Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

Na marekani ilaumiwe kwa kushindwa kulinda anga la mayahudi sio?
Anga la Kiyahundi limendwa vema ndo maana ndege zao zipo salama na nyuklia Yao pia labda mghorofa machache ndo ushindi wa Iran Allah atunusuru
 
Iran sa hivi kimya, wameufyata. Mpaka raisi wao amejificha
 
Si kweli ,sio mkataba wa kiulinzi walioingia
 
Irani alikuwa anapigana bila malengo kayaacha mandege ya kizayuni yanamfinya Kila mara ye yupo bize tu na mghorofa ya Tel Aviv ambayo yatajengwa muda SI mrefu ila ya Gaza yatasubiri sana Allah atunusuru
Malengo yapi ameshaharibu kila kitu, wenzako kufa ni jihadi ni ushindi 😅😅nyie mnaficha vifo
..Wanajeshi wenu wanajinyea huko ...Hakuna kupumzika ...Mnapigwa ili mfutwe kabisa sio mmoja mmoja .

Yaani nchi inapigwa yote ,tuone mtaishi wapi ..Kwanza mmehamishwa kule mnapokalia kwa mabavu ...Wamekimbia bhana.

Wakristo acheni kulia ,huyu anawasaidia kuwamaliza waliomuua Mungu wenu.
 
Jidanganye mitambo ishapigwa waliambiwa watoe nuklia TU mitambo waiache wakaitoa nuklia kuepuka mionzi isizuru raia nuklia imeifaziwa kwenye makontena ila haiwezi rutubishwa bila mitambo maalum,na wasayansi wengi walikufa na Rasia kasepa na watu wake miambili walikuwa wakiwasaidia Irani
 
Irani alikuwa anapigana bila malengo kayaacha mandege ya kizayuni yanamfinya Kila mara ye yupo bize tu na mghorofa ya Tel Aviv ambayo yatajengwa muda SI mrefu ila ya Gaza yatasubiri sana Allah atunusuru
Hivi hujui Iran kazi destroyed camp za jeshi kubwa kule Tela Aviv, viwanda vya kutengeneza silaha, Refinery, Ports, Mossad, Air ports, Chemicals/Biologically research centre ni hasara tupu vingine hata sivikumbuki inataka miaka labda 15 au zaidi kurecovery hizo damaged
 
Mmepigwa nyie kwenye Bible ,Mungu wenu kashindwa haya ndio maazimio mnajidanganya...Weka poll uone kama jamaa yako kapigwa mpaka kapata adabu 😅😅kafanya shambulio la kushtukiza ila kilichofuata si Mungu wenu wala iron dome vyote zimepelekewa moto.

Acheni kujidanganya mmeoigwa....Siku ya kwanza tu.
 
Fact
 
Habari za hii vita ni kama vile Russia anavyopigwa na Ukraine bila kujibu.
 
Kobazi hazitaki kuelewa kabisa kwamba ayatollah kapigwa na yahudi zinajua zimefikia malengo ya vita,sasa hapa ilitakiwa zipigwe mpaka mmoja awe koloni la mwenzake.
 
Kwa hapa Tanzania vita ya Iran na Israel imesajili wanachama kama UTOPORO na MAKOLO.
 
Hii mijadala bora hata wadada wenye upeo kama nyie mfungue uzi kuliko hawa wagalatia wasio na akili sijui nani kawaloga
 
Halafu madam nifa nahisi tumetokea sehemu moja kama sio kijiji kimoja sijui kwa nini🤣🤣🤣
 
Ayatollah ameweka mradi wa nyuklia rehani ili kuokoa maisha yake asiuwawe na maadui ndio maana kaomba poo vita visitishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…