Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

Hizo data ni za production tuwekee na za consumption

Sababu waweza kuwa producer mkubwa lakini consumption yako inapita production inabidi u import
Warussia wanauza Ngano karibu dunia nzima kumbuka
images.jpg
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
Wanazalisha kingi kuliko matumizi yao
 
Ni kama mie namdunda mdogo wangu, knuckles za kutosha, mpaka anasambaratika, kisa eti anataka kuingia kwenye kikundi cha kusaidiana kimaisha ambacho mie nina beef nacho.
Washkaji na wale kikundini na wengine lazima waingilie, ile basi basi yatosha nyie ndugu, ila mie braza bado nipo tu naendelea.
Sasa huo si ukichaa?!
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
Fact
 
Warusi wenyewe wenye nchi yao wanaandamana kupinga vita batili vya Putin, lkn kuna Warusi wa Tanzania wanashabikia yale mauaji ya halaiki !!!
warusi wa Tanzania ni warusi koko wengi wao ni viraza. Ila mimi ni kiraza pekee nisieshabikia upande wowote. Binadamu kupigana ni wehu
 
Purtin is rubbish muuaji
Hamjitambui nyie team USA urusi analinda nchi Yao marekani anataka aweke silaha Ukraine ili amshambulie kirahisi.na Hamna uwezo wa kumfanya chochote Putin.
 
Ni sawa sasa wana maisha magumu pesa zao zimekamatwa na mali kumtosa ili kufurahisha nchi za Magharibi waachie Mali zao ni kitu kidogo .Nchi za Magharibi zikiwambia mtoseni tuachie mali zenu muendelee kula bata mbona Putin Kesho tu anauawa au kupinduliwa
Huzijui siasa za Urusi mkubwa na uzuri Putin alishawaonesha mfano wa yatakayompata oligarch yeyote atakaeenenda kinyume na matakwa ya Kremlin,huo utajiri ulioshikiliwa huko US nk ni kama tone la maji kwa fursa za kutengenezewa na serikali wanazopewa hao matajiri watiifu kwa ikulu ya Kremlin
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
Mkileta habari zenu muwe na data inayoeleweka.
Focus-on-Russia_Chart-1_Feb_E.jpg
 
warusi wa Tanzania ni warusi koko wengi wao ni viraza. Ila mimi ni kiraza pekee nisieshabikia upande wowote. Binadamu kupigana ni wehu
Hizo nchi kubwa zimetengenezwa Kwa vita.kwa hiyo sometime vita ni namna ya kujenga future.
 
Tanganyika na Zanzibar ni za ngapi katika list hiyo ya uzalishaji kidunia?
 
Pro Western Media ni balaa Russia ni wakulima wakubwa sana wa ngano na mahindi na vyakula vingine Wana chakula Cha kulisha nchi miaka zaidi ya kumi bila shida. Tatizo liko kwa Ukraine maana wamekuwa wakimbizi kwa nchi za jirani hakuna kulima vyakula vinaachwa kwenye maghara kuepusha roho zao. Hivyo uwe unachuja habari siyo kukwapua info ambazo hazina miguu wala kichwa. Tanzania walipigana na Uganda miaka karibu miwili lakini watu hawakufa njaa sembuse taifa kubwa kama Russia ndo week moja wafe njaa. Jaribuni kutumia angalau .001 % ya ubongo wako waweza jua dunia inaenda wapi.
duuh fikiria population ya nchi ya Russia na mahitaji ya kila familia mkuu wakati hapa tz kuna watu ni kawaida kupiga desh mchana kwajili ya ugumu wa maisha unaweza kuta kila mtu mmoja anatumia wastani wa 10000 kwa siku moja huko Russia mahitaji ni makubwa mnno tofauti na huku Africa mtoto anakuzwa na muindi wa kuchoma..
 
Mkuu haya majamaa ni matahila.
Hulo Europe Sasa hivi kila kitu juzi. Kila siku viongozi wao wanakili wazi kuwa Hali itakuwa mbaya, uzalishaji viwandani unashuka. Lakini huskii chochote kuhusu Hilo from Western media.
Ila mtu akisema F......u hiyo ni habari.
Hawa jamaa wako hoi wanatamani kitu kitokee kwa Russia Ila hakitokei, matoke yake kahabari kokote negative kuhusu Russia hata Kama hakana ukweli wanakuchukua juu juu. You know what? Ni namna ya kujiliwaza kutokana na mfadhaiko wa kisaikolojia wanaoipitia kwa sasa
jamaa anapumulia hivi hivi mlimponza Saddam...
 
Back
Top Bottom