Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Ni PM nitashughulikia tatizo lako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
MziziMkavu asante kwa maelezo
je hii kitu huwa inaambukiza?
Bibie Mamndenyi Soma hapa chini

Ngono zembe

Kwa vijana wadogo wanaopitia kipindi cha mpito kuelekea utu uzima, tendo la ngono zembe linatajwa kusababisha maambukizi katika njia ya mkojo kwa asilimia 75- 90. Si kwa vijana pekee, hata watu wazima nao hupata ugonjwa huu kwa kufanya ngono bila

tahadhari. Hii ni kwa sababu Escherichia Coli hupatikana kirahisi kwenye viungo vya uzazi.

Sababu za kimaumbile

Wanawake wanatajwa kuwa wepesi wa kuambukizwa UTI kutokana na maumbile ya viungo vyao vya uzazi. Kwa kuwa wanapotaka kwenda haja ndogo ni lazima wachuchumae, mkojo hugonga kwenye kuta na sakafu za choo na kubeba uchafu wenye

bakteria wasababishao UTI kisha kugusana na sehemu za siri ambapo uambukizo huanzia hapo. Matumizi ya vyoo visivyofanyiwa usafi wa uhakika, huwaathiri wanawake kwa kiasi kikubwa.
Upasuaji wa njia ya haja ndogo (Catheterization)

Kwa wale wenye matatizo ya kibofu ambao hulazimika kufanyiwa upasuaji wa kuwasaidia kupata haja ndogo kwa kutumia mipira maalum (Urinary Catheterization), wapo kwenye hatari kubwa ya kupata

maambukizi ikiwa upasuaji hautafanyikwa kwa umakini wa kutosha.
Matumizi ya pedi zisizo na ubora
Wanawake wanapokuwa katika siku zao za mzunguko wa hedhi, endapo watatumia pedi (sanitary pads)

zisizo na ubora au ambazo muda wake wa matumizi umekwisha, wanaweza kupata maambukizi haya. Pia wale ambao hawana uwezo wa kununua pedi na badala yake hutumia vitambaa, kama hawatazingatia usafi ikiwa ni pamoja na kuanika juani na kupiga pasi, nao huwa katika hatari kubwa ya kupata maambukizo.

Last edited by a moderator:
nashukurun wajamen:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Tumia juice ya cran berries hii haitakusumbua inasaidia sana kwa wale wenye recurrent uti, ina fanya acidification of urine na kusaidia kuua wadudu wanaosababisha maambukizi kwenye njia ya mkojo.
soma hapa chin

cranberry_juice_urinary_tract_infections_1.jpg
Reviewed by Laura J. Martin, MD
Aug. 23, 2010 -- Scientists report that within eight hours of drinking cranberry juice, the juice could help prevent bacteria from developing into an infection in the urinary tract.
Previous studies have suggested that the active compounds in cranberry juice are not destroyed by the digestive system after people drink them, but instead work to fight against bacteria, including E. coli. This latest study, presented at the national meeting of the American Chemical Society in Boston, affirms that and provides evidence of the medicinal value of cranberries.
The new research suggests that the beneficial substances in cranberry juice could reach the urinary tract and prevent bacterial adhesion within eight hours.
Researchers from the Worcester Polytechnic Institute in Massachusetts grew strains of E. coli in urine collected from healthy people before and after they drank cranberry juice cocktail.
How Cranberry Juice Treats Urinary Tract Infections

A mixture of cranberry juice, water, and sweeteners found in cranberry juice cocktail was used for the study because it is the most popular cranberry beverage. The researchers discovered that in petri dishes, cranberry metabolites in the juice prevented E. coli from sticking to other bacteria, limiting its ability to grow and multiply. If E. coli is able to connect with other bacteria, such as the bacteria found in the urinary tract, it forms a layer or "biofilm." This allows the bacteria to multiply and produce an infection.
"A number of controlled clinical trials -- these are carefully designed and conducted scientific studies done in humans -- have concluded that cranberry juice really is effective for preventing urinary tract infections," says study researcher Terri Anne Camesano, PhD, in a news release. "That has important implications, considering the size of the problem and the health care costs involved."
Urinary tract infections are more common among women than men. According to the researchers, one in three women has had a urinary tract infection.
Urinary tract infections can occur anywhere along the urinary tract, which includes the bladder, urethra, and ureter. These infections account for 8 million trips to the doctor's office every year and cost more than $1.6 billion to treat.
Camesano said people should not self-treat urinary tract infections, and anyone who suspects they have an infection should see a doctor, but drinking cranberry juice may be an easy, inexpensive way to help keep E. coli at bay.
In the event of a urinary tract infection, antibiotics are the most common treatment. If left untreated, particularly in children, the elderly, or people with other chronic medical conditions, urinary tract infections can become more severe.
This is fantastic. it works very brilliant
If interested call 0752720276

cranberry_juice_urinary_tract_infections_1.jpg

For those with recurrent UTI this is fantastic

Aloe-Berry-Nectar-drink.jpg
if interested call 0752720276
 
Mhhh...ni juzi tu nimegundua kuwa mpenzi wangu ana U.T.I....sikuwa na uelewa mkubwa sana so nikaona nihabarike zaidi wikipedia ndo nikakutana na hiyo habari kuwa U.T.I ni rahisi sana kuwapata wenye ujauzito na isipotibiwa vizuri ikaisha kwa mama wajazito inaweza kusababisha pre-mature birth(kuzaa njiti) na disabilties nyinginezo kwa huyo mtoto...hivyo ushauri wangu kwako ni vema uhakikisheunalitibu kwa kina hilo tatizo lako haraka iwezekanavyo...

