Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.

Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.

Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.

View attachment 2680157
ninachojiuliza siku zote, wanasubiri nini ili tusisikie tena vita ya ukrain? maliza vita kwanza inatuletea garama za maisha.
 
Silaha za Nyuklia zilitengenezwa kwa mara ya kwanza na Marekani. USSR wakaiba michoro hiyo na kuikopi. Ila leo Urusi huzungumzia silaha za Nyuklia kama vile wao ndo wanazo tu. Director wa CIA alikwenda Urusi akawaambia wazi kuwa wakiytumia Nyuklia Ukraine basi hata NATO watatoa Nyuklia kwa Ukraine kuipiga Urusi.
Wazo la kuwa na bomu chafu lilikuwa la hitler!
Aliwaita wanasayansi wake Ambao walikuwa Wayahudi na kuwaambia nataka kuitawala dunia hivyo nahitaji mabomu.5 ambayo kila moja lina uwezo wa kuangamiza continent litakalo leta ubishi!
Wanasayansi wakamjibu inawezekana!; ila tunahitaji eneo tulivu na salama!
Akawaita Majenerali wake akawaamrisha wavamie Austria na kuchukua milima ya Alps!
Baada ya muda kule milima ya Alps walitengeneza mabomu mawili!
Wayahudi wakamfahamisha Uingereza lengo la hitler na wamesha tengeneza mabomu awili!
Mngereza Akatuma Helcopter zenye makomandoo na kuchukua yale mabomu!
Wanasayansi wa ungereza baada ya kuyakagua yale mabomu wakagundua kuwa ilitokea ajali ungereza itafutika!
Wakamuomba Marekani awatunzie mzigo wao, Marekani ikakubali!
Hitler alipo gundua walicho mfanya Wayahudi akaanza kuwaua Wayahudi hadi kwenye gas chambers!
Akaona Anauweka usiku akatanga vita ya pili ya dunia, na kuivamia ulaya!
Naona niishie hapo simulizi ni ndefu hadi Marekani Anaingia vitani, Mfalme Hirohito alivyoinyanyasa china hadi Marekani Akatumia bomu la.1(small boy) kuipiga Japan........
 
Ikirushwa nyuklia hakuna kisingizio kwamba yamedondoka mabaki ndiyo yaliyounguza majengo.Mabaki ya nyuklia bado ni nyuklia tu na balaa kubwa.

Namaanisha use of single war head ni wwlll. Hili hata putin analijua ndio maana mpaka sasa hajatumia nuclear war heads.
Unafikiri nuclear ni sehem moja, madhara yake yatasambaa both international and localy
 
Nuclear ni nini kwanza , na kwanini walizitengeneza , walizitengeneza ili zitumike , wazitumie basi au ni za mapambo?
 
Braza ulishawah kupimwa akili???


Ulipimwa hospital gani na majibu yalitoka kwa kiwango gani???
Kwanza nikuulize akili inspimwa kwa mashine gani ? Pia kuna Akili katika makundi mawili
1) ugonjwa wa akili
2)Akili kubwa na akili ndogo hapa ni nje ya ugonjwa wa akili ....yaani ukichukua watu wenye akili timamu tu ujue nao wametofautiana uwezo wa akili .
Hapa kuna makundi mawili
1) ni kupima ili kujua mtu mwenye akili timamu na mtu mwenye matatizo ya akili (ugonjwa wa akili)
2) kupima akili baina ya watu wenye akili timamu kujua ni wepi wenye akili kubwa zaidi ya wengine


Sasa kwenye hayo makundi mawili nitajie mashine zinazo tumika kuwapima wa kundi la kwanza na wakundi la pili....kama ujui basi wewe ni chenga pia
 
Kwann jina lako la MJINGA unaligawa hovyo ? Putin atumie njia ngumu ya kuua watu wake vitan wkt ipo njia nyepes ya nyuklia na NATO wakanywea ? Putin mpole kwa kulipua makaz ya watu wasio husika na upuuz wake?
Tatizo malengo ...njia ngumu ndiyo itafanikisha malengo mengi sana ya urussi ...mfano urusi ingetumia nuke mwanzoni mwa vita basi nchi za NATO ikiwemo marekani zinge singizia kuwa urusi ni dhaifu kijeshi na silaha zake ni duni ndiyo maana katumia nuke ila kwa sasa urussi kazichapa silaha za nato yote na kuzigeuza chuma chakavu hivyo imemuongezea heshima na soko la silaha zake kuja kuwa kubwa ...pia kuna lengo la BRICS pia kuna lengo la KUIBOMOA DOLA haya malengo ndiyo yanasababisha mrusi hatumie njia ndefu.
 
Usipanik braza


Lengo la kuuliza ni kwa sabab ulimwambia mshkaj kuwa wew noma una miakil km yote tena umempita kwa mbali mno km tofaut ya DP world na tics ndio maana nikataman kujua umempita kwa kiwango gani na ulipimwa wap


Kuhusu swala la mashine za kupimwa akili mim sijui hata km zipo au zinafananaje ila kwa vile wew unamiakil mingi naomba unijuze ikiwezekana tupia na vpicha vya hizo mashine
[emoji1787][emoji1787] Ngoja nikuulize swali kama kungekuwa na mashine haswa ya kutambua watu wenye miakili mikubwa na mingi una dhani waajiri wangeangaika na makaratasi ya vyeti vya vyuoni ...si wangefunga tu hizo mashine maofisini ili kila wanapo taka kuajiri basi wanatumia hizo mashine kupata watu bora ...hata vyama vya siasa vingetumia
 
Tatizo la kwenye ajira hawaishii tu kwenye kuwa na akili timam bali wanatakaga na kaujuz na ujuz unapimwa na taarifa za kwenye makaratas ndio uitwe kwenye test
Sijaongelea akili timamu na ugonjwa wa akili hapa nimeongelea akili timamu kwa timamu yaani kupata watu wenye akili kubwa kati ya watu wenye akili timamu ....yaani wakija kuomba kazi watu wenye akili timamu 100 na wewe unataka watu 4 kati yao kwanini wasitumie hiyo mashine kujua mwenye akili nyingi zaidi ili kupata 4 walio best
 
Kwanza acha utani kwani wewe hunizidi akili; hiyo nina uhakika kabisa kuwa wewe hunizidi akili.

Kuhusu bomu la Nyuklia ni Marekani ndiyo nchi ya kwanza kutengeza bomu hilo na kulitumia vitani; kama unabisha ukweli huo leta ushahidi.

Waliohusika kutengeza bomu hilo ni wamarekani wenye aslili ya nchi mbalimbali kama nilivyonyesha kwenye post hapo juu. Watu wa asili Marekani ni Wahindi wekundu tu, lakini hilo ni taifa ambalo lina watu wa kutokeasehemu zote za dunia. Hata Rais Biden asili yake ni Ireland, Rais Trump yeye asili yake ni Ujerumani, wakati Rais Obama yeyre asili yake ni Kenya. Kusema kuwa waliohusika na utengenezaji wa bomu hilo ni wamarekani walitokea sehemu tofauti za dunia haina maana kuwa bomu halitengenezwa na wamarekani.
amin nakwambia akili huna
 
Huyu jamaa anaongea kama kishikwambi huku akiamini atapewa tena Urais maana ni kama Remote tuu anaongea ili kumfurahisha Putin hakuna anachojua huyo Tura...
 
Back
Top Bottom