Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Mbona hata Mwita25 huwa anavaa?!! ......
 
mimi FL nilikuwa nikivaa pete kwenye kidole cha mguu ........lakini nikaona akina 'mama watu wazima' wananitizama kwa mtazamo mbaya. Kosa liko wapi hapo?

G, kama haikuwa na maana yoyote ile zaidi ya urembo basi sioni kwanini usiendelee kuvaa hiyo pete kwenye kidole cha mguuni.
 
DSC07523.JPG

Huu mguu...Mhhhhh! mie sitii neno 🙂🙂
 
kiswahili kimepanuka!!!! - wengine KIKUKU tunadhani ni kule kumpelekesha mtu pasi hiyari yake - kasombwa kikuku / kachukuliwa kikuku - mithili ya Jogoo anavyompelekesha kuku jike ingawaje kwanza huwa anamtongoza kwa kumwitia chakula au kujifanya anaparuaparua na kujifanya kaona kitu kipya (anam- lure )
 
kikuku ni urembo 2 mbona wamasai wavulana huwa wanavaa vikuku miguuni
 
Hivi tuwaambie mara ngapi kuwa tunavaa kama urembo!!
 
Jibu ulishalipata kwa hao uliowasikia wakiongea, Je watuuliza ili kutusanifu au?. Wengine huwa wanavaa kama pambo na wengine wanavaa kutangaza biashara ya tigo.
 
Waziri+Mkuu

Pinda akiwa na Waziri Mkuu Msumbiji Bi Luisa Diogo akiwa na kikuku chake.
 
Mi napenda sana anklet chains,kuliko hata chain ya shingoni.Kuna zile za kihindi zinakuwa nene halafu kama zina vikengele vidogo vidogo ukitembea vinalia halafu kikiwa cha silver kinakuwa pure silver, gold pure gold.

Kuhusu eti sijui ukivaa unatuma sijui ujumbe gani ni Uongo na ni maneno mbofumbofu kama alivyoimba marehemu Mr Ebbo.

Hivi hawa waume za watu na wake za watu wanaopishana kutwa kwenye nyumba za kulala wageni wamevaa vikuku?

Hao wanaoingiliana kinyume na maumbile wataacha kwa vile hawana vikuku?
Mimi ninavyojua haya mambo watu huwa wanafanya na huwa hakuna ambaye anataka ajulikane kama anafanya tena wapo mpaka wanandoa ukiwaona huwezi kuwadhania na wala hawajui vikuku ni nini kawaulize washauri wa ndoa makanisani na misikitini usikie.Wengine na kusali wanasali kabisa lakini ndoa imeingia Usodoma.

Kwa hiyo hakuna cha vikuku wala vibata ingekuwa hivyo wanawake wa kimasai sijui wangekuwaje.
 
uvaaji wa heleni kwa wanaume...kulia maana yake ni top na kushoto ni DOWN, pande zote mbili malizia wewe.........i
ebo!!
hivi kumbe wasanii wa hiphop bongo nawaona wengi hereni sikioni wanaliwa viboga?
 
Back
Top Bottom