Urusi inapaswa kualumiwa kushindwa kwa Iran

Hizo ni picha za maghorfa wenzao wanapicha za mahandaki ya nyuklia waliopiga ila wakitaka kupiga za maghorofa zitakuwa nyingi sana Irani hakuna ulinzi wowote kawaambie wanamadrasa wenzio
Kumbe dogo upo katika udini?

Nani amekudanya kuwa hii vita ya Israel na Irani ni vita ya kidini?

Yani hata haujui kuwa hii ni vita ya kisiasa na kiuchumi

Alafu hata kama ingekuwa ni vita ya kidini mbona wewe katika hizo nchi mbili wewe hakuna unayofanana nayo dini
 
Vijana wa kanisa hamuamini taifa la Mungu limepigwa😅😅😅Badilikeni sio kwa kujidanganya huko ,ingia mitandaoni uone mshindi ni nan.
Iran imepoteza viongozi wangapi pia Israel imepoteza viongozi wangap
 
Sijasema popote ni vita ya kidini ila akili uliyo nayo ni ya madrsa
 
Naunga mkono hoja
Kilicho shambuliwa ni vinu vya nyuklia na si Uranium,waliruhusiwa kuitoa Uranium na inafahamika ilipo pelekwa na Israel hawana mpango wa kuishambulia maana inaweza kusababisha mionzi yenye sumu kudhuru raia ila Israel haita ruhusu Irani kumiliki Tena vinu vya kinyukilia Hilo zingatia katolewa meno hawezi kung'ata Tena zaidi ya kusababisha majeraha madogo madogo
 
Very good.
 
Iran imepoteza viongozi wangapi pia Israel imepoteza viongozi wangap
Katika uislamu kila mtu ni khalifa 🤣🤣kikubwa kuwamaliza makafiri tu , uislamu cheo ni dhamana ila sio ukubwa ...Akifa huyu anakuja mwingine ,mnaua mkuu wa majeshi huku kipondo kinaendelea.

Kikubwa ni kumaliza makafiri ,sasa unaliza viongozi kufa je wale wanaojitoa muhanga utasemaje sasa?
 
Mimi naona tofauti kabisa Israel ndio kisha dharaulika, Iran nchi zote za majirani zitazidi kumuogopa na wa kwanza wao jirani wa mbali Israel

We mimi nakushauri kauze togwa kwenye ma bus station
 
ACHA POROJO- Taifa Teule limeumbuka!! Mlikuwa mnali-overate sana lakini imethibitika linapigika vizuri tu! Just imagine MISAADA YOTE YA KIJESHI inayopokea kutoka US na West lakini imekuja kutolewa nishai na Taifa ambalo lipo kwenye Vikwazo vya Kijeshi na Kiuchumi kwa zaidi ya Miaka 40!!
 
Iran kafanywa vibaya mnoo na yahudi, hatamaniki kwa kipondo russia joka la kibisa lile yahudiii dogo zele anamuadabisha huko ukraine mwaka wa tatu huu.
Russia itakuja kukung'utwa vibaya mnoooo na Israel miaka michache ijayo cha kuchekesha ni kuwa vita hiyo russia atakuwa kiongozi mataifa ya kikobaaaz mabusha yakiwa yapo nyuma ya kubwa jinga russia na wote watakung'utwa mbayaaaaa.
 
Then you have little understanding of the issue!! Kwani wanachimba madini hapo hadi kuweka na mamitambo Makubwa?! Na nani amekuambia ni uhamisho wa siku Moja?! Chifu, kwenye nuclear facility vitu vya msingi zaidi ni Centrifuges, enriched uranium, blueprints , codes na experts, lakini vingine vyote ni easily replaceable!! Haya mambo ni kama PC tu! If you're on run, hautahangaika na CPU, unang'oa tu Drive unasepa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…