STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji23] [emoji23] Jamaa linajitahid kupinga ilimradi na yeye awemoJamaa kaeleza vizuri sema wewe nawe unajifanyaga mjuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] Jamaa linajitahid kupinga ilimradi na yeye awemoJamaa kaeleza vizuri sema wewe nawe unajifanyaga mjuaji
Kama unataka vamia nchi ni Sasa Biden is Altzeimer patientMarekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga.
Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa wanajeshi wa Urusi kwenye mipaka ya Ukraine katika wiki moja iliyopita.
Akizumgumza na waandishi habari katika Ikulu ya Marekani, Sullivan amesema huo ni ujumbe wa dharura kwa sababu wako katika hali ya dharura.
Amesema Urusi ina majeshi yote inayohitaji kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi na nchi hiyo inaweza kuchagua ndani ya kipindi kifupi kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukraine.
Amesema uvamizi kama huo unaweza ukaanzia kwa kuushambulia Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Huku wasiwasi ukiongezeka, Rais wa Marekani, Joe Biden, leo Jumamosi anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi, Vladmir Putin kuhusu kuongezeka kwa mzozo huo. Mazungumzo kati ya Putin na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron pia yanatarajiwa kufanyika.
Hata hivyo, Urusi imerudia kukanusha mipango yoyote ya kuivamia Ukraine. Licha ya kukanusha huko, nchi kadhaa ikiwemo Marekani, Uingereza, Australia, Canada, Norway, Denmark, New Zealand, Japan na nchi nyingine za Ulaya zimewataka raia wake kuondoka Ukraine mara moja.
Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Jen Psaki amewaambia waandishi habari kwamba wanatambua Rais Putin anafanya uamuzi wa kuivamia Ukraine, hivyo kutakuwa na mazingira magumu kwa raia wa Marekani walioko Ukraine.
''Tunataka kuweka wazi hatari iliyopo kwa raia wetu, kwa raia yeyote ambaye atabakia ndani ya Ukraine,” alifafanua Psaki.
Marekani yaihakikishia Ukraine kuhusu uhuru wake
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema vikosi vya Urusi vinaweza kuivamia Ukraine muda wowote.
Akizungumza kwa njia ya simu na waziri mwenzake wa Ukraine, Dmytro Kuleba, Blinken amemuhakikishia kwamba Marekani itaendelea kuiunga mkono uhuru na uadilifu wa Ukraine.
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amezungumza kwa njia ya simu na Blinken, Macron pamoja na Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, huku viongozi hao wakithibitisha umuhimu wa kuweka vikwazo vikali na vya haraka iwapo Urusi itaivamia Ukraine.
Serikali ya Ujerumani imesema juhudi zote za kidiplomasia ni kuishawishi Urusi kupunguza mvutano, huku lengo kuu likiwa kuzuia vita barani Ulaya. Scholz anatarajia kuelekea Ukraine siku ya Jumatatu kujadiliana hatua za pamoja na madhubuti kukabiliana na vitisho.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amesema muungano huo umejiandaa kwa hali yoyote ile.
Ijumaa, wizara ya ulinzi ya Marekani ilisema Rais Biden ameamuru kupelekwa wanajeshi zaidi 3,000 nchini Poland mbali na 1,700 ambao tayari wako nchini humo, ili kuimarisha vikosi vya NATO vilivyoko huko.
Wanajeshi walioko Ujerumani pia kuhamishwa
Jeshi la Marekani pia linawahamisha wanajeshi 1,000 kutoka Ujerumani kwenda Romania, ambayo kama ilivyo Poland inapakana na Ukraine.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mark Milley Ijumaa alizungumza kwa simu na mwenzake wa Urusi, Jenerali Valery Gerasimov. Ofisi ya Milley haikutoa maelezo zaidi kusuhu kilichozungumzwa zaidi ya kusema makamanda hao wawili walijadiliana masuala kadhaa yanayohusiana na usalama.
Source: Reuters
View attachment 2117221
Wamarekani wa kwamtogole.Hivi Russia kwa akili zao wanafikiri kwamba leo hii kuna nchi wanaweza wakaifanya kuwa koloni lao, kama wanafikiri hivyo watakuwa wanajidanganya sana.
Hawa warusi mwaka 1979 waliivamia Afghanistan na kuikalia hiyo nchi kwa takriban miaka kumi ambapo walilazimika kuondoka baada ya kuzidiwa nguvu na vikosi vya Taliban na Northern Alliance.
