Urusi huenda imebakia na nguvu ya mashambulizi kutoka angani tu, ardhini pumzi imekata?

Sasa uko angani wanawezaje kufanya upembuzi wa raia?Kati ya angani na aridhini n wapi ilikuwa rahisi infanya huo upembuzi,uongo mwingine muwe mnajipanga kwanza.
Baada ys Kichapo heavy Comedian akili zimeanza kurudi.
Screenshot_20220324-160515.jpg
 
Biden ameongea kauli moja iliyotafsiriwa kama ni kuruhusu Putin ashughulikiwe. Ni mjeuri huyu mrusi anayependa kuona Soviet Union ya wakati ule ikiwa inarudi miaka ya sasa lakini Wamarekani wameshaitawala sana dunia kwa sasa.

Ukishanunua simu ya kisasa umekubali kutawaliwa na mmarekani, huo ni ushawishi ambao Russia hana kwa sasa. Wanamzunguka Putin na asipokuwa mwangalifu watamfanya kitu mbaya.
[emoji16][emoji16][emoji16] wet dreams Ni changamoto.
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Hivi unaujua ukubwa wa eneo la Ukraine mpaka ufikiri operesheni ingeisha ndani ya siku tatu?
Pia ujue kuwa hii siyo vita halisi kama USA na Iraq, hii ni operations maalumu ambayo ililenga kuondoa nguvu za kijeshi za Ukraine ambazo marekeni walikuwa wamewajengea kwa lengo la kuweka makombora ya kuilenga Urusi. Wakati Russia wanailalamikia Marekani na kutaka security assurance lengo hasa lilikuwa kutaka marekani aondoe maabara za biological weapons na aache kusuply makombora kwa Ukraine. Karibu 80% ya nguvu za kijeshi ya Ukraine imeteketezwa!

Tofauti ya 'vita' na 'oparesheni maalumu' ni ipi?
 
Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia.

Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la kuivamia Ukraine ndani ya siku tatu tu ili kuepusha mauaji endelevu ambayo yangetokana na muendelezo wa kupigana vita kwa muda mrefu. Lakini hali imekuwa tofauti sana, mpaka leo hii, takribani mwezi mmoja tangu kuanza vita vya Ukraine hali bado tete huku Russia ikishindwa kumaliza shughuli za uvamizi kwa wakati.

Ukiachilia mashambulizi kutoka angani ambayo kutwa na usiku yamekuwa yakifanywa na Russia, tena yakilenga makazi ya watu, shule, hospitali, taasisi za uzalishaji nishati na maeneo mengine ya umma, hakuna kipya, kikubwa na cha zaidi ambacho Russia inaelekea kukifanya kupitia ardhini. Nguvu ya kupigana vita vya ardhini ni kama ndogo au inakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Sehemu ya askari wa Russia waliofanikiwa kuingia na kukaa katika miji ya Ukraine ni kama wametelekezwa na Russia kiasi cha kukosa chakula au kuzingirwa upya na kisha kuangamizwa na askari wa Ukraine

Nawaza tu, mara ghafla anga la Ukraine na mataifa jirani yanayozunguka Ukraine likifungwa na kuzuiwa kwa Russia kukaribia ili kuishambulia Ukraine, nini kitafuata?
Sifa anazopewa urusi ni tofauti na uhalisia. Hata kama ukraine anasaidiwa na NATO bado urusi alitakiwa atuaminishe nguvu alizo nazo.
Putin is extremely overrated!
 
Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia.

Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la kuivamia Ukraine ndani ya siku tatu tu ili kuepusha mauaji endelevu ambayo yangetokana na muendelezo wa kupigana vita kwa muda mrefu. Lakini hali imekuwa tofauti sana, mpaka leo hii, takribani mwezi mmoja tangu kuanza vita vya Ukraine hali bado tete huku Russia ikishindwa kumaliza shughuli za uvamizi kwa wakati.

