wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hahah tena mkuu ukiwa unatoka Mwz unarudi zako Dar umpe lift mtoto wake mmoja hapo Misungwi ajionee utamu wa bimmer 😄😄Usagara kuna Ukraine na Misungwi kuna Kiev na pale Tinde kuna Donbas 😁😁😁 huenda ndio maana yake
Nazungumzia Su-34M na sio hiyo basic model Su-34.Sukhoi 34 imeanza kuruka mara ya kwanza mwaka 1990.ni miaka 34 kufika sasa.au unaongelea upya gani ebu wekeni sawa ilo
Nazungumzia Su-34M na sio hiyo basic model Su-34.
Ni kama Kwa Marekani Leo tuizungumzie F-15 EX au F-16 V.
In June of 2021, Russian media outlet Tass reported that the nation would receive eight updated Su-34M fighter bombers by the end of the year. It wasn't until July 8 of this year that Russia inducted the first operational Su-34Ms into service. To date, it appears Russian Aerospace Forces have received no more than 10 total aircraft
Hiyo ndege imeanza kufanya kazi mwaka huu July 8 wakaipeleka moja Kwa moja vitani Ukraine.
Russia appears to have shot down one of its own jets in Ukraine just a few weeks after it was delivered
Hahahaha Mkuu ukisiliza update za Russia unaweza jua wameshaua wanajeshi wote wa Ukraine,kuna taarifa nyingine niliona wameua wanajeshi 1000 wa Ukraine [emoji23]. Yani tangu waseme wameshaharibu karibu HIMARS karibu zote,na kutungua Bayraktar drone 100 za Ukraine wakati Ukraine alikua nazo 36 tu nikiona taarifa zao nacheka tu halafu nasema hiiiiiii.
Huko kwao wamefungia vyombo vya habari na ukileta taarifa yako kinyume na za mamlaka jiandae kwenda jela unategemea nini zaidi ya kuwalisha watu wao propaganda?!
Walisema wameharibu Airforce yote ya Ukraine cha ajabu mpaka Leo ndege za Ukraine zinaruka na kufanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Urusi. Hawajatoa idadi ya wanajeshi wao waliokufa karibu miezi sita sasa mara ya Mwisho walitoa mwezi March. Babu Yao Putin kaona mambo magumu mpaka kakimbilia Tehran kuomba msaada wa drones,embu fikiria Leo hii Russia ni kwenda kuomba msaada Iran kweli,Yani hapo ni sawa na Marekani aende kuomba msaada wa kijeshi Misri!!!!
Na swali la Mwisho la kujiuliza wanasema wameua wanajeshi 500+,je ushahidi uko wapi?! Watume hata kapicha bhas Ka wanajeshi japo 50 waliodedi
Nazungumzia Su-34M na sio hiyo basic model Su-34.
Ni kama Kwa Marekani Leo tuizungumzie F-15 EX au F-16 V.
In June of 2021, Russian media outlet Tass reported that the nation would receive eight updated Su-34M fighter bombers by the end of the year. It wasn't until July 8 of this year that Russia inducted the first operational Su-34Ms into service. To date, it appears Russian Aerospace Forces have received no more than 10 total aircraft
Hiyo ndege imeanza kufanya kazi mwaka huu July 8 wakaipeleka moja Kwa moja vitani Ukraine.
Russia appears to have shot down one of its own jets in Ukraine just a few weeks after it was delivered
Na S-350 surface to air missile ya mwaka 2019 nayo vipi?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa iyo ni salaha mpya au imefanyiwa modification.mbona ni vitu vya kawaida ivyo ila sio silaha mpya. Na hata ukiangalia mabadiliko waliyofanya ni kuongeza uwezo wa kubeba aina ya makombola,kuongeza camera yenye nguvu na rada mpya.
Na S-350 surface to air missile ya mwaka 2019 nayo vipi?!
Su-57?!
Hypersonic missiles?!
Laser?!
Powerful radar 'Podlet-K1' '9s19 Ginger Radar'?!
Hizo nazo ni za zamani si ndio?!
Na S-350 surface to air missile ya mwaka 2019 nayo vipi?!
Su-57?!
Hypersonic missiles?!
Laser?!
Powerful radar 'Podlet-K1' '9s19 Ginger Radar'?!
Hizo nazo ni za zamani si ndio?!
Ila nyie tukiwaomba ushahidi wa wanajeshi 500 hamtoi wala zile Himars mnazosema kila siku mmeziharibu,mkiombwa evidence hamna.Lete picha ya iyo s-350 ikiwa UKRAINE maana tusiongelee wakati hata ushahidi wa iyo silaha hamna
The Sukhoi Su-57 in combat operations over Ukraine.Pia lete picha ya su-57 ikiwa UKRAINE.kama sio ni propaganda
Dah!Wamepewa kichapo kisicho cha kawaida
Wewe ulitaka BBC watangaze?huna akiliSource ya habari SPUTNIK([emoji90][emoji90][emoji90]) [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila nyie tukiwaomba ushahidi wa wanajeshi 500 hamtoi wala zile Himars mnazosema kila siku mmeziharibu,mkiombwa evidence hamna.
Russia’s New S-350 Air Defense System Appears At Base Near Ukraine Border
Russia ni matapishi toka waseme waliua majeneral 20 2a Ukraine ,ila hata majina walishindwa kutoa nawaona matapishi tuuIla nyie tukiwaomba ushahidi wa wanajeshi 500 hamtoi wala zile Himars mnazosema kila siku mmeziharibu,mkiombwa evidence hamna.
Russia’s New S-350 Air Defense System Appears At Base Near Ukraine Border
Al-Jazeera ipo mbona yaani ni afadhari ya RT kidogo wajaiwekaga na ukweli lakini Kuisikiliza SPUTNIK ni sawa niwaletee Reference ya KYIV INDEPENDENTWewe ulitaka BBC watangaze?huna akili