Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,

Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi mara Kwa mara na Moja ya siraha muhimu waliokuwa wakiihitaji ni Bomu la nyuklia ili kutimiza adhima Yao hiyo

Mradi wake huo ulipo anza kutishiwa na wazayuni na Marekani aka kimbia kujifungamanisha na taifa lenye nguvu Urusi ili kuulinda mradi wake huo akiamini Rasia itamkingia kifua katika kuulinda mradi wake huo ikaingia mkataba wa ulinzi na Rasia

Ulipofika wakati maadui wa mradi kubomoa mradi huo Rasia akaitupa Iran kama alivyoitupa Syria,waarab na waajemi wanapaswa kupata somo hapo Rasia ni mnafiki
Kwani unadhani wale wanaotuma meseji za "mpigie mzee mavumbi....ana dawa ya kutoa mikosi" walianzia wapi
 
Urusi nao wana msala wao msiwalaumu.

Kuna vita Russia huwa inashindwa, angalia Syria waliamua yaishe.

Waka mchukua Assad wakatulia.
 
Kwa lipi rafiki Iran mbona Irani kachapika sana kapokonywa ulinzi wa anga Ayatola yupo shimoni muda huu wasiwasi tele
Inaonekana wewe ni mkazi wa kijijini hivyo mambo yanayoendelea Duniani hauwezi kuyajua

Waisrael wiki mzima wanajificha ndani ya mahandaki kumbe wewe haulijui hilo

Leo hii utadanganywa kama vinu vya Nyukilia vya Irani vimeharibiwa

Kama kweli vimeharibiwa basi hautasikia tena ishu ya Nyukilia Irani

Ila kama utasikia Marekani na Israel wanaendelea kulia Lia kuhusu Nyukilia ya Irani basi hapo ndio utajua kuwa ulidanganywa

Ona picha hizo jinsi Israel ilivyochapika alafu wewe na wakulima wenzanko wa maharage endeleeni kudanganyana huko Mbeya
 
Attachments

  • Screenshot_20250623-191633.jpg
    Screenshot_20250623-191633.jpg
    559.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20250622-193414.jpg
    Screenshot_20250622-193414.jpg
    486.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250619-211457.jpg
    Screenshot_20250619-211457.jpg
    677 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250620-084836.jpg
    Screenshot_20250620-084836.jpg
    545.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250623-073037.jpg
    Screenshot_20250623-073037.jpg
    513.3 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250623-102846.jpg
    Screenshot_20250623-102846.jpg
    444.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20250623-102956.jpg
    Screenshot_20250623-102956.jpg
    518.9 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250623-103320.jpg
    Screenshot_20250623-103320.jpg
    631.6 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250623-103923.jpg
    Screenshot_20250623-103923.jpg
    558.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20250623-122855.jpg
    Screenshot_20250623-122855.jpg
    490 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250623-122904.jpg
    Screenshot_20250623-122904.jpg
    479.9 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250623-191610.jpg
    Screenshot_20250623-191610.jpg
    513.1 KB · Views: 14
Irani kafikia malengo Gani? kama ni Gaza iwe huru basi Bado inagaragazwa huku ikipokoywa mradi wake wa nuklia,Israeli si taifa la Mungu pekee kwani mataifa yote pia nivya Mungu ikiwepo Iran

Malengo ya Iran yalikuwa ni kupeleka punsihment Tel-Aviv mpaka wagugumie kwa maumivu kutokana na uchokozi wao. Iran haikuwa na malengo yoyote mengine zaidi ya hayo
 
Nnachojua mpaka Sasa,
Alieomba vita isimame ni trump

Na hii Ni baada ya kichapo kwenye Kambi zake kule Qatar na Iraq,

Tukumbuke pia,
Marekani ndie sponsor mkuu WA israel
 
Vijana wa kanisa hamuamini taifa la Mungu limepigwa😅😅😅Badilikeni sio kwa kujidanganya huko ,ingia mitandaoni uone mshindi ni nan.
Haijalishi uko upande gani lakini kwenye huu mzozo kama unapima damage ni wazi Irani amedhoofishwa sana na watu wengine wasichoamini ni kuwa Nchi Saudi Arabia na Qatar zimeifurahia hii show kwa kuwa kudhoofika kwa Iran ni ahueni kwao kama unataka kujua hilo.tazama Aljezira walivyoripoti habari za wapalestina ni tofauti kabisa na walivyokuwa wana ripoti habari za Iran.
 
Sisi ni jihadists , Israel kachapwa na watu wanajua hilo 🤣🤣🤣 anashmbulia mashambani.
Leo Asubuhi watu wake wameuliwa mpaka kanapinick.

1000103168.png

Anapiga mashambani hana kipya

1000103240.png
 
Haijalishi uko upande gani lakini kwenye huu mzozo kama unapima damage ni wazi Irani amedhoofishwa sana na watu wengine wasichoamini ni kuwa Nchi Saudi Arabia na Qatar zimeifurahia hii show kwa kuwa kudhoofika kwa Iran ni ahueni kwao kama unataka kujua hilo.tazama Aljezira walivyoripoti habari za wapalestina ni tofauti kabisa na walivyokuwa wana ripoti habari za Iran.
Shambulio la kwanza watu kama mia walienda hii ni kwa mujibu mwa watu waliokuwa wanaishi Israel na wamekatazwa kutoa taarifa... Israel kwao kifo ni aibu na Iran kwao ni njia ya ibada.
 
TATZO walimu-underestimate sana iran,

Marekani alipiga nuclear sites na kuonya kua Iran isilipize kisasi, itakutana na force ambayo haijawai tokea tangu dunia iumbwe

Irani kamjibu usa ndani ya saa 24 mashambulizi kwenye Kambi za USA

Nilitegemea usa akusanye majeshi yake yote akamshambulie Irani

Badala yake kaufyata mkia kwny kichaka cha kulala amani

Malengo ya Iran yalikuwa ni kupeleka punsihment Tel-Aviv mpaka wagugumie kwa maumivu kutokana na uchokozi wao. Iran haikuwa na malengo yoyote mengine zaidi ya hayo
 
Usichokijua Putin ameshajibu hiyo hoja yako.
Waisrael zaidi 24% wanazungumzia Russian kumaanisha ni raia wa Urusi pia.
Pili Iran alikataa msaada wa ulinzi toka Russia alisema anao uwezo wa kujilinda.
 
Malengo ya Iran yalikuwa ni kupeleka punsihment Tel-Aviv mpaka wagugumie kwa maumivu kutokana na uchokozi wao. Iran haikuwa na malengo yoyote mengine zaidi ya hayo
Ok kumbe ndo hivyo basi wamefanikiwa sana ila wenzao walilenga kuwanyang'anya nyuklia basi hiyo ilikuwa inaintima Israeli usingizi japo pia Irani wanamisiba mingi ya majenerali wa kuwazika na kumpasha Ayatola habari kuwa Simba kamaliza KAZI yake yupo salama sasa anaweza kutoka shimoni ila asirudie kufukua milima mingine kwani spirit Bado zinamafuta ya kutosha
Malengo ya Iran yalikuwa ni kupeleka punsihment Tel-Aviv mpaka wagugumie kwa maumivu kutokana na uchokozi wao. Iran haikuwa na malengo yoyote mengine zaidi ya hayo
 
Inaonekana wewe ni mkazi wa kijijini hivyo mambo yanayoendelea Duniani hauwezi kuyajua

Waisrael wiki mzima wanajificha ndani ya mahandaki kumbe wewe haulijui hilo

Leo hii utadanganywa kama vinu vya Nyukilia vya Irani vimeharibiwa

Kama kweli vimeharibiwa basi hautasikia tena ishu ya Nyukilia Irani

Ila kama utasikia Marekani na Israel wanaendelea kulia Lia kuhusu Nyukilia ya Irani basi hapo ndio utajua kuwa ulidanganywa

Ona picha hizo jinsi Israel ilivyochapika alafu wewe na wakulima wenzanko wa maharage endeleeni kudanganyana huko Mbeya
Hizo ni picha za maghorfa wenzao wanapicha za mahandaki ya nyuklia waliopiga ila wakitaka kupiga za maghorofa zitakuwa nyingi sana Irani hakuna ulinzi wowote kawaambie wanamadrasa wenzio
 
Hizo kelele za mvuta bangi asiye jitambua endelea kuamini Israel kashinda vita, kwa ujinga wako. Netanyahu mpaa Pampers alikuwa akivaa si bora Ayatollah yupo kwenye safe place hata wazirii wa mambo ya nje wa Iran alisema Israel hawataweza kumfikia Ayatollah wacha wajidanganye tu.

Dunia nzima wanajua isinge ingilia USA hao makenge wenzako wangepotezwa na Iran wasinge baki mtu kwao kama alivyo maliza base zote,research centre zao, viwanda vya kutengeneza silaha, Refinery we unajua ni Egypt ndio alikuwa akimsaidia mafuta na gas, bandari ya Haifa out of order afu unawasifia hao makenge.

