Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

Urijali kwa Mwanaume ni Utajiri pia ulinde sana usiupoteze

Nikikutana na mwanaume alafu ana kitambo huwa namwone huruma sn.Najua hapa hamna kazi kitandani

Mshikaji wangu mmoja ana kitambi cha bia,wiki iliyopita aliokota Malaya akalala nae usiku kucha.kesho yake Yule Malaya anamcheki demu wa chumba cha jirani ambaye ndy alimuunganishia jamaa Kwa huyo demu
Anamsimulia "huyo mwanaume uliyeniunganishia Hana maajabu yoyote kitandani,likitambi likubwa,usiku kucha anapiga bao moja Tu alafu ana kiba [emoji817] ".
Yule demu jirani akaniambia huku anacheka "rafiki yako hajui kupeleka Moto vizuri"..Tangu siku hiyo mwana namuonea huruma sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Unamuonea huruma kwa sababu hakukamia malaya? Malaya hana thamani angedumbukiza hata kipande cha chupa kwenye hilo shimo akamlipa hakuna tatizo.
Huyo mshkaji wako ana bahati mbaya sana wewe ni rafiki yake🤣🤣🤣

BTW upo sawa, kitambi si afya.
 
Nikikutana na mwanaume alafu ana kitambo huwa namwone huruma sn.Najua hapa hamna kazi kitandani

Mshikaji wangu mmoja ana kitambi cha bia,wiki iliyopita aliokota Malaya akalala nae usiku kucha.kesho yake Yule Malaya anamcheki demu wa chumba cha jirani ambaye ndy alimuunganishia jamaa Kwa huyo demu
Anamsimulia "huyo mwanaume uliyeniunganishia Hana maajabu yoyote kitandani,likitambi likubwa,usiku kucha anapiga bao moja Tu alafu ana kiba [emoji817] ".
Yule demu jirani akaniambia huku anacheka "rafiki yako hajui kupeleka Moto vizuri"..Tangu siku hiyo mwana namuonea huruma sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kibamia ni maumbile tu kama ilivyo matiti mengine ni madogo na mengine ni makubwa, bao moja linatosha kwa afya ya mwili
 
Thumb down..mleta mada yupo sahihi [emoji817]% ,unapataje pesa alafu ukale unga(madawa ya kulevya) alafu ndy ujikute unaejoy??

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sema kwako mleta mada yuko 100%, sio kwa wote.

Hivi mnajua kuna vibabu vina mawe pesa ya kutosha na bado wanataka kuendelea kupata pesa zaidi!!.

Tatizo kubwa mlilonalo wewe na mtoa ni nyege mvurugo. Ujue kuna watu kibao wanapenda/kutaka utajiri just for status tuu na wala sio kuendekeza nyapu kama nyie mnavodhani!! Matajiri wengi wako busy huo mda wa nyapu daily hawana, wanasaka pesa ili status yao isishuke.

Starehe kubwa ya maskini ni NGONO.

Napingana na mleta mada mimi kama tajiri rijali.
 
Umelala yooo
 
Umelala yooo
Tafuta pesa uongeze idadi ya starehe zako. Ukipata bwana anakunyandua unapewa 10k imeisha hiyo.

Wenzio wanapelekwa maeneo mbalimbali wakatalii, viwanja tofauti tofauti, beachs maarufu duniani, wakabarizi.

Nakwambiaje, ukiona wewe starehe unayoweza kuafford ni ngono tu, nyingine unaona unamaliza pesa 😁😁, jua we ni maskini. Achana na faraja za mleta mada hapa.
 
Tafuta pesa uongeze idadi ya starehe zako. Ukipata bwana anakunyandua unapewa 10k imeisha hiyo.

Wenzio wanapelekwa maeneo mbalimbali wakatalii, viwanja tofauti tofauti, beachs maarufu duniani, wakabarizi.

Nakwambiaje, ukiona wewe starehe unayoweza kuafford ni ngono tu, nyingine unaona unamaliza pesa [emoji16][emoji16], jua we ni maskini. Achana na faraja za mleta mada hapa.
Baba umelala yooo
 
Huwezi kuwa masikini kwa muda mrefu ukawa rijali na ni sehemu ndogo sana ya matajiri wanahangaika na urijali.

TAFUTA PESA.
Matajiri wasio na nguvu za kiume ni wachache sana😂!!!

Mzee wangu ananiambiaga Pesa ndio nguvu za kiume, ulishamuona Diamond anahangaika na nguvu za kiume? Uwe na hela tu!!!😅😅😅! Huwa nacheka sana yani...
 
Kama mwanaume amezaliwa akiwa na afya njema atakuwa rijali tu.

Mwanaume yeyote anaeweza kusimamia urijali wake vema ndo huwa tajiri. Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa rijali na utajiri.

Mwanaume yoyote anayeshindwa kuusimamia urijali wake huwa masikini au mtu mwenye hela.

Mtu mwenye hela ni yule mtu aliyeradhi afanye chochote kupata pesa bila kujali anatumia njia gani. Apatapo pesa huishia kwenye mtindo mbovu wa maisha kama ulevi, umalaya, junk foods n.k

Maskini na mtu mwenye pesa ni aina ya watu tulio na mtindo mbaya sana wa maisha kuanzia.

TUSIWACHUKULIE POA MATAJIRI, UTAJIRI WAO UNATOKANA NA URIJALI WAO. LABDA KAMA AMEZALIWA AKIWA NA TATIZO LA KIAFYA.
 
Sasa utazifanyia nini hizo hela na nguvu huna ?
Hela zinaleta faraja,hata sisi wanawake tunaweza kukuvumilia kama huna nguvu za kiume ila una vi hela!!!

Sasa nguvu huna,vi hela huna!!inakuwaje hapo!???
 
Pesa na afya uwe imara s afya mgogoro alafu unajiita rijali utakufa kabla ya muda wako kwa pressure
 
Hela zinaleta faraja,hata sisi wanawake tunaweza kukuvumilia kama huna nguvu za kiume ila una vi hela!!!

Sasa nguvu huna,vi hela huna!!inakuwaje hapo!???
Sasa unavumilia nini na mashine haitwangi? Sijakuelewa hapo au ndio utakua unaliwa na vijana kwa siri.
 
Back
Top Bottom