Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi mara Kwa mara na Moja ya siraha muhimu waliokuwa wakiihitaji ni Bomu la nyuklia ili kutimiza adhima Yao hiyo
Mradi wake huo ulipo anza kutishiwa na wazayuni na Marekani aka kimbia kujifungamanisha na taifa lenye nguvu Urusi ili kuulinda mradi wake huo akiamini Rasia itamkingia kifua katika kuulinda mradi wake huo ikaingia mkataba wa ulinzi na Rasia
Ulipofika wakati maadui wa mradi kubomoa mradi huo Rasia akaitupa Iran kama alivyoitupa Syria,waarab na waajemi wanapaswa kupata somo hapo Rasia ni mnafiki