SAWA hua sipendi kupoteza muda sana na watu wa madrasaMmepigwa nyie kwenye Bible ,Mungu wenu kashindwa haya ndio maazimio mnajidanganya...Weka poll uone kama jamaa yako kapigwa mpaka kapata adabu 😅😅kafanya shambulio la kushtukiza ila kilichofuata si Mungu wenu wala iron dome vyote zimepelekewa moto.
Acheni kujidanganya mmeoigwa....Siku ya kwanza tu.View attachment 3381364
Kama angefanikiwa kufanya hivyo inamaana Israeli siyo tishio Tena Sasa akamtoe Gaza,we endelea kujidanganya huto sikia Iran kuingilia mambo ya Gaza ameshafumbwa mdomo na nuklia yake imeota mbawaHivi hujui Iran kazi destroyed camp za jeshi kubwa kule Tela Aviv, viwanda vya kutengeneza silaha, Refinery, Ports, Mossad, Air ports, Chemicals/Biologically research centre ni hasara tupu vingine hata sivikumbuki inataka miaka labda 15 au zaidi kurecovery hizo damaged
Angekuwa na nguvu angewazuia wasipige nuklia sites kma Israel alivo mzuia kupiga za kwake,Israel mandege yake yote yapo salama tayari kwa KAZI yakihitajikaISRAIL alikuwa amaeaonea wansmgambo ila slipokutaba na Waajemi hatari ksiona siku nyingine hata Rusia tena IRAN SASA ihsmie kwa MAREKANI
Mrusi mnafikiUnafurahia amani na unawalaumu Urusi kwa kushindwa kwa Iran?
Hii akili ya madrasa sipotezi muda nayoMalengo yapi ameshaharibu kila kitu, wenzako kufa ni jihadi ni ushindi 😅😅nyie mnaficha vifo
..Wanajeshi wenu wanajinyea huko ...Hakuna kupumzika ...Mnapigwa ili mfutwe kabisa sio mmoja mmoja .
Yaani nchi inapigwa yote ,tuone mtaishi wapi ..Kwanza mmehamishwa kule mnapokalia kwa mabavu ...Wamekimbia bhana.
Wakristo acheni kulia ,huyu anawasaidia kuwamaliza waliomuua Mungu wenu.
View attachment 3381352
Hivi hizi stori za kupigwa nuclear facilities zimeanza leo? Hivi wanakuwa wanapiga nuclear facilities au decoys? Kama ndizo wanazopiga mbona mara baada ya muda mfupi Iran inakuwa tena kwenye game la nyukilia?Irani kafikia malengo Gani? kama ni Gaza iwe huru basi Bado inagaragazwa huku ikipokoywa mradi wake wa nuklia,Israeli si taifa la Mungu pekee kwani mataifa yote pia nivya Mungu ikiwepo Iran
Hizo Story ni za kenge tu aliye kuwa akiomba ceasefire ni Israel hata gazeti lao lilisema afu unakujacwewe mkanisa unatuambia Jran aliomba ceasefire hahaha joke ya 2025Kama angefanikiwa kufanya hivyo inamaana Israeli siyo tishio Tena Sasa akamtoe Gaza,we endelea kujidanganya huto sikia Iran kuingilia mambo ya Gaza ameshafumbwa mdomo na nuklia yake imeota mbawa
Juzi Ayatola alianza kujitekenya eti Israel akiacha kushambulia na eye ataacha alipoambiwa vipi tupumzike kidogo kakubalia haraka sana,Allah atunusuru
Hajawahi kipigwa kama alivo pigwa safari hii,wanaume wameshaliza kazi wamemwambi aziweke kwenye mifuko wananchi wake wasije wakafa akirudia Tena kufukua milima wanarudi Tena wale spirit wanatumiaga masaa 37 tu. Allah tunusurHivi hizi stori za kupigwa nuclear facilities zimeanza leo? Hivi wanakuwa wanapiga nuclear facilities au decoys? Kama ndizo wanazopiga mbona mara baada ya muda mfupi Iran inakuwa tena kwenye game la nyukilia?
Ila ilikuwa niniSi kweli ,sio mkataba wa kiulinzi walioingia
Hapo Simba Isha waramba wameumia vibaya sanaIran sa hivi kimya, wameufyata. Mpaka raisi wao amejificha
Iran Kisha ufyataMbona kichapo bado kinaendelea?
Ironed some imejitahidi sana tuambie Irani kashindwa Nini kulinda nyukilia sites zake? Na kwanini yeye kashindwa kupiga za mazayuni,Allah tunusuruAcha kulia lia Iron dome haifua dafu kwa mziki wa Iran ,wanapiga Targets ,zote Mayahudi wanalala kiza huko😅😅😅Iran ni taifa la ombaomba kama Tz tu ,hawana cha maana zaidi la kula kodi za wajinga wa America.
