Kwanza acha utani kwani wewe hunizidi akili; hiyo nina uhakika kabisa kuwa wewe hunizidi akili.
Kuhusu bomu la Nyuklia ni Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutengeza bomu hilo na kulitumia vitani; kama unabisha ukweli huo leta ushahidi.
Waliohusika kutengeza bomu hilo ni wamarekani wenye aslili ya nchi mbalimbali kama nilivyonyesha kwenye post hapo juu. Watu wa asili Marekani ni Wahindi wekundu tu, lakini hilo ni taifa ambalo lina watu wa kutokeasehemu zote za dunia. Hata Rais Biden asili yake ni Ireland, Rais Trump yeye asili yake ni Ujerumani, wakati Rais Obama yeyre asili yake ni Kenya. Kusema kuwa waliohusika na utengenezaji wa bomu hilo ni wamarekani walitokea sehemu tofauti za dunia haina maana kuwa bomu halitengenezwa na wamarekani.