Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kawaida sana hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza unatakiwa kujua msaada ya kijeshi aliyopewa UKRAINE haijawai kutokea msaada kama uwo kwenye DUNIAStill hata tukisema tuchukue hiyo idadi yako bado haifikii idadi waliyotoa Urusi eti Bayraktar zaidi ya Mia zimetunguliwa huku kukiwa hakuna evidence yoyote kuthibitisha madai Yao. Kumbuka Russia walikua wakitoa picha kila wakitungua hizo drones na mpaka sasa picha walizotoa hata 50 hazifiki. Ukraine wakitungua ndege za Russia wanatoa picha na video kuthibitisha madai Yao. Kuna picha mitandaoni zikionyesha Su-35 zilizotinguliwa plus video za kutosha zikionyesha Helicopter Ka-52 zilizotunguliwa
Ndio maana na Russia anajimegea maeneo yenye madini mengi Ukraine. Hapo naona ngoma droo acheni sasa kulialia na kutaka kumfanya kila mtu ni mpumbavuMarekani mpaka Leo iko Syria tena kwenye visima vya mafuta na hakuna wa kumtoa si Russia wala Syria.
Msaada gani unazungumzia Mkuu maana mpaka sasa hamna silaha za kisasa ambazo Ukraine imepewa hata Makombora ya masafa marefu ya ATACMS wamenyimwa zaidi wamepewa HIMARS ambazo sio long range zinapiga 80km tu.KKwanza unatakiwa kujua msaada ya kijeshi aliyopewa UKRAINE haijawai kutokea msaada kama uwo kwenye DUNIA
.Pia ndo nchi ya kwanza hapa kupewa misaada na nchi nyingi hapa duniani(nusu ya Dunia wametoa msaada kwa UKRAINE.
Izo list nilizokupa ni BAYRAKTAR zilizonunuliwa na UKRAINE na pia walizopewa kama msaada kutoka UTURUKI kwenyewe.ila zipo ambazo NCHI nyingine walizinunua ila wakawapa UKRAINE kama msaada kutokea kwenye nchi zao.hazijatoka moja kwa moja UTURUKI.ndo maana zinaweza kufika iyo idadi na ikazidi siku za mbeleni
Drone unazozungumzia zitakua zile za Lithuania ambapo kulikua na donation ilifanyika na wananchi wenyewe wakapata km 5m dollars,zilinunua Bayraktar mbili au tatu tu.KKwanza unatakiwa kujua msaada ya kijeshi aliyopewa UKRAINE haijawai kutokea msaada kama uwo kwenye DUNIA
.Pia ndo nchi ya kwanza hapa kupewa misaada na nchi nyingi hapa duniani(nusu ya Dunia wametoa msaada kwa UKRAINE.
Izo list nilizokupa ni BAYRAKTAR zilizonunuliwa na UKRAINE na pia walizopewa kama msaada kutoka UTURUKI kwenyewe.ila zipo ambazo NCHI nyingine walizinunua ila wakawapa UKRAINE kama msaada kutokea kwenye nchi zao.hazijatoka moja kwa moja UTURUKI.ndo maana zinaweza kufika iyo idadi na ikazidi siku za mbeleni
Source ni Wizara ya Ulinzi ya UrusiHivi kuna sources ngapi zimeripoti hii habari?
Basi?Source ni Wizara ya Ulinzi ya Urusi
Masikini, unateseka buree kuzungumzia vitu usovijua...Drone unazozungumzia zitakua zile za Lithuania ambapo kulikua na donation ilifanyika na wananchi wenyewe wakapata km 5m dollars,zilinunua Bayraktar mbili au tatu tu.
TakbirrrrViva Putin, nipigie hao Manyang'au
Usiwe unabishabisha vitu bila facts.Masikini, unateseka buree kuzungumzia vitu usovijua...
Eti USD 5 million zinunue droni mbili au tatu! Yaonesha hapo ulipo hata bei ya pisi moja ya drone ya Bayraktar hujui!
Msaada gani unazungumzia Mkuu maana mpaka sasa hamna silaha za kisasa ambazo Ukraine imepewa hata Makombora ya masafa marefu ya ATACMS wamenyimwa zaidi wamepewa HIMARS ambazo sio long range zinapiga 80km tu.
Hizo Javellin na NLAW ni za kizamani Sana. Helicopter zile ilizotakiwa wapewe Afghanistan ndo wanapelekewa Ukraine zile Mi-8 za kizamani kabisa. Hata air defenses anazotumia bado ni za kizamani. Hizo NASAMS ambazo Marekani imesema itawapa sio za kufika Leo wala kesho.
Sasa sijui mwenzetu unazungumzia msaada gani huo maana kinachofanyika hivi sasa ni kwamba nchi nyingi wanatoa silaha zao za kizamani kwenye maghala yao silaha zinafanyiwa repair then zinapelekwa Ukraine. Huwezi fananisha na silaha anazotumia Urusi kuanzia air defenses za kisasa, Kalibr cruise missiles,Iskander, Hypersonic missiles, Thermobaric missiles,nk. Lakini cha ajabu mpaka sasa mji mkubwa waliofanikiwa kuchukua ni Kherson tu tena waliudaka kipindi kile wako Kasi mwezi March nafikiri kabla ya West hawajaanza kumimina misaada Ukraine
Nakusaidia tena angalia tena na hii video hapo chini wamekutajia mpaka Bei ya hizo drones.Masikini, unateseka buree kuzungumzia vitu usovijua...
Eti USD 5 million zinunue droni mbili au tatu! Yaonesha hapo ulipo hata bei ya pisi moja ya drone ya Bayraktar hujui!
Zile Laser weapons walizosema zinachoma drones za Ukraine nazo ni za muda?!Mkuu silaha zote zinazotumika ni za muda wala hakuna silaha mpya kwenye uwanja wa vita(UKRAINE).Artillery,Tank,air defence missile zote zinazotumiwa na WARUSI ni za muda tu.au unamanisha nini unavyosema silaha mpya?
Hiyo S-350 Sam ni ya 2019 juzi tu hapo. Ipo huko inapambana na HIMARS lakini cha ajabu Makombora ya HIMARS yanapenya na Jana kuna taarifa yamebomoa tena lile Daraja la muda lililojengwa na Urusi Kherson ili kupitisha supplies zake kwenda Kwa wanajeshiMkuu silaha zote zinazotumika ni za muda wala hakuna silaha mpya kwenye uwanja wa vita(UKRAINE).Artillery,Tank,air defence missile zote zinazotumiwa na WARUSI ni za muda tu.au unamanisha nini unavyosema silaha mpya?
Watoto si wako Tinde na Misungwi hapo mkuu?Huko Ukraine wamefika lini?Mwisho wa Vita hii haujulikani! Naona misiraha inazidi kutumwa na Watoto wetu wanakufa huko Ulaya Kama nzige. Inaogopesha Sana wapendwa usiombe yakufikie ila yasikie kwa jirani.
Usagara kuna Ukraine na Misungwi kuna Kiev na pale Tinde kuna Donbas 😁😁😁 huenda ndio maana yakeWatoto wako si Tinde na Misungwi mkuu?Huko Ukraine wamefika lini?