asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
nikiona kikuku nachukulia ni urembo zaidi ya hayo mambo mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata Mwita25 huwa anavaa?!! ......
mimi FL nilikuwa nikivaa pete kwenye kidole cha mguu ........lakini nikaona akina 'mama watu wazima' wananitizama kwa mtazamo mbaya. Kosa liko wapi hapo?
miguu mizuri.
Unanitisha!! ukimsifia mwanamke mwenzako unamaanisha nn?!
mguu gani?
kuna ubaya gani?
ebo!!uvaaji wa heleni kwa wanaume...kulia maana yake ni top na kushoto ni DOWN, pande zote mbili malizia wewe.........i