Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

Chakula kajianika wazi kabisa hadi ametrend
Putin saiz kakatazwa na basha wake Zele kuzurura hovyo ndo maana hata kwenye mkutano wa brics kwa Madiba hakwenda, kaambiwa akae ndani alee mimba
 
Putin saiz kakatazwa na basha wake Zele kuzurura hovyo ndo maana hata kwenye mkutano wa brics kwa Madiba hakwenda, kaambiwa akae ndani alee mimba
Nani kavaa vitait hadharani kapiga na kideo kabisa,,,,,,mengine yakufikirika ila Zele mambo hadharani anafukuliwa
 
Nani kavaa vitait hadharani kapiga na kideo kabisa,,,,,,mengine yakufikirika ila Zele mambo hadharani anafukuliwa
Putin hawezi hata kwenda kwenye mkutano wa BRICS ambao yeye ni mwanachama na unafanyika ndani ya nchi mwanachama kisa na mkasa kazuiwa na basha wake Zele atulie alee mimba
 
Putin hawezi hata kwenda kwenye mkutano wa BRICS ambao yeye ni mwanachama na unafanyika ndani ya nchi mwanachama kisa na mkasa kazuiwa na basha wake Zele atulie alee mimba
Leta kideo Putin kavaa vi tight kama Zelensky anajibinua.....
 
"Hakuna marefu yasiyo na ncha". Mjerumani alikuwa na jeuri sana enzi zake, Warumi zamani ndo waliitawala dunia ya wakati huo lakini wote wameufikia mwisho wao. Huyu Mrusi naye, kama waliomtangulia, ataufikia mwisho wake. Ni suala la muda tuu.
Atatangulia Mmarekani
 
Mbona nmeona taarifa ya Putin ikisema ni shambulio lililofanywa na JIHHAD ISLAMISTS GROUP??
 
Ukraine sijui kaahidiwa nn na NATO sio Kwa hivi vipigo anavopata.😟
 
Lk
Kaa kimya basi. Huyo aliyewafikishia na aliyepokea washamalizana. Coz washapewa taarifa nzima zilivyo ila baada ya kutokuchukua hatua ndio watu wanatafutaga wakumpa lawama mbele ya umma. Kumbuka black war ni kubwa kuliko live war. Na ili Russia apate uhalali wa kushambulia maslah ya west anatakiwa aje na ushahid usio na mashaka kuwa ndio waliohusika. Na sasa hiv utamuona Russia wakizifanyia kaz zile taarifa rasmi. Inawezekana Isis ni branch ya marekan kawautumia waislam bila wao kujua Lakin hiyo haimpi Russia uhalali wa kuwashawishi watu kuwa wametumwa na West. Dunia haiendeshwi kienyeji hivyo. Hapo Congo kila mtu anajua vita vile Ni vya Kagame Lakin leta ushahid mezan huna so unabaki kuwachanganya watu wengine watamuunga mkono wengine watampingaLkn pia kumbuka wahusika wa shambulio walikamatwa na wanahojiwa mpk Leo kwa maumivu makali mmoja alitobolewa jicho mwingine kakatwa sikio..... unadhani watajisazia ukweli wa Nani aliwatuma na kwa malengo yapi????
 
Back
Top Bottom