Ukiachilia mashambulizi kutoka angani ambayo kutwa na usiku yamekuwa yakifanywa na Russia, tena yakilenga makazi ya watu, shule, hospitali, taasisi za uzalishaji nishati na maeneo mengine ya umma, hakuna kipya, kikubwa na cha zaidi ambacho Russia inaelekea kukifanya kupitia ardhini. Nguvu ya kupigana vita vya ardhini ni kama ndogo au inakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Sehemu ya askari wa Russia waliofanikiwa kuingia na kukaa katika miji ya Ukraine ni kama wametelekezwa na Russia kiasi cha kukosa chakula au kuzingirwa upya na kisha kuangamizwa na askari wa Ukraine

Nawaza tu, mara ghafla anga la Ukraine na mataifa jirani yanayozunguka Ukraine likifungwa na kuzuiwa kwa Russia kukaribia ili kuishambulia Ukraine, nini kitafuata?
Unatakiwa kujua kwamba hii sio vita ni operation ndugu yanu, ivyo operation ina malengo yake na maeneo ambayo wao wameyalenga kutokana na vyanzo vyao vya uchunguzi warusi wenyewe.

Unajua kwamba Ukraine hana ni dunia ya 3 na hana uwezo wa kupigana vita na Urusi hata kidogo, vita ya ukraine naUrusi ikiwa ni vita kweli basi inachukua siku moja, tena Urkaine anapigwa kutokea Urusi wala mrusi hana shida ya kumfuata sijui uko kwake field. Anapigwa vizuri tu kutokea moscow pale.

Hii ni operation
 
Ndivyo urusi wamekuambia wamemaliza? Mbona kichekesho hiki
We jamaa unasoma kinyumenyume?, nimesema Putin kamwaga nguvu zote hawa ndo wanajipanga.na ndio shughuli inaanza.
Nnavyojua kuna kukaa mezani hapo ila nayeye aondoke.
 
Asubuh ya leo watu wamesarenda ukraine inatumia raia kama ngao ndo maana raio wanalazimishwa wasikimbia. Urusi sio marekani marekani huwa inapiga bila kujari raia ama laa View attachment 2166593View attachment 2166594View attachment 2166595View attachment 2166592unafikir wanajeshi wa urusi wamezikamataje hizo ant tank sema hii vita ina progagnda nyingi.
Picha za mwanzoni kabisa kabla hamjaanza kufinywa , hata hvyo suala la casuality ni kawaida vitani, sa hv vifaa vya kutungua makombora yenu vimeanza kufika , inasubiriwa hyo operations yenu ya east
 
Hivi unaujua ukubwa wa eneo la Ukraine mpaka ufikiri operesheni ingeisha ndani ya siku tatu?
Pia ujue kuwa hii siyo vita halisi kama USA na Iraq, hii ni operations maalumu ambayo ililenga kuondoa nguvu za kijeshi za Ukraine ambazo marekeni walikuwa wamewajengea kwa lengo la kuweka makombora ya kuilenga Urusi. Wakati Russia wanailalamikia Marekani na kutaka security assurance lengo hasa lilikuwa kutaka marekani aondoe maabara za biological weapons na aache kusuply makombora kwa Ukraine. Karibu 80% ya nguvu za kijeshi ya Ukraine imeteketezwa!
Russia malengo yake ya kuiteka Ukreine ilikuwa siku mbili tu awe ameisambaratisha na kuweka mtawala anayemtaka yeye,Bahati nzuri hesabu zake alizipiga vibaya kwa kujiamini yeye ni Super Power.Asikutadanganye mtu kuwa eti hii si vita kamili!!Sema tu Russia kazidiwa mapigo na Ukreine ndiyo maana wameshindwa kuuteka mji mkuu wa Ukreine kwa wakati!!.Kwa upande wa kuua raia,kuharibu makazi na kubomoa miundombinu ya kiraia Russia ameshinda lakini kwenye uwanja wa vita ameshindwa vibaya sana ndiyo maana mwezi na zaidi hakuna chochote alichokifanya zaidi ya kuua raia,kuharibu makazi yao na kuharibu miundombinu ya kiraia!!.
 
