Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

Putin hataki kushika nchi, anachotaka ni kumtoa huyu rais mhuni na kiweka uongozi anaoutaka
 
Wewe jamaa acha propaganda zako, hiyo asilimia 75% inayosemwa ni wanajeshi waliokuwa mpakani, kumbuka ilitangazwa ana wanajeshi zaidi ya 150k mpakani hao ndio aslimia 75 yao inasemwa wako ndani Ukrane.
 
INGIA HAPA UONE DIRECT KINACHO ENDELEA UKRAINE , NI LINK YA GROUP LA TELEGRAM ,,, NI HATAREEE TUPUUUUUUUUUU.
Канал для российских матерей.
. Sema lugha gongana tuuu. WEKA translate app italeta into English....
 
Tunaomba na link ya Jeshi la urusi mzee
 
Umenena vzr sana na umemaliza kilaaa kitu.Tungoje warussi wakinondoni Mosco waje hapa na hoja zao mufilis
 
Mkenya usijidanganye.. Putin alikuwa katulia mda mrefu Sana ila upole wake umeisha mlipo Karibu kumtia kid#le[emoji23][emoji23][emoji23]

Ogopa sana ndugu yako ajiunge na adui.. huyo ndo atakuwa hatari zaidi ya adui mwenyewe
 
Convoy ipo 30 miles out of Kyiv satelites inaonyesha hazisogei au zinasogea kwa kiwango kidogo sana,habari za kitaalamu zinasema wana face logistic issues kama kuishiwa mafuta na chakula,sasa inashangaza kidogo how is ti possible the might Russian army wanaweza face matatizo magodo dogo kama haya.Sasa wakutane na nchi yenye air force serious kabisa si ingekuwa disaster??..Haya matatizo madogo madogo nchi adversery wa Russia wanayasoma kiumakini sana.
Russian infantry imeonyesha udhaifu mkubwa sana,ndio maana sasa wameongeza airstrikes kupunguza nguvu majeshi ya Ukraine.
Za ndani zinasema huko Kremlin Putin is furious haridhishwi na hali inavyoenda Ukraine.
Hiii vita Russia wakikosea calculations itakula kwao mazima,maana mambyo yatakuwa uncontrolled..
 
Uliza Sasa source ya hayo maelezo Yako!
Vitu vingine pima na sio kumezeshwa tu!Hizo ni propaganda za media za west!
 
🤣🤣
 
Russian Military Active personnel is 1,014,000
Hao 160,000 ni wale waliokuwa mpakani ila vita msidhani ni kama football jamani
Kwanza mjue hawa ni ndugu moja na miaka michache iliyopita Kiev ilikuwa USSR na wanajeshi na mbinu zao wote ni zile zile na ranks zao ni wale wale

Wamesoma pamoja hawa ingawa Russia ana nguvu zaidi ila wanajuana

Ukraine mkumbuke ndio kwenye Chernobyl na ndege kubwa duniani Antonov ilitengenezwa na wao ila majeshi ya Putin yameiharibu hiyo ndege

Hali sio nzuri huko na vita sio nzuri naijua vizuri
 
Mwanzo Urusi alikuwa anafanya kama anatishia kuona kama Ukraine atashupaza shingo sasa kaona kashupaza shingo subiri aivunje. Leo Kiev itawaka moto
Bado kaonesha udhaifu sana...kama kweli alikua anatishia asije akajaribu kwenye nchi zinazojiweza, maana amejaribu Ukraine na hadi sasa amepata hasara kubwa ya vifaa na wanajeshi..isingetokea hvo kama angekua amepanga vizuri.. Akishindwa leo tena, hata akishinda atakua ashaonekana boya
 
Dah hujaelewa chochote kuhusu hiyo 75 asilimia mkuu
 
Mkuu na yakipita masaa bila hiko kilichopangwa kutokea what will you come up with? Uzuri wake muda ni mwalimu mzuri sana, tusubirie tuone hayo yaliyopangwa kufanyika ili mchezo uishe leo tar 02 kama ulivyosema.
Umesikia kilichotokea au Bado baba
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
hujajiuliza kwanza kwanini RUSSIA tokea siku ya kwanza wakawa wana deal na mifumo ya angani tu ya UKRAINE
yaani mifumo ya anga ya UKRAINE tayari imeishapata STROKE haina chakufanya ndio maana unaona majamaa wanarilax bila wac wac
ila upuuzi mwengine mnaomezeshwa muwe walau munauchuja waheshimwa yaani kama hujawahikusikia tatizo la kukosekana chakula kule SYRIA kwamuongo mzima sasa iwe kukosekana chakula hapo HOME
ulivyomalizia la PUTIN na KREMLIN nikaelewa unatamani kitokee nini NICE DREAM[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Yaani angepigana na nchi yenye airforce kama ufaransa huo msafara wote ungeteketezwa.
 
maadam walipewa silaha na rais wao tutawaua sanaa mpaka akili iwakae sawa yaani
sisi tunataka KIEV hizo kelele zenu hazitusumbui sisi tunachanja mbuga kama hakijatokea kitu
iliichukua NATO siku 43 mpaka wanaingia BAGHDAD mukae kwakutulia vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…