Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mtu yeyote anayeishabikia USA inayonuka damu namwona ni mpumbavu wa kiwango cha SGR.

Kujipendekeza kote huko mmenyofolewa neurons za bongo zenu hadi msitambue hata maisha haya mnayoishi katika karne hii ni huyo huyo ndiye aliyewasababishia kwa kuwapatia mikataba migumu kama wa madini ya Barrick, ushoga kibiashara juu ya rasilimali zenu?

Hao Boko Haram, waasi kule nchini DRC ni nani anayewafadhili?

IRAQ, LIBYA, YEMEN, SYRIA, AFGHANISTAN na VIETNAM ni nchi ipi iliyomwaga damu nyingi za Watu wasio na hatia na kunyang'anya mafuta na gesi [emoji848]

Fikiri nnje ya boksi kiakili (ubongo) siyo kuendeshwa endeshwa tu na mahaba(moyo)
 
Rais wa Ukraine ata-declare neutrality, na kipande cha Ukraine kitachukuliwa na Urusi.
NATO hataki kukaa Ukraine, najua hizo ni ndoto za watu wengi lakini ni vyema kuishi katika ukweli.
Hata Kamuzu Banda alilitaka ziwa Nyasa lote, lakini ilibidi aukubali ukweli.
Hata USA operations zake zote mpaka akaanza kuingia mtaa kwa mtaa, the shortest was 42 days.
Russia ana wanajeshi 190,000 Ukraine. Jumla ya wanajeshi wake wote ni 1.1 million, na reservists about 2 million.
Tuishi kwenye ukweli.
 
Mbona huko Syria Aleppo hizo patriot hazikumzuwia Assad asiwasambaratishe waasi waliokuwa wanasaidiwa na USA na wenzie wa NATO?
 
Uteketeze 80% ya nguvu za kijeshi halafu ushindwe kumiliki hata kijiji? Hizi propaganda za kijamaa ni kiboko.
Mariupol City halijawekwa chini ya Russia hadi dakika hii, mahaba yatakuua Mmarekani mweusi toka Mwabepande wewe [emoji38]
 
Kama utakumbuka nimekuuliza. Inawezekana technology aliyo nayo USA na Mrusi anayo lkn m kwa kias gani? Inawezekana wote tuna armoured vehicles lkn ww una 1,000 mm nina 20k .. hata kama zina capacity moja nitakushinda tu

Mfumo wa urus s400 inawezekana ndio bora ila je , una uwezo wa kuhimil mashambuliz kias gani. anga la Syria linalindwa na mrusi lkn kila siku Israel anadondosha makombora tu Syria

Hiyo inatuambia kwamba hii mifumo haifanyi kazi at 100%

Yes, yana weza intercept missiles .. sawa je, zikija 20 kwa pamoja una mtambo wa kurusha kombora 20 at per ku intercept hizo? Iweze pick moja ifanye calculations za kila moja na ku pin point kila moja litakapo pita ikali intercept??

Economically , USA is superior to everyone..

Pale marekan pekee kuna majimbo yana uchumi mara tatu ya Russia , kuna majimbo matatu kama sio manne yana uchumi mkubwa kuliko Russia , huwez pigana vita ya namna hii, USA inaweza weka mezan budget ya vita vs Russia ambayo n kubwa kuliko uchumi wa Urus yote

Kitu ambacho kinaweza sababisha tusije ona vita kati ya USA na Russia n makombora ya Nuclear, Ukraine ilifanya makosa makubwa sana kumpatia Russia hayo mavitu
 
Unabadilika badilika kwa maelezo yako hata hujui chochote unachosimamia, we kaa kimya tu.
 
Ukitaka kujua nguvu ya US jiulize kwann Kila mara US ndio anawawekea vikwazo wenzake na yy ni nadra kusikia amewekewa vikwazo na nchi nyingine.
Tayari RUSSIA kashamwekea vikwazo USA na EU hawatakiwi kununua gesi bila ya thamani ya pesa za RUSSIA "rubbles"
 
Mkuu unatumia nguvu na akili kubwa sana kumnufaisha mahaba niue wa USA na EU bila malipo yoyote, muhimu mpotezee tu [emoji16]
 
Mbona huko Syria Aleppo hizo patriot hazikumzuwia Assad asiwasambaratishe waasi waliokuwa wanasaidiwa na USA na wenzie wa NATO?
Hazikuwapo na wala wale waasi hawakuwa wanasaidiwa na marekani. Lengo la Marekanikule ilikuwa ni kumtafuta kiongozi wa ISIS na walimpata.
 
Wewe ni kiazi kweli ulitaka alipue nini au vita ni nini
 
dah,mawazo mengine hatari sana,kuifananisha urusi na venezuela,inamaana hujiulizi hata kidogo kuwa urusi ni nani?ulaya na marekani wamemwekea vikwazo,lakini ghafla vitu vimepanda bei ulaya yote na marekani kwenyewe,mpaka wananchi wanaandama,jifikirishe walau kidogo tu,nguvu ya urusi kiuchumi hapa duniani.dunia nzima vitu vimepanda ovyo ovyo.
 
Malengo ya Russia yalikuwa to demilitarize and denazify Ukraine SIYO kuiteka na kuikalia! Kitu ambacho Russia inafanikiwa.Russia imeharibu miundo mbinu ya kijeshi ya Ukraine kwa asilimia kubwa(demilitarization) na kuyakomboa majimbo ya Donbass ambayo yalikuwa yanateswa na majeshi ya Nazi ya Ukraine.
 
vichekesho vingine shida sana,eti patriot,wa houth wa yemen,hawana tecnology yoyote,kila siku wanalipua saud arabia, na patriot zao zinalipuliwa,sada mrusi mwenye hypersonic ndo umzuie na patriot?
 
Naona UK na US pumzi zimekata, leo vyombo vya habari havizungumzi urusi kurudishwa nyuma. Sana sana Mariapol wanasema raia watoke hakuna chakula , kiev napo wanasubiriwa watoke kwenda kutafuta chakula mrusi kabana njia zote.

Hii vita imechochewa na US kutaka deal la Gas uropa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…