Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

[emoji16][emoji16]hapo kwa kiduku hapo... Kiduku hanaga cha kupoteza, ni kichaa kwelikweli, usipojiongeza ukamuepuka inakula kwako, maana yeye haoni shida hata kwake kukiharibika, hana hata uchungu na watu wake.
we mtu analinda nchi yake na watu wake wewe una sema hana uchungu na watu wake ishiii
au ulitaka marekni avamie hapo kwa kiduku ndio utaamini kuwa kiduku ana uchungu na raia wake
 
Marekani na South Korea hufanya mazoezi ya kijeshi mpakani mwa north Korea kitu ambacho kiduku hapendi kabisa, lakin kiduku Hana Cha kufanya sana sana hasira zake humalizia kuishambulia bahari badala ya kuwashambulia wanaomchokoza[emoji2][emoji2]
awashambulie wafanya mazoezi kwa sababu gani

wao marekni na korea waivaie ndio utaona nini kiduku atawafanya...
 
Akisema atatumia nyuklia hana maana ataipiga Ukraine.Anaweza akaipiga US na Uk ambao wako kimbelembele sana katika hivi vita.
Russia anamuogopa muingereza balaaa. Hachana na muingereza wewe, balaaa lake sio la mchezo na yeye ndio alianza kupeleka silaha Ukraine na marekani akafata. Na siku akisema sijui uingereza isipeleke silaha na ndio wiki iyo wanapeleka Apo Ukraine.
 
Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.

Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.

Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.

View attachment 2680157
Putin mwenyew alitisha na ndaro tele mpaka akatoa nje mi-nuclear yake kupasha moto baadae kazirudisha ndani mwenyewe sasa drones za Ukraine zinagonga mlango Moscow na hakuna chochote putin ameweza kufanya
 
Akisema atatumia nyuklia hana maana ataipiga Ukraine.Anaweza akaipiga US na Uk ambao wako kimbelembele sana katika hivi vita.
Huwa coment zako ni za-kiashki ashki ki-majunun majunun [emoji15][emoji14]
 
Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.

Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.

Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.

View attachment 2680157
Sasa hivi unazungumzia issue ya Kukaa mezani muda wote mlikuwa wapi? Mmeona mmeshikwa kende ndio mnataka mazungumzo ? Zelesky ashikilie hapo hapo mpaka nyani ateme bun'go.
 
Silaha za Nyuklia zilitengenezwa kwa mara ya kwanza na Marekani. USSR wakaiba michoro hiyo na kuikopi. Ila leo Urusi huzungumzia silaha za Nyuklia kama vile wao ndo wanazo tu. Director wa CIA alikwenda Urusi akawaambia wazi kuwa wakiytumia Nyuklia Ukraine basi hata NATO watatoa Nyuklia kwa Ukraine kuipiga Urusi.
UK alikuwa wa kwanza kutamani kupeleka Nuclear Poland, naamini NATO itakuwa Nuclear kadhaa zikiwa Standby kwenda Russia.
 
Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.

Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.

Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.

View attachment 2680157
Kwan yey ndo anaipangia Ukraine nan wa kumsaidia? Mbona yeye alipokea misaada ya USA kipind anapigana na Ujeruman
 
Wee sijui ni nani ambaye huogopi nyuklia.
Kwan Urusi ndo anamiliki nyuklia pekee yake , usichoelewa kulipua nyuklia ni tofaut na makombora maana makombora yana target sehem ndogo isiyohusisha wasiohusika ila nyuklia inaeza walipua hata wasio husika na mgogoro huo itapelekea serikali husika kumshughulikia Urusi vzr
 
Raisi wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi inaweza kumaliza vita vinavyoendelea ikipenda kwa kutumia silaha za nyuklia kama ilivyofanya Marekani mwaka 1945. Namna nyengine ya kumaliza vita hivyo alisema ni kwa Ukraine kusita kupokea silaha kutoka mataifa ya nje.

Hayo aliyasema alipokuwa akijibu tuhuma za nchi za NATO kwamba nchi hiyo inatumia silaha zilizopitwa na wakati na mbinu za karne iliyopita.Akasema hilo sio kweli jeshi la Urusi ni la kisasa na linatumia mbinu tofauti za kivita.

Akaongeza kwamba katika vita vyovyote vile hata viwe vita vya dunia vita hivyo humalizwa kwa njia ama ya kukaa mezani na kutiliana saini au kutumia mbinu kama zile ilizotumia Marekani katika vita vya pili vya dunia.

View attachment 2680157
Medvedev anaropokaga akishakunywa vodka
 
Si kwamba wajinga tu ndo watamuamini?

Tangu february mwaka jana mikwara mbuzi ile ile, ni we mtindio tu wataamini, mwenzie Putin kashapunguza biti maana hata akitishia wajuba wanampuuza
Hv hawaon saga la Prigo ? VITA INGEKUWA NZUR KWA URUSI BASI HILI SAGA LA PRIGO LISINGETOKEA , HOFU YA PUTIN DHIDI YA WAGNER ( hatujui wagner walifanya nn ikamtia hofu Andunje ) PILI PUTIN ANATAKA WAGNER IINGIZWE JESHIN KISHA PRIGO ANAINGIA ROSTOV KISHA PRIGO HAJULIKAN ALIPO KISHA WANALIA KUTUMIA NYUKLIA , HII VITA NI MWIBA KWA PUTIN
 
Russia anamuogopa muingereza balaaa. Hachana na muingereza wewe, balaaa lake sio la mchezo na yeye ndio alianza kupeleka silaha Ukraine na marekani akafata. Na siku akisema sijui uingereza isipeleke silaha na ndio wiki iyo wanapeleka Apo Ukraine.
UK aliweka wazi kabisa atapeleka Nuclear Poland endapo Russia akionesha dalili za kutumia Nuclear.
 
Back
Top Bottom