kutunga vijimaana vyetu na kuvipa tafsiri tofauti na mlengwa alivyokusudia.
wapo wengi wanaovaa hivyo na hawafanyi hako kamchezo, na wapo wasiovaa na wanafanya..je utajustify vipi?
na wale wanaume wanaovaa hereni nao inabidi ikutatize basi

Back
Top Bottom