Ukitoka hapa kajifunze kidogo kuhusu Venezuela alafu jipige kifua useme mjinga mm

Venezuela n taifa linaloongoza kwa reserve ya mafuta dunia ,. Lina mafuta mara nne ya Russia

Lilikua namba 5 dunian kwa uchumi .. jeur zikawapanda kichwan wakidhan hawagusiki

Wapigwa vikwazo vya uchumi kutokea 2014 leo 2022 Zimbabwe n tajiri kuliko Venezuela

Wewe ruka ruka weee na jeuri zako ila tu kikwazo baada ya kikwazo , utanyooka tu .. hayo ma supersonic yatabak kama matoi tu ya kuchezea watoto
Mzee utasubiri miaka 200, Iran ina miaka zaidi ya 40 kwenye vikwazo, ndio kama wamewaboost, ndio taifa powerful zaidi middle east.

Russia ina uwezo wa kuipa Ulaya vikwazo na hilo limedhihirika, Russia ni giant wa dunia usifikiri hio ni Zimbwabe ya Mugabe.

Biden ameongea maneno yake ya kilevi na uzee unamsumbua eti anasema Putin ni muuaji na hafai kukaa madarakani, white house wakasema hayo ni maneno yake binafsi hayakuwa kwenye hotuba😂😂😂

Macron na ndugu yao UK nao wamejitoa juu ya kauli ya Biden na wamesema jamaa hawajamuunga mkono😂😂😂

Russia usiichukulie poa.
 
Urusi wapo vizuri tuu, shida ni Ukraini wanajeshi kujichanganya na Raia, inaleta shida kwa Urusi kufanya upembuzi yakinifu kwa vita ya aridhini. Ndio maana Urusi ameona isiwe tabu ngoja atokee angani sasa.
hao wanajeshi wa ukraine waliwafanya nini Urus mpk awavamie ndan ya mipaka yake kuwatafuta ?
 
Hivi unaujua ukubwa wa eneo la Ukraine mpaka ufikiri operesheni ingeisha ndani ya siku tatu?
Pia ujue kuwa hii siyo vita halisi kama USA na Iraq, hii ni operations maalumu ambayo ililenga kuondoa nguvu za kijeshi za Ukraine ambazo marekeni walikuwa wamewajengea kwa lengo la kuweka makombora ya kuilenga Urusi. Wakati Russia wanailalamikia Marekani na kutaka security assurance lengo hasa lilikuwa kutaka marekani aondoe maabara za biological weapons na aache kusuply makombora kwa Ukraine. Karibu 80% ya nguvu za kijeshi ya Ukraine imeteketezwa!
marekani aache kuwatukia Estonia na Latvia aende kumtumia mtu ambae si mshirika wa NATO , hv hizi hoja mnawekewa kichwan au mnaziweka kwa hiari , ni.utumbo mtup
 
Hii sijui chanzo chako umetoa media gani.
Ogopa propaganda za vita.
Ukraine wanashambuliwa vibaya sana kutokea mbali.
Vita imechukua muda mrefu sababu Ukraine anasaidiwa na nchi nyingi za EU na NATO.
Mwisho wa siku nchi yao itamegwa vipande viwili na itakuwa masikini kwa muda wa miaka mingi kisha upande mmoja utapata nafuu.

Kosa walifanya wamarekani ni kumchagua Biden sababu utawala wake ndiyo ume engineer hii vita. Familia yake ina maslahi na biashara za silaha nchini Ukraine. Kijana wake wa kiume alikuwa na mradi wa silaha za kibaolojia Ukraine wakati baba yake akiwa makamu wa raisi.
Mwanzo zilipo ibuliwa tuhuma hizi na Russia ilionekana ni uzushi na propaganda lakini sasa vyombo vikubwa vya habari vya magharibi vimethibitisha mradi huo wa silaha hatari za kibaolojia.

Mtoto wa Biden aliacha /telekeza laptop yake kwa fundi siku nyingi. Humo ndipo zilikopatikana email za mawasiliano yanayo husu huo mradi.

Mradi huu ndio umemgharimu Tramp hadi akahojiwa kama ametumia madaraka yake vibaya na ndio umemuondoa.
hatuez kutengeneza hata stick za meno sababu tunaamini vitu vigumu na kupuuzia vitu vyepes , Urusi kashavamia majirani zake wengi so na wao pia ni biashara ya Mtoto wa Biden ?
 
