Irani kafikia malengo Gani? kama ni Gaza iwe huru basi Bado inagaragazwa huku ikipokoywa mradi wake wa nuklia,Israeli si taifa la Mungu pekee kwani mataifa yote pia nivya Mungu ikiwepo IranVijana wa kanisa hamuamini taifa la Mungu limepigwa😅😅😅Badilikeni sio kwa kujidanganya huko ,ingia mitandaoni uone mshindi ni nan.
Kwa lipi rafiki Iran mbona Irani kachapika sana kapokonywa ulinzi wa anga Ayatola yupo shimoni muda huu wasiwasi teleMbona kama unajipa moyo hivi
Hapana sishabikii vita nafurahi amani kupatikanaMnashabikia vita vya matajiri maisha yakipanda bei mnalilia maisha magumu.
Malengo yapi wamefikia Israel wakati wamepigwa😅😅😅 Israel hafui dafu kwa Iran na vita inaendelea...Hakuna malengo kama mizigo mpaka Asubuhi kapigwa.Irani kafikia malengo Gani? kama ni Gaza iwe huru basi Bado inagaragazwa huku ikipokoywa mradi wake wa nuklia,Israeli si taifa la Mungu pekee kwani mataifa yote pia nivya Mungu ikiwepo Iran
Hao wamekubaliana kanisani kuleta uzushi , Israel kapigwa kinoma ,mkuu wa Mossad kwisha habari yake ...Watu elfu wamekosa umeme ,nchi ni ndogo kila kona ni moshi ...Sipendi kabisa mijadala isiyo na facts.
Marekani na Israel hadi sasa hawafahamu ni kiasi gani cha uharibifu kimefanyika katika nyuklia iliyorutubishwa kwa 60%, Iran wenyewe wamekiri kuhamisha ‘mzigo’ kabla ya shambulizi.
Pekee ambacho ni dhahiri hadi sasa ni Israel kufanikiwa katika mauaji ya viongozi na wanasayansi, huku Iran nao wakifanikiwa katika mashambulizi kwenye ardhi ya Israel ambayo hayajawahi kushuhudiwa.
Iron dome na Mungu pia vilaumiwe😅😅kwa kuwalinda mpaka wanapata kichapoNa marekani ilaumiwe kwa kushindwa kulinda anga la mayahudi sio?
Malengo yapi wamefikia Israel wakati wamepigwa😅😅😅 Israel hafui dafu kwa Iran na vita inaendelea...Hakuna malengo kama mizigo mpaka Asubuhi kapigwa.
Hkuna Iron wala Mungu wao anaweza kuzuia kipigo.I
Washukuru tecnolojia ya mrusi ya supersonic vinginevyo wangelia waajemi lkn kwanini kashindwa kupiga nyuklia ya Isael na kuangamiza mandege ya wazayuni yanayo watesa Kila mara? Je Gaza hatima yake ninini? Allah atunusuruIron dome na Mungu pia vilaumiwe😅😅kwa kuwalinda mpaka wanapata kichapo
Iron dome na Mungu piayvilaumiwe😅😅kwa kuwalinda mpaka wanapataNa marekani ilaumiwe kwa kushindwa kulinda anga la mayahudi sio?
Kipigo mpaka Mungu kashindwa kukizuia😅😅Nyuklia zipi mmepiga na jamaa bado anazo ,ukipiga lineletwa mpaka USA tena ..Pale umepiga vumbi tu la milimani ,ndege zile mmepigwa hamna kitu zimefanya ..😅😅😅Israel na Marekani walioonya Iran juu ya mradi wake wa nuklia iusalimishe na kuachana nao au upigwe bomu ikakataa katakata sasa umepingwa bomu tayari kazi imeisha Ayatola atoke shimoni mwanbieni,akifukuwa mlima mwingine spirit zitakuja tena
Acha kulia lia Iron dome haifua dafu kwa mziki wa Iran ,wanapiga Targets ,zote Mayahudi wanalala kiza huko😅😅😅Iran ni taifa la ombaomba kama Tz tu ,hawana cha maana zaidi la kula kodi za wajinga wa America.Washukuru tecnolojia ya mrusi ya supersonic vinginevyo wangelia waajemi lkn kwanini kashindwa kupiga nyuklia ya Isael na kuangamiza mandege ya wazayuni yanayo watesa Kila mara? Je Gaza hatima yake ninini? Allah atunusuru
Irani alikuwa anapigana bila malengo kayaacha mandege ya kizayuni yanamfinya Kila mara ye yupo bize tu na mghorofa ya Tel Aviv ambayo yatajengwa muda SI mrefu ila ya Gaza yatasubiri sana Allah atunusuruHao wamekubaliana kanisani kuleta uzushi , Israel kapigwa kinoma ,mkuu wa Mossad kwisha habari yake ...Watu elfu wamekosa umeme ,nchi ni ndogo kila kona ni moshi ...
Wakazi wamekimbia na kila kitu hakienda ,😅😅Iran kila nafasi imezibwa wanasayansi wa kutosha ,kaingia Mume wake katimua vumbi jangwani naye kapigwa ..
Hivi we bado unaota Israel kashinda vita pole sana kapime akili zakoHatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi mara Kwa mara na Moja ya siraha muhimu waliokuwa wakiihitaji ni Bomu la nyuklia ili kutimiza adhima Yao hiyo
Mradi wake huo ulipo anza kutishiwa na wazayuni na Marekani aka kimbia kujifungamanisha na taifa lenye nguvu Urusi ili kuulinda mradi wake huo akiamini Rasia itamkingia kifua katika kuulinda mradi wake huo ikaingia mkataba wa ulinzi na Rasia
Ulipofika wakati maadui wa mradi kubomoa mradi huo Rasia akaitupa Iran kama alivyoitupa Syria,waarab na waajemi wanapaswa kupata somo hapo Rasia ni mnafiki