Wazolee
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 4,177
- 4,887
Kumbe dogo upo katika udini?Hizo ni picha za maghorfa wenzao wanapicha za mahandaki ya nyuklia waliopiga ila wakitaka kupiga za maghorofa zitakuwa nyingi sana Irani hakuna ulinzi wowote kawaambie wanamadrasa wenzio
Nani amekudanya kuwa hii vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?
Yani hata haujui kuwa hii ni vita ya kisiasa na kiuchumi
Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona wewe katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini