Mkuu haya majamaa ni matahila.
Hulo Europe Sasa hivi kila kitu juzi. Kila siku viongozi wao wanakili wazi kuwa Hali itakuwa mbaya, uzalishaji viwandani unashuka. Lakini huskii chochote kuhusu Hilo from Western media.
Ila mtu akisema F......u hiyo ni habari.
Hawa jamaa wako hoi wanatamani kitu kitokee kwa Russia Ila hakitokei, matoke yake kahabari kokote negative kuhusu Russia hata Kama hakana ukweli wanakuchukua juu juu. You know what? Ni namna ya kujiliwaza kutokana na mfadhaiko wa kisaikolojia wanaoipitia kwa sasa