MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Sio kweli labda ulete Source ya habari yako Kama sio Mahaba niue.Mpaka sasa idad ya wajeda wa urus waliokuwepo mpakan wanazid idad jumla ya wajeda wa jesh la ukraine
Wakati Russia alivyolichukua Jimbo la Crimia mwaka 2014 Ukraine ilikuwa na ACTIVE MILITARY PERSONEL(Wanajeshi) 60,000. Baada ya hapo, Ukraine ilianza kuimarisha Jeshi lake na kuacha kubweteka baada ya kuona kitisho Cha Urusi. Hivi leo 2022,Ukraine ina Jumla ya Wanajeshi zaidi ya 225,000. Hiyo ni karibu Mara nne ndani ya miaka 7 TU. Hakuna Jeshi Duniani ambalo ndani ya miaka 7 TU limeshawahi kuongeza idadi ya Wanajeshi Mara Nne.
MAONI YANGU.
Endapo Urusi isipovamia kijeshi huko Ukraine(Najua hawatavamia make wameshachelewa),Basi naiona Ukraine ikijiimarisha zaidi kijeshi kuliko hapo awali ikiwa ni pamoja na kuongeza bajeti ya Jeshi na kuongeza idadi ya dhana za kivita.