Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

Jamaaa hatani aisee na hii ya kusema kapeleka asilimia 75 ni mitego Kwa Nato ili wajifanye hamnazo awabutue nao. Bunge la ujeruman Leo hii wanalaumiana na wanaogopa kumvaa mrusi kichwa kichwa unahis wajerumani hawajui mtiti wa Urusi
 
Ona makombola ya Russia usiku huu huko Ukraine warusi wameamua kupiga kweli
Your browser is not able to display this video.
 
Umeandika kishabiki Sana sababu za kupiga Ukraine zipo wap ni kulinda mipaka yake

Na kuhusu vikwazo hawez kuumia mbona hiv vichache alichukua Jimbo la Crimea waliweka kila kitu had mmiliki wa Chelsea swahiba wake Putin alikuwa kwenye list kampuni kubwa la nishati urusi ziliwekewa vikwazo

Kingine miji aliyoteka Urusi ndiyo ina utajili wa mafuta,gesi aluminium na makaa ya mawe kwahiyo unaweza ukaona kiuchumi nani kapata na nani kapoteza hapo kati ya Ukraine na urusi
 
Unaongea nini?
Waliouliwa ni wanamgambo waliokuwepo Ukraine wakitumiwa na Russia. Na mrusi kawaua mwenyewe na pia Kroatia nae kashughulika nao hao Mamluki.
Kwa hiyo ni mamluki wamechapwa toka kila upande.
Ndo vifo unaskia.
Hiyo ngoma bado mbichi,batalion ndo kwaanza zimeanza kuteremka huko toka EU na NATO..
 
Kadiri anavyo chelewa ndio anazidi kuweka ugumu sababu silaha za nato zikimfikia Zelensk akaanza kuzitumia zote mambo yatakuwa magumu zaidi ya sasa na urusi atalazimika kutumia uwezo wake kwa %hata 85.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan wamepiga propaganda nawe umejaa mazima Kwa akili yako unazan kweli Russia kapeleka asilimia 75% ya jeshi lake nchini ukraine
Hajui kua vyombo ya magharibi vinaongea kuhusu negative tu kwa Russia kuanzia Google, operamin, YouTube, fb n.k .hivi kweli mtu una akili timamu unaamin Russia atumie wanajeshi 120K !! Bc watakua wameenda kutalii sio kufanya kazi . kwahiyo mpaka asad amebaki madarakan Russia si atakua kapeleka laki 5 maana kule kulikua na marekan ndio aliemvurugia mipango
 
Hizo sanctions zimeshindwa kuiangusha North Korea, Tangu miaka ya 1950 ipo kwenye sanctions ndo zitaweza Urusi??
 
Total ya wanajeshi wa RUSSIA NI NGAPI?
 
Weka akina ya maneno!
 
kamchakazeni basi mnangojea nini[emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Endeleeni kujiongopea urusi ana watu kama laki 9 hivi huko jeshini😅 sasa hao 160,000 wa mchongo ndio wawape wenge mjichanganye! Either ametumia 75% ya hao 160,000 ila sio wanajeshi wote wa taifa😅!

Poleni sana pro Ukraines, kazi iendelee
 
Kadiri anavyo chelewa ndio anazidi kuweka ugumu sababu silaha za nato zikimfikia Zelensk akaanza kuzitumia zote mambo yatakuwa magumu zaidi ya sasa na urusi atalazimika kutumia uwezo wake kwa %hata 85.
inaonekana NATO haipo sayari hii kwamba huo mzigo wao mpaka leo haujafika tuu RUSSIA kaishajiandaa na yote hayo
unahisi kwamba RUSSIA hakujua kwamba NATO watamsaidia MBWA wao namna ya KUBWEKA?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan wamepiga propaganda nawe umejaa mazima Kwa akili yako unazan kweli Russia kapeleka asilimia 75% ya jeshi lake nchini ukraine
Anapeekaje 75% wakati anajua NATO wanaweza tumia uo mwanya kumshambulia! Kwani alipotoa tahadhari kwa wanajeshi wake wa Nuclear kitengo ya kujihami wawe tayari anafikiri hakunusa harufu ya hatari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…