Pre GE2025 Uropokaji wa Tundu Lissu ni kilema hawezi kubadilika. Tumkatae kabla hajaleta maafa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waropokaji sio viongozi ila ni mabingwa wa kupanga mapinduzi bila mwendelezo.Hii ni kama wale mitume na manabii wa pesa,wanakuambia dini uliyopo audhehebu ni shida,ukimpa kichwa chako akaongoza unashangaa umefilisika,baadhi walokole wengi wamepigiwa hapa.Ndio maana hawa ni mabingwa wa kuongea ila utendaji ni ziro,ni mikwara tu.Ndilo kosa linataka kutokea
 
Lissu anavyowapelekesha mpaka mtajamba cheche
 
Nimeshangaa sana aliposema kuwa yale mambo yaliyokuwa yanajadiliwa kwenye ule MUAFAKA wa CCM na CHADEMA, 'kuna mambo' yasingefahamika, kama HECHE asingekuwemo kwenye wajumbe kutoka CHADEMA. Pamoja na kuwa, naye HECHE "HANA SIRI", Lissu hakupaswa kumtaja! Na wakichukua chama hiki, tutegemee mengi, kutokana kuwa na viongozi WANAOFANANA kwa kuto KUTUNZA SIRI!
 
umemjua baada ya kugombea uenyekiti? Acha uchawa banamdogo fanya kazi halali
 
Makelele unayo wewe unaekuja humu kila siku kubwabwaja na wala hicho unachokizungumzia hakijulikani labda unafiki.
sasa hebu cheki na kufikiria vizuri,

kama viongozi wakuu wa chama mnakaa kwenye kikao tena cha kamati kuu, na mnakubaliana bila ubishi wala kutofautiana maoni kwamba kama viongozi wa chama kila moja ajitolee kuchangia kiasi fulani cha fedha kwa maslahi ya chama, vizuri tu, kila moja anasema sawa sawa, kikao kinafungwa salama.


baada ya muda unaskia mayowe mitandaoni na kwenye majukwaa ya kisiasa kutoka kwa kiongozi yule yule aliekubali kuchangia kwenye kikao cha kamati kuu, eti anadai hakuna sheria wala kanuni ya chama inayomlazimisha kiongozi kuchangia kitu chochote kwaajili ya chama.🤣

hii ni kelele au mayowe my friends, ladies and gentlemen 🐒
 
Chadema wengi ni watu wa vibe awafanyi analysis wakisikia lolote wanamshangilia ilimrad lisemwe na wanayempenda. Lissu ni disaster.
 
Okay kama mnataka kumtumia kuwasha moto wa machafuko basi mmeshachelewa hawezi fanikiwa kashadhibitiwa.
Hata akidhibitiwa haiwezi kuondoa spirit yetu ya kuwaondoa nyie majizi.
 
Naona CCM mnahangaika sana kujifanya nyie Chadema.

Lissu sio mropokaji. Labda ungetuambia uropokaji wa Lissu ni upi na una madhara gani kwa Chadema au Tanzania?

Nyie CCM kibaraka anayekula hela zenu na kuwadekea ili muendelee kuila Tanzania ndo mpinzani mnayemtaka. Mpinzani kweli anayewaambia ukweli kazi yenu kumtengenezea fitna tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…