Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mi nitaendelea kuamini kwamba mwana mke anayevaa vikuku miguuni ni muhuni na siwezi kumtongoza., wengi wanajiuza

Nimepata kuongea na dada mmoja na kunieleza maana yake halisi,

Kwamba akivaa kushoto mgooni inamaanisha anauza mbele tu,

Akivaa kulia hapo tigo express yourself

Akivaa miguu miwili maana pote ni useful anapauza




View attachment 717889
Nakeleka kweli na hii kitu
 
Mkuu ulivyotaja kwa kebehi, miguu myembamba kwamba ni spoku za pikipiki, nimeona haujawahi kukumbana nayo hiyo miguu ya kwale kwenye anga zako.
Hata mimi zamani nilidharau sana kiumbe anayemiliki miguu kabila hiyo.
Lakini nilipowafanyia 'utafiti' wangu wa kina, nikwambie wengi waliniliza kwa furaha na heshima ikapanda juu yao.
Sijawahi tena kuleta dharau zangu.
Sasa bado wewe, ukija kutafiti, utakujanitag.
Mkuu umenielewa visivyo...
ninacho maanisha mimi ni sawasawa na mtu mwenye mwili mdogo alafu akatembea barabarani na kawoshi/singrendi inayo onesha mikono na kifua.
Ama mwanadada mwenye miguu ya hilo kabila akavaa kimini kinacho ishia mapajani. Hawezi kuwa na show.

Vivyo hivyo kwa hivi vidude ni urembo ndio lkn lazima uzingatie sio kila mtu utampendezea.
 
Navaa vizuri na sijawahi kumbana na watu wenye akili finyu kama zako. Unafikiri kila mtu anakaa kuwaza ufirauni kama wewe.
Nitake radhi dada,Mimi sio firauni,kama ushauri wangu ni mbovu usinitusi.Sitegemei ktk maisha yangu nitakayoishi hapa dunia na kesho kwa Mungu kumkosea adabu kiumbe kinaitwa mwanamke
 
kushoto ndo Tigo..kulia Airtel

vikuku kwa mila na desturi zetu...ni ishara ya umalaya tu hamna kingine
ndio maana hutakaa ukute mama mchungaji kavaa kikuku au wanawake wanaojitambua
Siku ya mwisho natamani sana kuwe na litivii likubwa tuone hawa watu wanaoaminika ni wema .,.
 
Shemej yenu wa zaman alikua anavaa kama urembo tu
IMG-20180315-WA0023.jpg
IMG-20180315-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom