Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

kwa hiyo hao wanajeshi wote watabaki Ukraine na Rusia itabakiwa na 25% peke yake
 
Nakuona mtoto kutoka Windsor Castle ukimwagika lugha ya Bibi yako Lily Betty ki ufasha kabisa. Hii vita imefanya watu hapa kuwa kila mtu mjuaji kuanzia maswala ya kivita hadi wataalamu wa lugha ya Malkia 🙂
 
On top of that.,
 

Nakuona mchambuzi wa masuala ya kijeshi na kivita
 
Hakuna anae semaukweli
Hapa kila mtu anavutia upande wake
Kwahiyo hii Vita ni Upumbavu tu
Kwani wapumba hawa wanagombania
Nini??
 
Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi,
Unaongea kishabiki sana huku source yenyewe ikiwa sio independent source!

On top of that, hebu jisome mara mbili mbili ulichaondika hapo juu, kisha soma kwa makini hapa:-
Now tell me: Hao Wanajeshi 160K ndio JESHI LAKE LOTE?

Huoni hata common sense tu, nayo inakataa?!

Ukisoma kwa makini utaona kilichosemwa hapo ni kwamba, hadi sasa Urusi imetumia around 75% ya jeshi lake alilokusudia kuli-deploy Ukraine na sio kwamba 75% ya Jeshi lake LOTE!!

Na kwenye mambo ya kivita, usikute sehemu kubwa ya hiyo 75% inatokana na Reserve Army, na hiyo 25% ndo yenyewe hasa huku ikikaa tayari in case ile 75% wanaishiwa pumzi!!
 
Kwa nilivyoiona hili jeshi la Russia mpaka sasa ninaweza kusema kwamba hawana kabisa uwezo wa kupambana uso kwa uso na jeshi kama la Ufaransa au Uingereza.

Marekani siiongelei hapa kwa sababu wako mbele ya Russia kwa umbali mrefu mno in terms of logistical arrangement, battle planning, combat skills and even in terms of propaganda dissemination which is a very important aspect in winning any war.

Huu uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine umekuwa ni faida kubwa sana kwa nchi za Nato kwani imewasaidia kuifahamu vema Russia kwa angle zote mbili za strength and weaknesses na itawasaidia kuwawezesha majeshi ya Ukraine kupambana vilivyo na Russia pale askari wa Russia watakuwa wamo ndani ya Ukraine kwa uwingi wao.

Nchi za magharibi zinaamini dhahiri kwamba kwa vikwazo walivyowekewa Russia kamwe hawatakuwa na uwezo wa kuwa-sustain wanajeshi wao watakaokuwa ndani ya Ukraine kwa muda mrefu huku pia wakikabiliana na Guerrilla Warfare toka kwa wananchi wa Ukraine.

Hapa tayari Russia ameshapigiwa mahesabu makali sana na watu wajuaji kumzidi. Kama Marekani tu pamoja na uwezo wake mkubwa kiuchumi kukaa kwake Afghanistan na Iraq imemgharimu zaidi ya dola trilioni tatu sasa Russia tu mwenye uchumi mdogo kuliko South Korea atawezaje kumudu kukaa Ukraine na vikwazo juu.

Kama sasa hivi tu ndio safari yao ya kwenda Ukraine inakabiliwa na changamoto kibao ya mara kuishiwa mafuta njiani, askari kupungukiwa vyakula na low level morale on the part of the soldiers to the extent that some elements within the Russian intelligence services have alerted the Ukrainian authorities on the impending assassination plot being planned by the Putin regime on the Ukrainian president Volodomyr Zelenskyy using the Chechen snipers.

Ndani ya jeshi la wavamizi la Russia kuna maaskari ambao wanapinga nchi yao kuivamia kijeshi Ukraine hali ambayo imechangia uvamizi kusuasua na kushindwa kufikia malengo na wengine wameshambulia hadi hospitali ktk jiji la pili kwa ukubwa la Kharkov lengo likiwa ni kuiamsha dunia ilaani Russia kwamba inaua hadi wagonjwa.

Nato hawawezi kuingilia vita kwa kupigana ndani ya Ukraine lkn kitendo chao cha kuwapa Ukraine silaha ni mtego wa kuifanya Russia waishambulie nchi yoyote ya Nato kisha wapate sababu ya kuingia vitani na Russia ambao wakati huo uchumi wao utakuwa taabani hivyo kupigana nao itakuwa ni kama kumsukuma tu mlevi na makamanda wengine wa Russia wanaopinga vita watawaamuru askari wao wajisalimishe ili kuepuka umwagaji wa damu wa kipumbavu.

Kuna taarifa kwamba kabla ya uvamizi kutekelezwa kulikuwa na mjadala ulioibuka huko Moscow ukihusisha rais Putin na makamanda wake huku wale waliokuwa wakipinga vita wakitoa hoja kwamba baada ya uvamizi lazima Nato wataingia vitani kwa mlango wa nyuma bila kusahau vikwazo vya kiuchumi na itakuwa shida kwa Russia hoja ambayo ilipuuzwa na akina Putin na mashabiki wa uvamizi.

Hata hivyo, kuna wasiwasi kwa upande wa Russia kwamba morale pamoja na commitment ya maaskari wengine haiko vizuri kwani hawaungi mkono uvamizi wa kijeshi dhidi ya Ukraine na hao ndio wako radhi kuua raia ili ili ionekane kwamba hata hilo nalo ni lengo la uvamizi na lawama ziiendee serikali ya Putin.
 
We give Russia Twodays
Civilian mnaongea as if mmesha fanya mmeshashiriki military drilling hata kwa kutazama poor wabongo, fundi kujua hamna kitu kichwani, ushabiki ndio kitu mmebarikiwa
 
Kwa ndoto kama hizi nilale style gani
 
Safi kabisa mwamba ume analyse vizuri sana, morale ya askari wa russia iko chini sana kiasi cha kushindwa kufanya effective group assualt, Sasa hivi wanatumia messile kupiga miji ili kuwa frustrate ukrain still bado wanaface resistance, magari yao mengi ya logistics yameharibiwa vibaya kiasi cha kudukuliwa vibaya. Mabeberu yamedhamilia kumuumiza Putin yamefanikiwa kuoneza chuki kwa picha ambayo inaonesha tatizo sio warusi ila ni kiongozi wao mkuu
 
Jamaaa hatani aisee na hii ya kusema kapeleka asilimia 75 ni mitego Kwa Nato ili wajifanye hamnazo awabutue nao. Bunge la ujeruman Leo hii wanalaumiana na wanaogopa kumvaa mrusi kichwa kichwa unahis wajerumani hawajui mtiti wa Urusi
Usifananishe akili za mabeberu na za kwako wenzako wanaamua mambo kwa logistics sio mihemuko, kuwa trick mabeberu sio kazi rahisi kama unavyofikili wenzako wana spy network zenye weledi wa hali ya juu ndio maana kama ni mtu makini wanamlia timing Putin hawataki kuingia vitani kupoteza maisha ya watu, watu wanataka kula bata sio vita, punguza mahaba ya Simba na yanga
 
Absolutely ...

Excellent 👍

Uchumi wa Urussi kwisha

Wale Maoligarch watamgeuka

Spy Mkuu wa Urussi alimshauri Putin, acha, Mzee akawa mkali..
 
Good analysis,
Japo hiyo kipande uliyosema kwamba ametumia reserve sio kweli, huez risk vifaa vya gharama kubwa kwa wanajeshi wasio na uwezo

Nadhan hapo Russia ame fail kwenye mbinu mkakati wa hii vita
 
Unaijua nguvu kubwa ya Russia? Russia ikitumia nguvu kubwa yawezekana asilimia 90-95 ya watu duniani wakapoteza maisha kwa sababu atatumia chemical, biological na nuclear weapons. Mpaka sasa Ukraine hata chemical weapons
Mwambie huyo mbumbumbu sijui amezipimaje nguvu za russia kwamba zimeisha au yaani uji wa magimbi ni shida
 
Kalata yao ya mwisho ni nyuklia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…