Anga linafungwa na nini? Kufuli za Solex ama?

Kuna nchi za kufungia anga kama Libya ila sio Russia.

Unaifahamu Tu-160? Ka google usome, hio ni bomber ambayo supersonic inapiga mach 2.05 at altitude.

Inabeba ton 20 ya free falling body ikiwemo silaha za nuclear cause ni nuclear capable bomber.

Ndio ndege yenye kasi zaidi, kubwa zaidi ya kijeshi na nzito zaidi kuwahi kuruka ambayo ina sweep wing.

Nimesema hio ndege ni supersonic kwenye speed kali licha ya ukubwa wake, mbawa zake huwa zinarudi nyuma inakua kama Mig.
Ikiwa slow inapanua mbawa zake kama Boeing 787 au ndege ya abiria ya kawaida.

Hio ndege ina uwezo wa kuipiga Kiev kukabaki shimo baadae kizazi kijacho wakaja kudhani kuna kimondo kilitua kama kule Arizona. Tena inapiga nje kabisa ya anga umbali wa km 5500.

Kumbuka hizo wanazo zaidi ya 60.

Kuna kitu kinaitwa s500 kuna mdau mmoja amesema humu ina uwezo wa kuzuia hata punje ya mchele[emoji23][emoji23][emoji23], mi namuunga mkono, kwa maana s500 inashusha satellite.

Kama radar inaona tone la mvua basi hata punje ya mchele ukiirusha tokea Kiev itaonekana tu ikiingia Russia.

Nato haina uwezo wa kuifungia Russia anga.

Ndio maana nikasema labda wafunge na kufuli.

Unaposikia Russia wanasema wanafanya operation ujue wanafanya operation.

Putin hataki kuichukua Ukraine iliyo vipande vipande anaitaka nzima nzima, na Ukraine.

Kwa hio mkuu Russia si nchi ya mchezo mchezo kwenye vita.

Halafu huwezi kumpangia mtu kushambulia vipi.
una hisi unatumia tu silaha bila kukumbuka akiba inaisha na wapinzan wako wanakuangalia tu
 
Wamarekani wa kwa mtogole muwe na akili hata kwa 25% kuwa bila ya misaada ya silaha za kivita na wanajeshi toka EU kama Canada, hao Ukraine wangekuwa katika hali gani hivi sasa [emoji848]

Russia hajaomba msaada kwa Taifa lolote zaidi ya kupambana kiume na USA na EU hadi sasa, na mzidishe maombi China, North Korea, Iraq na Iran wasitie maguu kumsapoti RUSSIA kama USA anavyosapotiwa na EU katika hii vita, la sivyo WWIII ina-download wakati wowote itaitika ndipo tutapozidi kuendelea kukaza mafuvu kujua uwezo wa RUSSIA kiuchumi, kiujasusi, kivita, kiteknolojia, kibiashara na hata kirasilimali duniani [emoji847]
si mlisema atakae ingilia mnakula nae sahani moja , aya ss huyo mumemtaja kbs ni Canada jichanganyen anawasubir
 
Watwange Ukraine siku kadhaa kwani mnaongea kwa kutumia akili zipi [emoji848]

Inamaana nguvu za kijeshi za Ukraine na hata kilometers za miraba kwa eneo ni sawa na Iraq [emoji848]

Na hiyo misaada ya silaha za kivita na wanajeshi toka Canada [emoji848]

Kufanya kwenu kazi NGOs kusiwaondolee akili za kudadavua ukweli halisi kwa mahaba yenu juu ya USA na EU [emoji4]
uvamiz kwa nchi iliyo huru hairuhusiwi , inshu sio EU wala US
 
Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa ilitosha mgogoro huu kumalizwa kidiplomasia.

Nilihisi na hata kutamani kuona Urusi ikimaliza tukio la kuivamia Ukraine ndani ya siku tatu tu ili kuepusha mauaji endelevu ambayo yangetokana na muendelezo wa kupigana vita kwa muda mrefu. Lakini hali imekuwa tofauti sana, mpaka leo hii, takribani mwezi mmoja tangu kuanza vita vya Ukraine hali bado tete huku Russia ikishindwa kumaliza shughuli za uvamizi kwa wakati.

