Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Usiwe mbishi, raia wanaoishi mpakani wanavuka kuingia Mexico kuchukua mafuta, usiwe mbishi.Marekani ndio mzalishaji wa mafuta na gesi duniani, mafuta yamepanda ila siyo kwa rate ambayo wanakimbilia Mexico kununua
Russia ata athiri EU tena east
Unaposema vikwazo havina impact kwa russia wakati tunaona mabenki yote ya kirusi hayafanyi kazi nje ya Russia
Na juzi kati hapa rusia iliwaomba iwauzie india mafuta kwa bei ya chini na bado india inaogopa kununua mafuta yenye vikwazo vya west
Kilasiku benki ya russia ina haha kutafuta njia za kupunguza makali ya vikwazo kuwawekea wateja wao viwango vya fedha wanazoeza kuchukua
Alaf ww unasema hivyo vikwazo havina maana kwa Russia
Vikwazo Russia walijua miaka 10 nyuma kwamba kuna siku kuna hili jambo litatokea, walishajiandaa kisaikolojia.
Ujinga wa US ni kuchukua hatua ambazo zinatabirika, kwa hilo watu wanajipanga na mahesabu makali, hata Putin alisema watapita sehemu ngumu lakini kwaa muda tu.
Ni mwezi mmoja to EU hali ni mbaya, sasa ngoja ipite hata miezi 6 uone EU kama hawajanunua gas kwa ruble.
Qatar wenyewe wamesema, hakuna namna ya kuziba sehemu ya Russia imeacha.