Urusi imewaua wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 560 walipojaribu kuishambulia Kherson

Russia wamekiona cha cha moto na wamedhoofu sana kwani sasa hawawezi kuingiza silaha tena!
 
Kwahiyo imesogezwa hapo ili idake inzi si ndio?! Kwanini siku zote haikuletwa hapo ije iletwe Leo?!
 
Warusi weusi vipi nyie mmepoteza wangapi na mali kiasi gani au ilikuwa 560 kwa bila, kubalini Putin vita imemshinda hii maana miezi zaidi ya sita hata robo ya nchi hajachukua, kinachofuata mtapoteza mlichoiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…