Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

Russia wamekiona cha cha moto na wamedhoofu sana kwani sasa hawawezi kuingiza silaha tena!
 
Hapa naona napoteza muda wangu kwa mtu anayeleta habari hata ajui kilichoandikwa.

Kwa maelezo ni kwamba S-350 imeonèkana karibu na uwanja wa vita.kilometer 40 karibu na mpaka wa UKRAINE na sio ipo UKRAINE bali ipo URUSI ila ipo kilometer 40 karibu na UKRAINE.

Au lugha kwako tatizo maana ni habari ipo wazi
Kwahiyo imesogezwa hapo ili idake inzi si ndio?! Kwanini siku zote haikuletwa hapo ije iletwe Leo?!
 
Warusi weusi vipi nyie mmepoteza wangapi na mali kiasi gani au ilikuwa 560 kwa bila, kubalini Putin vita imemshinda hii maana miezi zaidi ya sita hata robo ya nchi hajachukua, kinachofuata mtapoteza mlichoiba
 
Back
Top Bottom