Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

Ni kawaida vitani ila huwezi ua watu wengi kiasi hicho

Hizo ndege zimetoka wapi wakati mlisema mmeharibu ndege zote?
Hahahaha Mkuu ukisiliza update za Russia unaweza jua wameshaua wanajeshi wote wa Ukraine,kuna taarifa nyingine niliona wameua wanajeshi 1000 wa Ukraine [emoji23]. Yani tangu waseme wameshaharibu karibu HIMARS karibu zote,na kutungua Bayraktar drone 100 za Ukraine wakati Ukraine alikua nazo 36 tu nikiona taarifa zao nacheka tu halafu nasema hiiiiiii.

Huko kwao wamefungia vyombo vya habari na ukileta taarifa yako kinyume na za mamlaka jiandae kwenda jela unategemea nini zaidi ya kuwalisha watu wao propaganda?!

Walisema wameharibu Airforce yote ya Ukraine cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Urusi. Hawajatoa idadi ya wanajeshi wao waliokufa karibu miezi sita sasa mara ya Mwisho walitoa mwezi March. Babu Yao Putin kaona mambo magumu mpaka kakimbilia Tehran kuomba msaada wa drones,embu fikiria Leo hii Russia ni kwenda kuomba msaada Iran kweli,Yani hapo ni sawa na Marekani aende kuomba msaada wa kijeshi Misri!!!!

Na swali la Mwisho la kujiuliza wanasema wameua wanajeshi 500+,je ushahidi uko wapi?! Watume hata kapicha bhas Ka wanajeshi japo 50 waliodedi
 
Marekani Afghanistan mbona aliogopa kwenda peke yake, iraq pia aliogopa kwenda peke yake libya pia aliogopa kwenda peke yake na Syria pia aliogopa kwenda peke yake. Mpka mbabe Putin alipoombwa kwenda kuwafurusha syria. Russia siyo nchi ya mchezo mchezo
 
Ebu jaribu kujiongeza basi,UKRAINE anazidi kununua SILAHA na pia anasaidia SILAHA.kwa iyo usikalili kuwa alikuwa na drone 36 basi ndo zitakuwa izo izo tu.

Bayraktar mwezi huu walitangaza mpaka drone jumla ya drones zote walizotengeneza ni 195 Kama sikosei. Na wanataka kuongeza production sababu ya Vita ya Ukraine
 
Mwezi wa 2 pekee UKRAINE alipokea Bayraktar zaidi ya 50 kutoka ukraine. Mwezi wa june akapokea msaada wa Bayraktar drone kutoka kampuni ya Bayraktar.ukijumlisha alizokuwa nazo mwanzo jibu unakuwa nalo mwenyewe.
Hahahaha Mkuu ukisiliza update za Russia unaweza jua wameshaua wanajeshi wote wa Ukraine,kuna taarifa nyingine niliona wameua wanajeshi 1000 wa Ukraine [emoji23]. Yani tangu waseme wameshaharibu karibu HIMARS karibu zote,na kutungua Bayraktar drone 100 za Ukraine wakati Ukraine alikua nazo 36 tu nikiona taarifa zao nacheka tu halafu nasema hiiiiiii.

Huko kwao wamefungia vyombo vya habari na ukileta taarifa yako kinyume na za mamlaka jiandae kwenda jela unategemea nini zaidi ya kuwalisha watu wao propaganda?!

Walisema wameharibu Airforce yote ya Ukraine cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Urusi. Hawajatoa idadi ya wanajeshi wao waliokufa karibu miezi sita sasa mara ya Mwisho walitoa mwezi March. Babu Yao Putin kaona mambo magumu mpaka kakimbilia Tehran kuomba msaada wa drones,embu fikiria Leo hii Russia ni kwenda kuomba msaada Iran kweli,Yani hapo ni sawa na Marekani aende kuomba msaada wa kijeshi Misri!!!!

Na swali la Mwisho la kujiuliza wanasema wameua wanajeshi 500+,je ushahidi uko wapi?! Watume hata kapicha bhas Ka wanajeshi japo 50 waliodedi
View attachment 2339753
Screenshot_20220830-111227_Chrome.jpeg
 
Marekani Afghanistan mbona aliogopa kwenda peke yake, iraq pia aliogopa kwenda peke yake libya pia aliogopa kwenda peke yake na Syria pia aliogopa kwenda peke yake. Mpka mbabe Putin alipoombwa kwenda kuwafurusha syria. Russia siyo nchi ya mchezo mchezo
Marekani mpaka Leo iko Syria tena kwenye visima vya mafuta na hakuna wa kumtoa si Russia wala Syria.
 
Mwezi wa 2 pekee UKRAINE alipokea Bayraktar zaidi ya 50 kutoka ukraine. Mwezi wa june akapokea msaada wa Bayraktar drone kutoka kampuni ya Bayraktar.ukijumlisha alizokuwa nazo mwanzo jibu unakuwa nalo mwenyewe.View attachment 2339753View attachment 2339754
Still hata tukisema tuchukue hiyo idadi yako bado haifikii idadi waliyotoa Urusi eti Bayraktar zaidi ya Mia zimetunguliwa huku kukiwa hakuna evidence yoyote kuthibitisha madai Yao. Kumbuka Russia walikua wakitoa picha kila wakitungua hizo drones na mpaka sasa picha walizotoa hata 50 hazifiki. Ukraine wakitungua ndege za Russia wanatoa picha na video kuthibitisha madai Yao. Kuna picha mitandaoni zikionyesha Su-35 zilizotinguliwa plus video za kutosha zikionyesha Helicopter Ka-52 zilizotunguliwa
 
Back
Top Bottom