Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

Sasa kama source ni Russia pekee ulitegemea waseme tumepigwa huko au tumepoteza askari kadhaa zaidi ya kuwapa watu wao morali na kusema tumepigwa,

Russia yeye huwa hakubali kama alipoteza au lah...
Maana wakati maghara yake karibu matatu yanalipuliwa alisema yamelipuka yenyewe.
 
Endelea kuteseka tu Mkuu....mie nasukuma dawa tu
 
Dawa gani wakati na wao wameposti wajifurahishe.
Mkuu, unateseka nini kama kweli una yakini Urusi wameposti ili wajifurahishe?!

Mmezoea (Zelensky + Pro-NATO) kupost fake news mkijiliwaza kushinda vita huko twitter, ila Urusi yenyewe yashinda vita kwenye ardhi ya Ukraine na yajimilikisha mikoa ya Ukraine, miji na majiji bila kusahau mitambo ya nyuklia ya Ukraine
 
πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½πŸ«±πŸ»β€πŸ«²πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…