Hilo taifa ni chui ndani ya karatasi.

Sa mimi narudi kwenye swali lako lingine unalosema mbona Iran hawasaidi Hamas nani anaye mpa silaha Hamas mbona Israel analijua hilo. Hio si ndio ingekuwa fursa yake kuimaliza Iran hahaha mbona Gaza hataki kufanya ceasefire na hata kule Lebanon ana vunja ceasefire mara kwa mara mwambie akashambulie tena Iran na kesho au bada ya week kame yeye mwamba. Jeshi gani linaweka base ndani ya hospital kama si mashoga hawa

View: https://youtube.com/shorts/UgWacAG6K0A?si=wa4EOGMfZfrhbl3p

View: https://youtube.com/shorts/pgU8_qp3K58?si=M1xaPMhZtnTOBWBO

Sawa naona umehitimu madrasa juzi ila Simba kakamata Gaza Irani akawakomboe si Israel kaisha?mnadanganywa sana huko madrasa eti base zote za Israel zimekwisha nend kawaambie meli zote ndege zote zipo salama na hazina ya makombora yapo salama kutibu waugua mapepo wote watakao taka matibabu Irani kashindwa kupiga
 
sana huko madrasa
Nyinyi ndio madanganywa eti taifa la Mungu, vita ya siku sita, kikowapi? Hii vita imemvua nguo huyo mayahudi wa mchongo kapigwa yeye pamoja na mumewe Trump mpaka wameomba poo, mmmae.
 
Simba gani wewe dogo nchi inambiwa na USA simamisha vita haina hata amri hata Israel cabinet wameshangaa walikuwa hawana habari kama leo vita vitasimama au havisimami hio kama sio dharau ni nini. Iran ka deal na USA na Qatar hakudeal na Israel. Unajua sababu gani Israel aliomba US iwasemeshe Iran kwamba wanataka vita visimame US akamsemesha Qatar na Iran ikasema kwa sharti moja lazima nipige US base ndio tasimamisha vita na Israel

We kalia kuza kanga eti Simba hahaha

View: https://youtu.be/RyuQSZOhwbU?si=TVsHKxc4ZWIzwY5z
 
Sipendi kabisa mijadala isiyo na facts.

Marekani na Israel hadi sasa hawafahamu ni kiasi gani cha uharibifu kimefanyika katika nyuklia iliyorutubishwa kwa 60%, Iran wenyewe wamekiri kuhamisha ‘mzigo’ kabla ya shambulizi.

Pekee ambacho ni dhahiri hadi sasa ni Israel kufanikiwa katika mauaji ya viongozi na wanasayansi, huku Iran nao wakifanikiwa katika mashambulizi kwenye ardhi ya Israel ambayo hayajawahi kushuhudiwa.

Haikuwa vita ya kinyonge, kila mmoja kashinda mechi zake.
Naunga mkono hoja
 
Simba gani wewe dogo nchi inambiwa na USA simamisha vita haina hata amri hata Israel cabinet wameshangaa walikuwa hawana habari kama leo vita vitasimama au havisimami hio kama sio dharau ni nini. Iran ka deal na USA na Qatar hakudeal na Israel. Unajua sababu gani Israel aliomba US iwasemeshe Iran kwamba wanataka vita visimame US akamsemesha Qatar na Iran ikasema kwa sharti moja lazima nipige US base ndio tasimamisha vita na Israel

We kalia kuza kanga eti Simba hahaha

View: https://youtu.be/RyuQSZOhwbU?si=TVsHKxc4ZWIzwY5z

Sawa endelea kuamini hivo tangi Sasa utaanza kuona matokeo ya vita hii Irani hatakuwa na sauti aliyokuwa nayo hapo awali ameahapigwa sindano ya nusu kaputi

Tuliwaambia hivyo kipindi Israel na Hezbola wanafanya kusimamisha mapigano tukawambia Hesbolah Hana nguvu Tena mkabisha lkn mmjionea alivyo mnyoge saiv na tunawambia tena juu ya Iran,Iran kaumia sana hata kuwa kama alivyokuwa mwanzo hii tuipe muda usiwe na haraka utamuona tu unyonge wake mpendwa wetu wa kishia alivyo mnyonge
 
Nyinyi ndio madanganywa eti taifa la Mungu, vita ya siku sita, kikowapi? Hii vita imemvua nguo huyo mayahudi wa mchongo kapigwa yeye pamoja na mumewe Trump mpaka wameomba poo, mmmae.
Sawa muda utaongea tusiongee sana
 
Back
Top Bottom