Sasa leo tena wanataka waivamie Ukraine kwa kisingizio cha kuogopa Nato kujitanua wakati hao Nato tayari wapo kwenye mataifa mengine jirani nao kama Poland, Jamhuri ya Slovakia, Hungary na Romania, sasa walikuwa wapi wakati hayo mataifa yanajiunga na Nato?
Hatua hiyo ya Russia kuivamia Ukraine itakuwa na madhara makubwa kwao na kama wanafikiria kutumia gesi wanayouza Ulaya magharibi kama 'Tool for Leverage' basi watakuwa wanajidanganya sana kwani nchi za magharibi tayari wameshajipanga na njia mbadala.
Unamaanisha nini kusema Raisi ni kibaraka wa nchi za Magharibi? So Putin anataka kutoa kibaraka wa nchi za Magharibi afu aweke kibaraka wa Urusi ? Ukraine ni nchi huru na ina haki ya kujiamulia mambo yake. Kwenye dunia hii ukiwa mdogo (less strong) utaonewa sana. Ukraine ingeshakuwa ana nukes kwa sasa, Urusi angekuwa na adabu.Russia tayari iliweka majeshi yake zaidi ya 130,000 hadi kufikia mkesha wa christimas, huku nchi zingine za NATO zikiwa zinasherehekea siku hiyo ya kuzaliwa Yesu Kristo.
Ukraine imezungukuwa kila kona na wakati wowote Putin akiamua kunyanyua simu Ukraine itakuwa mikononi mwa Russia.
Leo mchana raisi Putin na Biden wamezungumza kwa simu kwa saa moja unusu bila kufikia mwafaka khasa baada ya Russia kuigundua manowari ya kivita ya Marekani ikiwa ndani yamaji yake katika bahari ya Okhotisk ndani ya maji ya Russia.
Russia ikaiamuru manowari hiyo iondoke mara moja na wanamaji hao wa Marekani wakatii amri hiyo.
Lengo la Moscow na Putin ni kuiondoa serikali ya vibaraka inoongozwa na Volodymiyr Zelensnky ambayo iliingia madarakani kwa kusaidiwa na majasusi wa CIA, NATO na nchi za magharibi mwaka 2014.
Lengo la serikali hii ya vibaraka ni kutumika kuizunguka Russia kiusalama na kuikomboa Crimea jambo ambalo Putin kama jasusi hatari la zamani la KGB aliligundua na sasa analichukulia hatua.
Jambo lililo wazi kwa sasa ni kwamba Russia ikiamua wakti wowote ule kuivamia Ukraine, yaweza kufanya hivyo na NATO, Marekani na nchi zingine za magharibi zitaangalia tu bila kufanya lolote kama ilivyokuwa kwa jimbo la Crimea.
Russia haitaki kuona Ukraine ina kuwa mwanachama wa NATO jambo linoweza kusababisha Russia kutishiwa usalama wake kwa Ukraine kutumika kama daraja la uvamizi.
Hivyo sisi wengine na dunia nzima tujiandae tu kuona mwamba huyu wa Russia akifanya mambo yake ambayo huyatenda kwa nadra lakini yenye ufanisi mkubwa.
Na wewe ni Mrusi wa wapi, Tandika kwa Mchambia Chupa..😂😂😂Wamarekani wa kwamtogole.
Ni wapi hasa nilipojifanyaga mjuaji, ndugu?!Jamaa kaeleza vizuri sema wewe nawe unajifanyaga mjuaji
Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga.
Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa wanajeshi wa Urusi kwenye mipaka ya Ukraine katika wiki moja iliyopita.
Akizumgumza na waandishi habari katika Ikulu ya Marekani, Sullivan amesema huo ni ujumbe wa dharura kwa sababu wako katika hali ya dharura.
Amesema Urusi ina majeshi yote inayohitaji kufanya mashambulizi makubwa ya kijeshi na nchi hiyo inaweza kuchagua ndani ya kipindi kifupi kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Ukraine.
Amesema uvamizi kama huo unaweza ukaanzia kwa kuushambulia Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Huku wasiwasi ukiongezeka, Rais wa Marekani, Joe Biden, leo Jumamosi anatarajiwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Urusi, Vladmir Putin kuhusu kuongezeka kwa mzozo huo. Mazungumzo kati ya Putin na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron pia yanatarajiwa kufanyika.
Hata hivyo, Urusi imerudia kukanusha mipango yoyote ya kuivamia Ukraine. Licha ya kukanusha huko, nchi kadhaa ikiwemo Marekani, Uingereza, Australia, Canada, Norway, Denmark, New Zealand, Japan na nchi nyingine za Ulaya zimewataka raia wake kuondoka Ukraine mara moja.
Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Jen Psaki amewaambia waandishi habari kwamba wanatambua Rais Putin anafanya uamuzi wa kuivamia Ukraine, hivyo kutakuwa na mazingira magumu kwa raia wa Marekani walioko Ukraine.
''Tunataka kuweka wazi hatari iliyopo kwa raia wetu, kwa raia yeyote ambaye atabakia ndani ya Ukraine,” alifafanua Psaki.
Marekani yaihakikishia Ukraine kuhusu uhuru wake
Naye Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema vikosi vya Urusi vinaweza kuivamia Ukraine muda wowote.
Akizungumza kwa njia ya simu na waziri mwenzake wa Ukraine, Dmytro Kuleba, Blinken amemuhakikishia kwamba Marekani itaendelea kuiunga mkono uhuru na uadilifu wa Ukraine.
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amezungumza kwa njia ya simu na Blinken, Macron pamoja na Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, huku viongozi hao wakithibitisha umuhimu wa kuweka vikwazo vikali na vya haraka iwapo Urusi itaivamia Ukraine.
Serikali ya Ujerumani imesema juhudi zote za kidiplomasia ni kuishawishi Urusi kupunguza mvutano, huku lengo kuu likiwa kuzuia vita barani Ulaya. Scholz anatarajia kuelekea Ukraine siku ya Jumatatu kujadiliana hatua za pamoja na madhubuti kukabiliana na vitisho.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg amesema muungano huo umejiandaa kwa hali yoyote ile.
Ijumaa, wizara ya ulinzi ya Marekani ilisema Rais Biden ameamuru kupelekwa wanajeshi zaidi 3,000 nchini Poland mbali na 1,700 ambao tayari wako nchini humo, ili kuimarisha vikosi vya NATO vilivyoko huko.
Wanajeshi walioko Ujerumani pia kuhamishwa
Jeshi la Marekani pia linawahamisha wanajeshi 1,000 kutoka Ujerumani kwenda Romania, ambayo kama ilivyo Poland inapakana na Ukraine.
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mark Milley Ijumaa alizungumza kwa simu na mwenzake wa Urusi, Jenerali Valery Gerasimov. Ofisi ya Milley haikutoa maelezo zaidi kusuhu kilichozungumzwa zaidi ya kusema makamanda hao wawili walijadiliana masuala kadhaa yanayohusiana na usalama.
Source: Reuters
View attachment 2117221
Nadhani Putin ana point kwa mustakabali wa Russia ni kama sisi tulivyoiweka Zanzibar, nakubali kuwa kwanini Ukraine ila kumbuka nchi zinginine zote hizo wenye mpaka na Russia na hasa hapa tuitaje Poland kwa kiasi kikubwa Belarus ni kama eneo la Russia sio tishio kwao tatizo na Ukraine kuna ardhi walikuwa wanagombania na ni nchi kubwa sana yenye mpaka na Russia mpaka mkubwa sana NATO kwenda pale ni kama uchokozi na Ukraine wameanza hizi chokochoko za kujiunga na Nato kwa maana wakijiunga wanakuwa wanalindana na hapo wanaweza kudai sehemu ya Russia. Nadhani hata sisi Burundi au Rwanda wanaweza kuwa sio tishio sana kwetu kama Kenya. Russia ukiwasikiliza kwenye hili wana haki na wao wanatizama future huko mbeleni. Nato waache hizi inatosha wanayoshikilia sio tena kugonga mlango wa Russia kwa kupitia Ukraine. Ukraine ni nchi kubwa sana na inaweza kuja kuwa tishio huko mbeleni kwa Russia, watu wanaona mbali..Hivi Russia kwa akili zao wanafikiri kwamba leo hii kuna nchi wanaweza wakaifanya kuwa koloni lao, kama wanafikiri hivyo watakuwa wanajidanganya sana.
Hawa warusi mwaka 1979 waliivamia Afghanistan na kuikalia hiyo nchi kwa takriban miaka kumi ambapo walilazimika kuondoka baada ya kuzidiwa nguvu na vikosi vya Taliban na Northern Alliance.
Sasa leo tena wanataka waivamie Ukraine kwa kisingizio cha kuogopa Nato kujitanua wakati hao Nato tayari wapo kwenye mataifa mengine jirani nao kama Poland, Jamhuri ya Slovakia, Hungary na Romania, sasa walikuwa wapi wakati hayo mataifa yanajiunga na Nato?
