Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Unapolinganisha Ukraine na Urusi, ujue kuna tatizo hapo. Elewa kuwa Ukraine ilikuwa na silaha nyingi za Nuclear baada ya USSR kuvunjika lakini walizigawa kwa urusi kwa makubaliano kuwa Urusi haitawashambulia majirani zake. Soma Budapest Memorandum iliwekwa sahihi tarehe 5 Dec 1994 hapa. Urusi imevunja mkataba huo! ndiyo maana sasa inabidi Ukraine ianze upya, na hiyo misaada wanaipata kwa kufutana na makubaliano ya hiyo Budapest Memorandum kama huji.Wamarekani wa kwa mtogole muwe na akili hata kwa 25% kuwa bila ya misaada ya silaha za kivita na wanajeshi toka EU kama Canada, hao Ukraine wangekuwa katika hali gani hivi sasa [emoji848]
Russia hajaomba msaada kwa Taifa lolote zaidi ya kupambana kiume na USA na EU hadi sasa, na mzidishe maombi China, North Korea, Iraq na Iran wasitie maguu kumsapoti RUSSIA kama USA anavyosapotiwa na EU katika hii vita, la sivyo WWIII ina-download wakati wowote itaitika ndipo tutapozidi kuendelea kukaza mafuvu kujua uwezo wa RUSSIA kiuchumi, kiujasusi, kivita, kiteknolojia, kibiashara na hata kirasilimali duniani [emoji847]
Na soma article hii hapa chini upate mwangaza zaidi.