- Thread starter
- #41
SAWA hua sipendi kupoteza muda sana na watu wa madrasaMmepigwa nyie kwenye Bible ,Mungu wenu kashindwa haya ndio maazimio mnajidanganya...Weka poll uone kama jamaa yako kapigwa mpaka kapata adabu 😅😅kafanya shambulio la kushtukiza ila kilichofuata si Mungu wenu wala iron dome vyote zimepelekewa moto.
Acheni kujidanganya mmeoigwa....Siku ya kwanza tu.View attachment 3381364
Mwambieni Ayatola atoke shimoni simba asha maliza kazi yake,😄
Ni kwepi ironed some imefeli kiasi lkn habari Gani mfumo wa Irani umezuia Nini wapi mzayuni kashindwa kupiga ila ukitaka nikuonyeshe Irani ilipofeli nitakuonysha
Israeli kapiaga makamanda kapiga nuklia sites,kapiga televisheni ya taifa kapiga uwanja wa ndege mpaka Ayatola kakimbilia shimoni
Mrusi kakaa kimya kama haoni mapaka Jana waziri WA mambo ya nje wa Iran kaenda Moscow Jana kumkimbusha Putin kiapo chao