Na kwahiyo unaamini Iran ni wapuuzi kiasi cha kuacha zana muhimu pale Fardow wakati taarifa za Trump kutaka kuishambulia Iran zilianza kitambo tu? Yaani pamoja na mashambulizi hatimae kuanza, na kuthibitika Israel hawana resources za kuifukua Fardow, bado Iran wakawa wanasubiri tu project yao iangamizwe kifala fala tu?! Au walichoangamiza US ni mahandaki tupu huku zana muhimu zote zikiwa zimeshakuwa evacuated?Hajawahi kipigwa kama alivo pigwa safari hii,wanaume wameshaliza kazi wamemwambi aziweke kwenye mifuko wananchi wake wasije wakafa akirudia Tena kufukua milima wanarudi Tena wale spirit wanatumiaga masaa 37 tu. Allah tunusur
Lengo la Irani ni kuifuta Israeli katika uso wa Dunia kama kweli ananguvu kwanini akubali kisimamamisha vita? Si aendelee kuitokomeza Israeli?Aende na Gaza apeleke misaada wanakufa na njaa ndugu zake, Mwambie Ayatola atoke shimoni Simba amemaliza kazi yake nyulia sites zimefungwa uranium zipo kwenye makontena .Allah tunusuruHizo Story ni za kenge tu aliye kuwa akiomba ceasefire ni Israel hata gazeti lao lilisema afu unakujacwewe mkanisa unatuambia Jran aliomba ceasefire hahaha joke ya 2025
Panya hua anamkimbia paka hii mitambo si midogo ni mitambo mikubwa imejengwa kwa makumi ya miaka haihamishwi siku Moja halafu usihau intelijensia ya wazayuni na waamerika IPO juu kama walifahamu chumba alicholala mkuu wa majeshi ya Irani hawawezi shindwa kujua kama mitambo imehamishwa wakati masetillite Yao yanashinda hapo,hata hiyo Uranium wanajua imefichea km 2 Toka hapo iliondolewa masaa mchache kabla ya shambulio ili kuepusha madhara Kwa raia mwambie Ayatollah atoke shimoni Simba amemaliza kazi yakeNa kwahiyo unaamini Iran ni wapuuzi kiasi cha kuacha zana muhimu pale Fardow wakati taarifa za Trump kutaka kuishambulia Iran zilianza kitambo tu? Yaani pamoja na mashambulizi hatimae kuanza, na kuthibitika Israel hawana resources za kuifukua Fardow, bado Iran wakawa wanasubiri tu project yao iangamizwe kifala fala tu?! Au walichoangamiza US ni mahandaki tupu huku zana muhimu zote zikiwa zimeshakuwa evacuated?
Kama hujui historia ya mataifa haya mawili nakukumbusha historia ya Mateka 52 ambao ni Diplomats wa Marekani walishikiliwa mateka kwa zaidi ya Siku 400 na pamoja na US kutumia Special Forces bado walishindwa kuwaokoa, kwa sababu walikuwa wanaamishwa kila wakati, hadi Marekani ikabidi iombe msaada wa kidiplomasia na ndipo mateka wakaachiwa! Naamini ndicho kinachofanywa upande wa nyukilia- hawawezi kukaa kifara fara tu kusubiri vituo vifumuliwe
Hizo kelele za mvuta bangi asiye jitambua endelea kuamini Israel kashinda vita, kwa ujinga wako. Netanyahu mpaa Pampers alikuwa akivaa si bora Ayatollah yupo kwenye safe place hata wazirii wa mambo ya nje wa Iran alisema Israel hawataweza kumfikia Ayatollah wacha wajidanganye tu.Lengo la Irani ni kuifuta Israeli katika uso wa Dunia kama kweli ananguvu kwanini akubali kisimamamisha vita? Si aendelee kuitokomeza Israeli?Aende na Gaza apeleke misaada wanakufa na njaa ndugu zake, Mwambie Ayatola atoke shimoni Simba amemaliza kazi yake nyulia sites zimefungwa uranium zipo kwenye makontena .Allah tunusuru
Iran kashindwa na nani? Au ndio mnajifariji.Hatimaye makabiliano ya kuviziana kati ya Israel na Irani yameisitishwa huku Israel na Marekani wakifikia malengo Yao ya kuidhoofisha Irani na kuipokonya mradi wake wa nuklia,
Irani kwa miaka mingi ilikiwa ikijiandaa kupigana na Israel ili kulifuta taifa la kizauyuni kama ilivyokuwa ikiahidi mara Kwa mara na Moja ya siraha muhimu waliokuwa wakiihitaji ni Bomu la nyuklia ili kutimiza adhima Yao hiyo
Mradi wake huo ulipo anza kutishiwa na wazayuni na Marekani aka kimbia kujifungamanisha na taifa lenye nguvu Urusi ili kuulinda mradi wake huo akiamini Rasia itamkingia kifua katika kuulinda mradi wake huo ikaingia mkataba wa ulinzi na Rasia
Ulipofika wakati maadui wa mradi kubomoa mradi huo Rasia akaitupa Iran kama alivyoitupa Syria,waarab na waajemi wanapaswa kupata somo hapo Rasia ni mnafiki