Hatua hiyo ya Russia kuivamia Ukraine itakuwa na madhara makubwa kwao na kama wanafikiria kutumia gesi wanayouza Ulaya magharibi kama 'Tool for Leverage' basi watakuwa wanajidanganya sana kwani nchi za magharibi tayari wameshajipanga na njia mbadala.
Wakubaliane wafanye mkataba na Ukraine chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa na uridhiwe na pande zote mbili na kila upande ukubali kuheshimu yaliyomo kwenye huo mkataba. That's all.Nadhani Putin ana point kwa mustakabali wa Russia ni kama sisi tulivyoiweka Zanzibar, nakubali kuwa kwanini Ukraine ila kumbuka nchi zinginine zote hizo wenye mpaka na Russia na hasa hapa tuitaje Poland kwa kiasi kikubwa Belarus ni kama eneo la Russia sio tishio kwao tatizo na Ukraine kuna ardhi walikuwa wanagombania na ni nchi kubwa sana yenye mpaka na Russia mpaka mkubwa sana NATO kwenda pale ni kama uchokozi na Ukraine wameanza hizi chokochoko za kujiunga na Nato kwa maana wakijiunga wanakuwa wanalindana na hapo wanaweza kudai sehemu ya Russia. Nadhani hata sisi Burundi au Rwanda wanaweza kuwa sio tishio sana kwetu kama Kenya. Russia ukiwasikiliza kwenye hili wana haki na wao wanatizama future huko mbeleni. Nato waache hizi inatosha wanayoshikilia sio tena kugonga mlango wa Russia kwa kupitia Ukraine. Ukraine ni nchi kubwa sana na inaweza kuja kuwa tishio huko mbeleni kwa Russia, watu wanaona mbali..
Mkuu, nakupa homework ufanye utafiti Zelensnky ni nani.Unamaanisha nini kusema Raisi ni kibaraka wa nchi za Magharibi? So Putin anataka kutoa kibaraka wa nchi za Magharibi afu aweke kibaraka wa Urusi ? Ukraine ni nchi huru na ina haki ya kujiamulia mambo yake. Kwenye dunia hii ukiwa mdogo (less strong) utaonewa sana. Ukraine ingeshakuwa ana nukes kwa sasa, Urusi angekuwa na adabu.
Putin na Russia hawapendi kuona Ukraine yatumika kuwa kichaka cha NATO.Hata Ukraine ilikuwa sehemu ya kuzalisha mabomu ya nuclear. Lakini iliyasalimisha kwa Russia baada ya anguko la Soviet.
Russia akate umasikini kwanza kwa wananchi wake badala ya kutumia mapesa mengi kutaka kuwatawala majirani kwa nguvu.Ajifunze kwa China.China ina uchumi mkubwa mno kuliko Russia, na kijeshi inajipambanua pia.
Demokrasia ndio solutionPutin na Russia hawapendi kuona Ukraine yatumika kuwa kichaka cha NATO.
Si wafahamu sehemu zenye vichaka huficha nini?
Unahitaji elimu kubwa sana ndugu,juu siasa za Urusi dhidi ya nchi MagharibiHata Ukraine ilikuwa sehemu ya kuzalisha mabomu ya nuclear. Lakini iliyasalimisha kwa Russia baada ya anguko la Soviet.
Russia akate umasikini kwanza kwa wananchi wake badala ya kutumia mapesa mengi kutaka kuwatawala majirani kwa nguvu.Ajifunze kwa China.China ina uchumi mkubwa mno kuliko Russia, na kijeshi inajipambanua pia.
Huo ndo ukweli mchungu kabisa.Duuuh! Ukraine aachane tu na mpango wake wa kutaka kujiunga na NATO,awe salama.
Dunia nzima inajua kuwa,NATO kujaribu kutaka kuishurutisha kijeshi Urusi ni sawa na kuonja sumu kwa kuinywa,au kuvaa mabomu ili kuangamiza halaiki ya watu,maana yake watu watakufa na wewe utakufa.hawa wamarekani walishindwa huko afghanistan mwaka jana tu
RUSSIA kachanga karata zake vyema sana yaani nyie hangaikeni tu
Ndugu yangu huyo utamwelewesha Hadi mwezi uishe haelewi.Mkuu, nakupa homework ufanye utafiti Zelensnky ni nani.
Ukipata mawili matatu kuna moja utalikosa ambalo ni ujasusi wake.
Kisha ntakueleza yeye kijasusi ni nani.
Ila nakupa dondoo kwamba kijasusi Zelensky ni apprentice kwa Putin ambae ni master.
Hivyo hii kwa kuanzia ni Master Vs Apprentice.