Nicksixyo
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 944
- 263
Mate ya mdomoni..Wengine vinywa vyaweza kuwa safi lakin sio salama!!Dr. asante kwa maelezo
mate, unamaana ya mdomoni au yale ya kuondoa msuguano......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mate ya mdomoni..Wengine vinywa vyaweza kuwa safi lakin sio salama!!Dr. asante kwa maelezo
mate, unamaana ya mdomoni au yale ya kuondoa msuguano......
Bibie Mamndenyi Soma hapa chiniMziziMkavu asante kwa maelezo
je hii kitu huwa inaambukiza?

unao ..unatakiwa upate matibabu...kunyweni maji jamani...pia acheni ngono zembeMhhh...ni juzi tu nimegundua kuwa mpenzi wangu ana U.T.I....sikuwa na uelewa mkubwa sana so nikaona nihabarike zaidi wikipedia ndo nikakutana na hiyo habari kuwa U.T.I ni rahisi sana kuwapata wenye ujauzito na isipotibiwa vizuri ikaisha kwa mama wajazito inaweza kusababisha pre-mature birth(kuzaa njiti) na disabilties nyinginezo kwa huyo mtoto...hivyo ushauri wangu kwako ni vema uhakikisheunalitibu kwa kina hilo tatizo lako haraka iwezekanavyo...
Cha pili naomba nisaidiwe hapa jamani kama mpenzi wangu ana U.T.I namimi ntakosa kweli???....na madhara yake ni nini kwa wanaume??
Assyfox????? Hii mpya-labda una utani na huyu jamaaTumia assyfox dozi moja tu utapona kwa uwezo wa Mungu
Assyfox????? Hii mpya-labda una utani na huyu jamaa