Cha pili naomba nisaidiwe hapa jamani kama mpenzi wangu ana U.T.I namimi ntakosa kweli???....na madhara yake ni nini kwa wanaume??
unao ..unatakiwa upate matibabu...kunyweni maji jamani...pia acheni ngono zembe
 
wandugu nina yutiai sugu nimetumia dawa za hospitali siponi labda kuna zA UKWELI zaidi me ni mwanaume nipo arusha nimeoa
 
Tumia assyfox dozi moja tu utapona kwa uwezo wa Mungu
 
Maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI) Urinary Tract Infection (UTI)

Information Description

Wanawake na wanaume wanaweza kupata maambukizo kwenye njia ya mkojo, lakini zaidi kwa wanawake kwa sababu ni rahisi bakteria kuingia kwenye njia ya mkojo. Dalili za maambukizo ni:

• Kutaka kukojoa mara kwa mara
• Kusikia maumivu makali wakati wa kukojoa
• Mkojo kuchanganyikana na damu.

Maambukizi haya yanaweza kuepukwa kwa kujiweka safi hasa kwa kusafisha eneo la via vya uzazi kila siku na kuhakikisha unanawa baada ya kwenda haja kubwa. Wakati wote unasafisha kutoka mbele kuelekea nyuma. Ukisafisha

kutoka nyuma kwenda mbele unaweza kusambaza bakteria kutoka kwenye haja kubwa kwenda kwenye tundu la

mkojo. Hatua nyingine za kuchukua ili kuepuka maambukizo haya ni kunywa maji mengi; kukojoa mkojo mara kwa mara (usijaribu kubana mkojo kwa muda mrefu) na hasa baada ya ujamiiana, na kuvaa chupi za pamba na nguo pana zinazoweka sehemu za siri kavu.

Iwapo unafikiri unayo maambukizo kwenye mrija wa kupitisha mkojo, kunywa maji mengi na nenda
kamwone mhudumu wa afya kwa ajili ya matibabu. Usijamiiane mpaka dalili zote ziwe zimetoweka.

Chanzo.MziziMkavu More News Press here
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/282746-urinary-tract-infection-uti.html
 
Nili sex na msichana mmoja dacktari mmoja anasema nimeambukizwa UTI mwingine anasema ni magonjwa ya ngono.nimetumia dawa nyingi sana.kma erythromycin,glandmycin,metro.lakini sijapona.naombeni mnisaidieni.wakatia wa kukojoa napata tabu sana
 
Huenda una tatizo lingine. Unapata discharge yoyote?
Nenda kaonane na urologist. Labda una shida ya matezi. Fuatilia mapema kabla hali haijawa mbaya sana
 
kama umetumia dawa kama unavyosema bila mafanikio kaombe ufanyiwe urine culture ni test inayofanywa ili kubaini bacteria wanao sababisha UTI, hapo wanachukua mkojo wanauweka kwenye mazingira yanayoruhusu wadudu kukua, kama wadudu wakionekana/kukua kidogo basi hapo ni negative yaana hakuna infection, kama wadudu wakikua/kuonekana wengi ni positive manake kuna infection,ndipo wanaangalia ni aina gani ya wadudu walioonekana/kukua kwa darubini au vipimo vingine wakishajua hao wadudu ni aina gani tayari ni rahisi kujua dawa inayotibu/kuua wadudu hao,ukitumia dawa hiyo basi utapona kabisa na ugonjwa utatoweka kama walivyotoweka nzige vinginevyo upate maambukizo mapya.
 
Maelezo uliyotoa ni hafifu hivyo na majibu yake yatakuwa guess work. Hujatuambia jinsia yako maana siku hizi ngono ina uzio mpana sana, nachukulia hapa kuwa wewe ni mwanaume.
Zipo sababu kama 3 hivi zinazosababisha usipone:
Unaweza labda umekunywa dozi chini ya kiwango kuweza kutibu ugonjwa,
Germs walioko mwilini mwako pengine hawakuweza kuuwawa na dawa ulizotumia (resistance)
Germs walioko mwilini mwako kwa dawa ulizotumia pengine sio walengwa e.g. kama umeambukizwa chlamydia au mixed infections.
Jaribu kupata ushauri wa daktari na kufanyiwa vipimo mbali mbali ili kuweza kutatua tatizo lako mapema.
 
Aksnate ni sana.wadau ila naumia sna.km mni Pm ili niwezekukupigia simu na kueleza kwa undani
 
Hakuna discharge yeyote.ni maumivu tu wakati nikitaka kukojoa
 
Back
Top Bottom