Ukiachilia mashambulizi kutoka angani ambayo kutwa na usiku yamekuwa yakifanywa na Russia, tena yakilenga makazi ya watu, shule, hospitali, taasisi za uzalishaji nishati na maeneo mengine ya umma, hakuna kipya, kikubwa na cha zaidi ambacho Russia inaelekea kukifanya kupitia ardhini. Nguvu ya kupigana vita vya ardhini ni kama ndogo au inakumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine. Sehemu ya askari wa Russia waliofanikiwa kuingia na kukaa katika miji ya Ukraine ni kama wametelekezwa na Russia kiasi cha kukosa chakula au kuzingirwa upya na kisha kuangamizwa na askari wa Ukraine

Nawaza tu, mara ghafla anga la Ukraine na mataifa jirani yanayozunguka Ukraine likifungwa na kuzuiwa kwa Russia kukaribia ili kuishambulia Ukraine, nini kitafuata?
Kwa akili zako ulivyokuwa unafikiria unafikiria Ukraine Ina ukubwa kama choo unachotumia mpaka ipigwe kwa Siku 3,Ungwpata elimu ya medani usingeandika hivi,na kama umepita haijakusaidia.
 
Mzee utasubiri miaka 200, Iran ina miaka zaidi ya 40 kwenye vikwazo, ndio kama wamewaboost, ndio taifa powerful zaidi middle east.

Russia ina uwezo wa kuipa Ulaya vikwazo na hilo limedhihirika, Russia ni giant wa dunia usifikiri hio ni Zimbwabe ya Mugabe.

Biden ameongea maneno yake ya kilevi na uzee unamsumbua eti anasema Putin ni muuaji na hafai kukaa madarakani, white house wakasema hayo ni maneno yake binafsi hayakuwa kwenye hotuba[emoji23][emoji23][emoji23]

Macron na ndugu yao UK nao wamejitoa juu ya kauli ya Biden na wamesema jamaa hawajamuunga mkono[emoji23][emoji23][emoji23]

Russia usiichukulie poa.
Iran anauza mafuta nje hauzi?

Vikwazo ambavyo havigus unapopatia pesa hivyo sio vikwazo , wahongwe stop kuuza wese nje uone miaka miwili itapita wapo

Alafu Iran is no where close to that, Soleman asinge uwawa kirahisi hivyo

Russia hakuwah fka alipofika Venezuela but where is Venezuela today??
 
Hii sijui chanzo chako umetoa media gani.
Ogopa propaganda za vita.
Ukraine wanashambuliwa vibaya sana kutokea mbali.
Vita imechukua muda mrefu sababu Ukraine anasaidiwa na nchi nyingi za EU na NATO.
Mwisho wa siku nchi yao itamegwa vipande viwili na itakuwa masikini kwa muda wa miaka mingi kisha upande mmoja utapata nafuu.

Kosa walifanya wamarekani ni kumchagua Biden sababu utawala wake ndiyo ume engineer hii vita. Familia yake ina maslahi na biashara za silaha nchini Ukraine. Kijana wake wa kiume alikuwa na mradi wa silaha za kibaolojia Ukraine wakati baba yake akiwa makamu wa raisi.
Mwanzo zilipo ibuliwa tuhuma hizi na Russia ilionekana ni uzushi na propaganda lakini sasa vyombo vikubwa vya habari vya magharibi vimethibitisha mradi huo wa silaha hatari za kibaolojia.

Mtoto wa Biden aliacha /telekeza laptop yake kwa fundi siku nyingi. Humo ndipo zilikopatikana email za mawasiliano yanayo husu huo mradi.

Mradi huu ndio umemgharimu Tramp hadi akahojiwa kama ametumia madaraka yake vibaya na ndio umemuondoa.
Kumbe na wazungu matajili nao huwa wanapeleka laptop kwa fundi kama siye makapuku?😄😄
 
Back
Top Bottom