Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

Mpaka sasa idad ya wajeda wa urus waliokuwepo mpakan wanazid idad jumla ya wajeda wa jesh la ukraine
Sio kweli labda ulete Source ya habari yako Kama sio Mahaba niue.

Wakati Russia alivyolichukua Jimbo la Crimia mwaka 2014 Ukraine ilikuwa na ACTIVE MILITARY PERSONEL(Wanajeshi) 60,000. Baada ya hapo, Ukraine ilianza kuimarisha Jeshi lake na kuacha kubweteka baada ya kuona kitisho Cha Urusi. Hivi leo 2022,Ukraine ina Jumla ya Wanajeshi zaidi ya 225,000. Hiyo ni karibu Mara nne ndani ya miaka 7 TU. Hakuna Jeshi Duniani ambalo ndani ya miaka 7 TU limeshawahi kuongeza idadi ya Wanajeshi Mara Nne.

MAONI YANGU.

Endapo Urusi isipovamia kijeshi huko Ukraine(Najua hawatavamia make wameshachelewa),Basi naiona Ukraine ikijiimarisha zaidi kijeshi kuliko hapo awali ikiwa ni pamoja na kuongeza bajeti ya Jeshi na kuongeza idadi ya dhana za kivita.
 
Inaonekana hata hujui unachokiongea kwa kweli. Unasema huyu Rais wa Sasa wa Ukraine Volodymiyr Zelensnky aliingia Madarakani baada ya Mapinduzi ya mwaka 2014? Hivi wewe uko timamu kweli? Rais Wa Sasa wa Ukraine Volodymiyr Zelensnky ambaye alikuwa Mchekeshaji kachaguliwa Kidemokrasia kabisa hivi majuzi majuzi TU.

Baada ya Mapinduzi ya mwaka 2014 yaliyomfurusha Kibaraka wa Urusi VICTOR YUNOCHOVICH aliingia Madarakani Raisi PETRO POROSHENKO ambaye baada ya Miezi 6 aliandaa Uchaguzi na wagombea walikuwa 7 lakini akaibuka mshindi akaiongoza Ukraine kwa kipindi kigumu. Naye Aliondolewa na Bunge kwa Kashfa ya Rushwa na Kukimbilia nchini Poland.
 
Punguza mhemko.

Nilikosea hapo 2014 na nilitakiwa niandike 2019 ndio aliingia madarakani.

Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba mkakati wa serikali ya Ukraine ni kugomboa jimbo la Crimea mkakati unosukwa na NATO, Marekani na washirika wao.

Zelensnkyy ni kibaraka wa NATO na nchi za Magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…